Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Siyo tatizo hata Nyerere alimwambia Mrema kuwa acha abebwe kwakuwa wabebaji na mbebwaji wapo.Huyo huyo. Yes. Tunamkubali kwa sasa. Hivyo hivyo.
Siyo tatizo hata Nyerere alimwambia Mrema kuwa acha abebwe kwakuwa wabebaji na mbebwaji wapo.Huyo huyo. Yes. Tunamkubali kwa sasa. Hivyo hivyo.
Hivi jamaa huoni aibu kuandika hivi? Aliyetaka kumwaga damu nani Kama si nyinyi. Ukuta upo palepale! Kumbe mnawadanganya wenzenu. Serikali hii haiishii kwa waandamanaji bali mpaka kwa waliohamasisha maandamano. Viongozi wameona na wao watakumbwa na dhoruba wameaharisha.Mmeshikwa pabaya mliyoyatarajia yatokee kwa vijana wa watu yameshindikana huku jeshi likicheza mziki wa Chadema bila kupenda na gharama zilizokuwa hazijatarajiwa
Aibu tu zimewajaa!Dada chuki ni mbaya sana katika maisha inakosesha baraka Na mafanikio umeondoka chadema waache chadema na mambo yao amani ya nchi aiwezi kuletwa Na ccm Bali pande zote mbili za upinzani Na watawala hekima ni Bora kuliko Mali nawapongeza chadema kwa kutumia hekima
Mbona siku zote mlikuwa mnang'ang'ana, UKUTA upo palepale. Tuliwashauri, mkashupaza shingo. Siku ya mwisho serikali ikawa ngangari kama serikali yoyote imara inavyopaswa kuwa, mnajifanya eti mmeharisha. Eti mnampongeza Mbowe kwa kuhepusha vurugu!Leo sijaona hoja yako Juliana!Ingawa ni kweli Mbowe anawepleka chaka wenzie lakini amefaya vema kutokushindana na dola!Sijamuelewa tu kutaka kuendeleza kwake ukuta mwezi october!Hapa kama amekosa washauri mie nitamshauri aachane na UKUTA, haulipi!Apoe kwanza, homa ya uchguzi iishe na serikali itekeleze majukumu yake then pengine watapata cha kukosoa!Lakini kwa sasa hakuna, na watz hawatawaunga mkonio
Kwani mlipokuwa mnang'aka ukuta upo pale pale hamkulijua hilo la damu kumwagika? Mliombwa na viongozi wa dini mkagoma, mkidhani serikali itawaogopa wasaliti wa taifa. Hakuna mchezo huo. Tushirikiane kujenga nchi huu ukibaraka wa mataifa ya magharibi tuachane nao hauna tija kwa taifa.
Aibu itoke wapi wakati polisi walikuwa wanalala na viatu wapo attention mpaka vituo vya redio vinafungia bila sababu za maana hapo unaona nani kaabika..mkubali msumali umeingia Tundu linaloumaHivi jamaa huoni aibu kuandika hivi? Aliyetaka kumwaga damu nani Kama si nyinyi. Ukuta upo palepale! Kumbe mnawadanganya wenzenu. Serikali hii haiishii kwa waandamanaji bali mpaka kwa waliohamasisha maandamano. Viongozi wameona na wao watakumbwa na dhoruba wameaharisha.
Acha kuifananisha chadema na futuhi..Kwani Lowassa ni nani huko chadema??
Halafu familia ya Nyerere inaingiaje?
Wameogopa sasa wanatafuta visababu? Chadema ni chama cha maigizo
Kwani Makongoro anapigiwa simu na nani.. ?Yaani wewe umpigie simu makongoro? Kama nani wewe? Duu
...ona sasa mnavyokuwa na madharau mnapojiona mna madaraka....wewe wajiona somebody kwa nani??...kwa unaowavulia ama?...acha madharau mama....ukidharau jua kua nawe waweza kudharauliwa....kiongozi gani wewe unayedharau wengine??....ama ndio mnavyojengwa muwe??....Kwani Makongoro anapigiwa simu na nani.. ?
Lakini pia kuna utofauti mkubwa kati yangu na wewe. Wewe ni nobody mimi ni somebody, inatosha hiyo kuwa tofauti inayoniwezesha simu yangu kuthaminiwa na kupokelewa...
