Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
serikali nzima, polisi na majeshi kuacha shuhuli zao na kukimbizana na watu wenye ombwe la uongozi??
Leo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;
Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.
Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.
Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.
Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.
Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.
UKUTA chali, kama nilivyotegemea.
Jioni Njema...!!
Leo ndio mnajua kuwa tunatakiwa kuishi kwa UPENDO na UMOJA..???kwa hiyo kwa vihoja vyako hapa jukwaani, ulikuwa unataka watu wapigwe kesho?
Kumbe ninyi ndiyo watu mnaoshabikia vurugu!
Mimi nilidhani kwamba watu wa chadema ndiyo wapenda vurugu kumbe sivyo!
Maana naona watu wa ccm wameumizwa sana na kuairishwa kwa maandamano ya ukuta.
Nchi hii haitajengwa kwa kushabikia wenzako wakipigwa.
Nchi hii itajengwa kwa upendo na umoja. Kitu ambacho Taifa hili imekipoteza.
Namuurumia sana MH Rais maana kuongoza watu ambao hawapendani ni jambo baya sana kuliko hata ukuta.
Ifikie maala mashileni kuanzia chekechea watu wafundishwe Upendo kwa wenzao tuliponye hili Taifa.
Hata kama ni kweli familia ya Nyerere imekutana na Lowasa ili asitishe UKUTA hapa sasa ndo waelewe maneno ya Hekma ya Rais mstaafu Mwinyi wakati ule wa kampeni kwamba uwepo wa Lowasa CDM sasa unaifanya CDM kuwa CCM B (na haya yamesababishwa na Mbowe) ,na kama CCM A ipo CCM B ya nini? CDM chini ya Mbowe na Lowasa itabakia kuwa wasindikizaji mashuhuri wa CCM.Leo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;
Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.
Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.
Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.
Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.
Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.
UKUTA chali, kama nilivyotegemea.
Jioni Njema...!!
Hata kama ni kweli familia ya Nyerere imekutana na Lowasa ili asitishe UKUTA hapa sasa ndo waelewe maneno ya Hekma ya Rais mstaafu Mwinyi wakati ule wa kampeni kwamba uwepo wa Lowasa CDM sasa unaifanya CDM kuwa CCM B (na haya yamesababishwa na Mbowe) ,na kama CCM A ipo CCM B ya nini? CDM chini ya Mbowe na Lowasa itabakia kuwa wasindikizaji mashuhuri wa CCM.
Huo ukweli wake watu waandamane ili wapigane uvccm bana mnaandika halafu fkra zinakuja baadae wakishapigana wewe na shonza mnaambulia nn? Damu za watu munywe? Anaamalizia ukuta chali inamaana alitaka uwepo ili watu wachapane halafu anatarajia kuwa kiongozi huyo hovyo kabisa uvccm alitoa bandiko et huko kawakuta uvccm wanalelewa kimaadili hayo ndo maadili mnayofunzwa huko kushabikia ugomvi? Mbunge huyu wa kuteuliwa nimemdharau sana.
Pole...
Ulijiunga July 16 kwa mbwembwe nyingi sana jukwaani, kiko wapi, umedumu mwezi mmoja tu..
Sikia "HUU MCHEZO, HAUITAJI HASIRA"
Sijajua huyu Shonza alisahau nini CDM. Jamani msaidieni akachukue alichosahau
Umenikumbusha mbali sana hilo neno "MISUKULE"Misukule inamuona Mbowe shujaa
Sina uhakika umeishia darasa la ngapi lakini neno nililoliwekea rangi nyekundu linapaswa liandikwe "SHUGHULI"serikali nzima, polisi na majeshi kuacha shuhuli zao na kukimbizana na watu wenye ombwe la uongozi??
Nauliza tu.....hivi bado wanasema wanaanza na Mungu na kumaliza na Mungu.Leo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;
Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.
Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.
Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.
Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.
Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.
UKUTA chali, kama nilivyotegemea.
Jioni Njema...!!
Mbowe anajua kuwatumia aisee!!

Kwa mtu ambae kichwani ni betry low anaweza kuandika hayo ila nakuambia ukuta umefanikiwa sana jeshi linafagia wamefagilishwa bila kupenda polisi wanafanya mazoezi ya kukata vitambi kisa ukuta sasa nguvu kubwa ya nini wakat CHADEMA hawana hata upanga wala sindano wakiulizwa ukuta viongozi wa CCM ukuta shonza umekimbilia kupost ukuta huoni kama imefanya kazi?
Kirefu cha ukuta kishasambaa jamii imejua maaana ya ukuta halafu unaandika watanzania unajumuisha wote hadi wale milion 6 zile takwimu za asilimia 65 ya wanaomaliza udsm ni ****** zipo sahihi na nyie ndo zao lao mnajidhihirisha hapa mana unataka wapigane raia wa kitanzania ili iweje? Unataka kuwa Kiongoz unaehamasisha migogoro!!!!! halafu pia post yako ni ya kichochezi.
Hapa ndio nimeshafika ukomo wa ufuasi wangu kwa hiki chamaaa
Sijui Betry Low ni nani..??? Anayesema MBOWE amefanikiwa ama anaesema amebugi na wanachama watamdharau, kumbe sio dharau pekee, people are quiting..!!SITASHABIKIA SIASA TENA MAISHANI MWANGU,NITAKUWA MTAZAMAJI TU!!!!
MWANAUME MSIMAMO BWANA.
Sina la kuongeza
Zamani nilikuwa natoa majina kwa watu wenye akili za namna yako, siku hizi nimeacha. Umri nao una mambo yake, dhamana nayo inanifunga mdomo na hata mikono wakati mwingine...Imani yangu iliyoporomoka juu ya Mbowe baada ya kubadili gia angani,imerudi tena kwa namna anavyowachezesha kwata!!!
Serikali inabidi itoe mahesabu ya pesa ilizotumia na itakazotumia kupambnaa na kamchezo kadogo ka kisiasa!! Misuse of money!!