Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi

Lazima upanic unakuja na lugha za ajabu irrevant ni wewe hujui unachokiandika msahaulifu lazima unaswe swala la kufunga wahimize wenzio huko wamuokoe mtukufu asije na kauli mbili mbili mnywa viroba huwa na hasira na lugha zisizo na staha like you!!!!

Hahahaa. Kati yangu na wewe nani kapanic. Unepanic jamaa yako kabadili gia angani unamalizia stress humu. Kauli mbili mbili muulize mentoe wako Mbowe akueleze kama nu batili au halali.
 
Hakuna binadamu asie na mapungufu. Ndio maana unaona wengine wanabadili gia angani, anytime any how na bado huoni wanachemsha.

soma hapo ndo utajua wewe ni wa aina gani ni kipi unamaanisha na kipi unaongea mana hata hujui unaongelea nn
 
Leo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;

Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.

Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.

Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.

Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.

Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.

UKUTA chali, kama nilivyotegemea.

Jioni Njema...!!
Tatizo la watu mliopewa vyeo baada kunyonya wakubwa zenu
 
ukiwa unapost kitu tulia usipanic andika kiswahili fasaha usiwe na haraka hakuna mashindano ya kuandika insha kiswahili lugha yako.
 
Huyu dada sijui alisahau nini huko Chadema ..........!!
Huyu dada nimemuuliza elimu yake ni ipi na aliisoma wapi (chuo). She is very shallow upstairs! Kama CDM inaweza kusurvive mpaka leo kwa mikikimikiki ya seriali na vyombo vya dola, huwezi kuibeza CDM. Think of the situation CDM ingelikuwa free kufanya siasa bila vitisho , nchi hii ingelikuwa mikononi mwa CDM au at least 2/3 ya wabunge wangelikuwa wake!
Kuna thread huko nyuma wanadai amesomea Ualimu kwenye vile vyuo vya kumwaga. Itakuwa ni wale design ya waliotimuliwa UDOM na Magufuli. Bahati yake aliwahi!!
 
Hakuna binadamu asie na mapungufu. Ndio maana unaona wengine wanabadili gia angani, anytime any how na bado huoni wanachemsha.

soma hapo ndo utajua wewe ni wa aina gani ni kipi unamaanisha na kipi unaongea mana hata hujui unaongelea nn

We kafunge kuliombea taifa la Mh Rais Dr Magufuli. Amekuja kuwashika....na kawashika. Peoples power, [HASHTAG]#hapaukutatu[/HASHTAG].
 
Leo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;

Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.

Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.

Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.

Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.

Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.

UKUTA chali, kama nilivyotegemea.

Jioni Njema...!!
We dada mi huwa unanichosha sana.harafu kwa bahati mbaya mmoja kati ya wanawake zangu anakupenda sana.mnafahamiana.ilibidi nikufuatilie nijue una yepi yanayofanya akupende kwenye siasa.ila nilipogundua unaiponda sana chadema niliacha kukufuatilia,kwa sababu unachofanya ni sawasawa na mtu anayemfuatilia mpenzi walieachana
 
Tatizo la watu mliopewa vyeo baada kunyonya wakubwa zenu

Wakati anafanywa jamvi la viongozi kutoa stress zao kabla hajaolewa tulimvumilia sasa keshapata ubunge anao shindwa kuutumikia kwa hoja amebaki kuzungumzia Chadema. Mbona kama anahoja asijenge chama chake tuone hapa JF anafanya nini?
Najua MODS wanaweza kuona. Natumia ligha chafu lakini wakisoma between the lines watajua sijatukana.
 
We kafunge kuliombea taifa la Mh Rais Dr Magufuli. Amekuja kuwashika....na kawashika. Peoples power, [HASHTAG]#hapaukutatu[/HASHTAG].

Kila siku mashehe na mapadri wanaliombea na yeye wanamuombea lakini yupo vile vile pia magufuli mi hajanishika haniletei chakula wala msaada na hana mchango ktk maisha yangu kawashika wakina kitwanga na wengine aliowapa kazi ya kumuabudu ili washibe na nyie mnaotegemea kudra zake
 
Juliana Shonza tumia akili yako na elimu yako kuisaidi jamii na nduguzo, inashangaza kwa mbunge msomi kama wewe kutoa hoja za kipumbavu na za ushindani zisizo na tija katika nchi hii. Kama upo kwa ajiji ya kushindana basi leo umeshinda njaa, ila familia yako inakufa njaa kwa kukosa mahitaji ya muhimu kutokana na njaa zako mbaya.
 
Execuse zinazotolewa ndio zinaudhi zaidi, Siku kumi nyuma unasema tumekutana na Viongozi wa dini tumezungumza nao na mkasema kuwa UKUTA uko pale pale leo mnasema tumezungumza na Viongozi wa dini (kama vile ni kitu kipya) na kuongeza tumezungumza na familia ya Mwalimu Nyerere (haijawahi kutokeo) tumeamua Kughairisha UKUTA, sio kuvunja kabisa bali kughairisha eti wakitegemea kutakuwa na tension kama ya awali.

Hesabu mbofu sana hii
Harusi ya Jirani umeivalia kibwaya wakati haujaalikwa, huoni kama ni jambo la aibu? Sasa wewe kilichokukasirisha ni nini hapo? Ukiachana na bwana usigeuke nyuma unaweza jikuta unafanya kama ulichofanya hapa
 
Mwenyekiti wa chadema ana uwezo mkubwa wa kuendesha biashara, sio chama cha siasa.

Hivi Godless Lema anaendeleaje?
Huyu mfanyabiashara ndo anewafanya serikali hawalali usingizi na majeshi yao sijui siku chadema ikiongozwa na mwanasiasa itakuwaje.
 
JULIANA SHONZA unafurahia damu za watu zimwagike ili unywe?
Kwani mlipokuwa mnang'aka ukuta upo pale pale hamkulijua hilo la damu kumwagika? Mliombwa na viongozi wa dini mkagoma, mkidhani serikali itawaogopa wasaliti wa taifa. Hakuna mchezo huo. Tushirikiane kujenga nchi huu ukibaraka wa mataifa ya magharibi tuachane nao hauna tija kwa taifa.
 
Back
Top Bottom