radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Nani hapa naongoza kwa kubadili gia angani hana hata miaka miwili magogoni hebu chekiUshauri kwa wapenzi wa upinzani Km mimi, Mhe Mbowe aachie uongozi wa uenyekiti wa chama. Huu mtindo wa kubadilisha gia angani ni ishara mbaya sana kwa chama kikubwa kama Chadema. Mwaka jana Lowasa alikaribishwa kugombea urais kwa gia ya angani hivi hivi na maneno mazuri mengi sana, lakini kama woga wa Chadema kuhusu ukuta wa kesho wangeacha kuandamana tu kupisha hao walinzi wa mipaka ya nchi. Halafu kukawa na mkakati mwingine Km walivyokuwa wameuaminisha umma kuwa ukuta ni operesheni endelevu. Hii ya leo inatia kinyaa na inakera Sana kwa wapenda ukweli na wanaoamini katika mikakati madhubuti.
Before : Serikali yangu itakuwa ya Viwanda
After: Wapinzani ndio wanakwamisha Viwanda
Before : Nitakuwa Rais wa wote
After : Watakao leta fyokofyoko nitawashugulikia
Before: Mimi nimechaguliwa na masikini
After : Serikali yangu haitatoa chakula cha mswada
Before : Walifikiri nitakuwa upande wao
After: Wazee wangu nitawalinda
Before: Mafisadi wamenikimbia
After : Ni maajabu kukutana na Lowassa
Before : Mimi sibagui vyama nataka vifanye siasa walikochaguliwa
After : Hakuna siasa mpaka 2020
Na mengine tumeyaficha kwa aibu