Msiri wako ni nani JF?

Risk iko wap ukitambulika
Mbona kama tunayakuza sana huko FB sijui Instagram mbona tunajuana
Mie mtu akiamua kunianika
Kama itampa furaha ni sawa tu👍
 
Watu wanapenda hayo mambo kuliko hata kula, chagueni kwa makini watu mnaojihusisha nao, kuna wengine wana mental issues, their love love language is shaming others
Hmm umetoa onyo kali sana hapa mkuu😆 hii naielewa hii..
 
Utakua na kiwanda cha siri
Hujakosea 😹😹😹
Halafu hata nikigoma wasiniletee wananipliz wanipe mapdf..

Halafu huwezi amini pamoja na hekaheka zangu zote sijawahi kuwatolea siri zao. Nimefunga kufuli na funguo nimetupa..!!

Na si unajua wambea tunapewa zile convo hot za watu pm na mipicha picha exclusive 🤣😹😹
 
Na umbea wote na bado una kifua koongole kwako sisi watu waongeaji sana hua tuna siri mnooo 💯

Usikute una file langu huko🫢😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…