The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Hivi Juliana Shonza, ni kweli umezaliwa mwaka 1987?
Leo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;
Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.
Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.
Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.
Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.
Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.
UKUTA chali, kama nilivyotegemea.
Jioni Njema...!!
Mimi tena..?Nyie ndo wa kukamatwa na polisi kwa uchochezi. Unataka nini hasa
unamaanisha MBINGUNI au..?Huna jipya wewe endelea kutumika vibaya TU usisahau kujakutoa hesabu zake na kuna maisha baada ya haya.
Inamuingia halafu iaumaa. Huoni anavyohangaika wewe watu hawana time na wewe unahangaika nao wa nini?Sijajua huyu Shonza alisahau nini CDM. Jamani msaidieni akachukue alichosahau
Niseme kwa Majonzi makubwa, Penati ya mwisho mshambuliaji "amefyuka mpira" amepiga hewa, tunasubiri maamuzi ya msimamizi wa mchezo kama atawaambia warudie au ndio ngoma imetoka...
Akili yako ndiyo inaombwe la kufikiriLeo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;
Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.
Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.
Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.
Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.
Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.
UKUTA chali, kama nilivyotegemea.
Jioni Njema...!!
Wewe huna lolote ujuwalo zaidi ya kuifikiria cdm badala ya kufikiria jinsi ya kuitunza familia yako kama kweli unayoLeo nitaanza bila salamu,

Bado anaota huyoSasa wewe kama CHADEMA ina Ombwe la Uongozi si uache ife ili iwe furaha yako.
Naona umekuja kutetea ahirishoAkili yako ndiyo inaombwe la kufikiri

Kama umeamua kudhihaki uamuzi wa kuahirisha hayo maandamano basi sema tukuorodhesheNaona umekuja kutetea ahirisho![]()
![]()
Mkuu hii post yako nimeipenda sana yaani badala ya kutumia nguvu nyingi kuwahudumia walio mchagua yeye anatumia nguvu nyingi kuishambulia cdmKwa nini unatumia nguvu kubwa kiasi hiki kuonyesha ujinga wako?
Upo vizuri mkuu kwani watu wanao dhihaki kuahirisha haya maandamano nadhani sasa ndiyo serikali iwajue kuwa ndio hawaitakii mema hii nchiMi nadhani ulikuwa unasubiri maandamano
ya kesho yavunjwe na watu kuuawa au kupata ulemavu
wa maisha,matokeo yake umegundua hekima kubwa
inatumika kunusuru watu kujeruhiwa na hivyo imekuuma.
Wakati wewe unaona ombwe la uongozi
wengine tunaona ni hekima ya kiuongozi
ambayo ni mojawapo ya tunu za kitaifa.
Ndiyo maana yake kila mmoja atatoa hesabu yake.....sasa anza kupiga hesabu zako zimekaaje mapema..unamaanisha MBINGUNI au..?
Nafikiri kwa bandiko lako hili ndio serikali ilichukulie kuwa ni la kichochezi kwani unaonekana unapenda maandamano sana ili kusababisha uvunjifu wa amani hapa nchiniNiseme kwa Majonzi makubwa, Penati ya mwisho mshambuliaji "amefyuka mpira" amepiga hewa, tunasubiri maamuzi ya msimamizi wa mchezo kama atawaambia warudie au ndio ngoma imetoka...
inashangaza sana jamaa kupoteza penati hii kizembe kiasi hiki..