Msiri wako ni nani JF?

Kwahiyo una tuchora wajukuu😒😏
Babu yenu nimezidi kuzeeka now, macho hayaoni sana 😜

Niwe mkweli, kila siku nasoma JF kama guest user 😜

Mazingira yakiniruhusu ndiyo huwa naingia kuchangia kama hivi
 
Babu yenu nimezidi kuzeeka now, macho hayaoni sana 😜

Niwe mkweli, kila siku nasoma JF kama guest user 😜

Mazingira yakiniruhusu ndiyo huwa naingia kuchangia kama hivi
Hayo macho yapigwe msasa ule laini mithili ya ulimi huenda ukasaidikaπŸ˜…

Haya karibu guest user wa kuchaji
 
Hayo macho yapigwe msasa ule laini mithili ya ulimi huenda ukasaidikaπŸ˜…

Haya karibu guest user wa kuchaji
Ngoja nimalize kuvuna tumbaku yangu utaniona mara nyingi tu 😜

Jioni nipeleke tupunge upepo Sun N Sand beach mjukuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguuu kwani tunapigajee? Ujue nacheka nini? Debo na fake p wako pembeni, wameibuka wapyaa kulikoniii?

Mie nataka Debo na fake P wamalizie pambano sikubaliii nikose hitimisho.
Wee!!
Lt col kaniangusha sana kuwa mtu wa hivi. Hana tofauti na penseli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…