Huyo haujamsoma vzuri. Hafurahii kuahirishwa wala hashangilii kiuchumia tumbo kama baadhi yenu mnavyoshangilia kiushabiki wa mpira bila kujenga hoja humu jf. Yeye kapigilia msumari palepale kwenye kizungumkuti cha unafiki wa Mwenyikiti kubadili gia angani. Hakuna msaada wowote unaotolewa na chama kwa viongozi wanaonyea debe kwa sasa, pia wasiweza kugetoa msaada wowote kwa watu ambao wangeshindwa kutii mamlaka,wakaenda kuandamana. Maandamano hayo, ambayo viongozi wanayanadi kuwa ya amani. Kiuhalisia siyo ya amani kwakuwa hayana ulinzi na baraka za serikali na jeshi la polisi. Majanga ambayo yanagesababishwa na maandamano hayo, hao viongozi wasingesimama siku za usoni kuyatolea maelezo yoyote ya maana dunia ya wapenda amani ikawaelewa, ndiyomaana wamejikinga kwa shuka la viongozi wa dini,wameona.Wakati watu wakiitafuta amani kwa taabu kubwa, kuna watu waliisubiri shari kwa hamu kubwa.
Nadhani walipenda kusikia maafa, vurugu nk
Mmoja wapo ni huyu Juliana Shonza mwenye mada chochezi hapo chini ambaye hajafurahishwa kabisa na habari ya kusitisha maandamano
Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi
Nashukuru kwa ufafanuzi murua, mimi nadhani wanafahamu ila wanajifanyisha tu.Huyo haujamsoma vzuri. Hafurahii kuahirishwa wala hashangilii kiuchumia tumbo kama baadhi yenu mnavyoshangilia kiushabiki wa mpira bila kujenga hoja humu jf. Yeye kapigilia msumari palepale kwenye kizungumkuti cha unafiki wa Mwenyikiti kubadili gia angani. Hakuna msaada wowote unaotolewa na chama kwa viongozi wanaonyea debe kwa sasa, pia wasiweza kugetoa msaada wowote kwa watu ambao wangeshindwa kutii mamlaka,wakaenda kuandamana. Maandamano hayo, ambayo viongozi wanayanadi kuwa ya amani. Kiuhalisia siyo ya amani kwakuwa hayana ulinzi na baraka za serikali na jeshi la polisi. Majanga ambayo yanagesababishwa na maandamano hayo, hao viongozi wasingesimama siku za usoni kuyatolea maelezo yoyote ya maana dunia ya wapenda amani ikawaelewa, ndiyomaana wamejikinga kwa shuka la viongozi wa dini,wameona.
Hivi ninyi washabiki, mambo yote yaliyosemwa kwa ufafanuzi mkubwa na kipenzi cha wanamageuzi, Dr Slaa,wakati anajiuzuru kwamba hawezi kumeza matapishi yake na mambo yote machafu yaliyotendeka Chadema wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu, mnadhani ule ni uzushi ama utani?
Hadi leo ni kiongozi ama mfuasi gani aliyesimama kukanusha kisayansi akaeleweka? Mtaje na umnukuu alichokisema,ili tubadilishane mawazo tukubaliane.
Wengine kuanzia hapo tukajua kuwa tatizo limeshaingia upinzani na kamwe hawawezi kuja kujiweka sawa kwa chama kilekile na viongozi walewale.
Watu wanapenda upinzani kwa kuwa upinzani ni kioo cha kurekebishia utawala. Lakini siyo upinzani wenu huu wa kuzomea na kutukana bila kujenga hoja,hamtafika popote. Nadhani mpinzani mzuri atakayeweza kuungwamkono na wapenda mageuzi wa kweli asitokane na hilo genge la wachumia tumbo, awe mtu mpya na aanzishe chama kipya chenye sera mpya,ambazo ukizipima utaziona kuwa hizi kweli ni sera bora zinazokosoa na hata kama kitashika hatamu ya madaraka kinaweza kutuletea maendeleo tunayoyataka, kiongozi huyo ataungwa mkonosana, kwa kuwa upinzani si uandui bali ni ushindani wa hoja kwa ajili ya kujenga maendeleo ya nchi.