Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,721
- 50,059
Kaka🙌🙌Hatuna muda wa kupoteza braza.
Kaka🙌🙌Hatuna muda wa kupoteza braza.
Napenda kushinda na familia home pale ninapokuwa sina mingo za maana...Kwa miaka mingi, bar ndio imekua sehemu yangu ya kupotezea muda pale ambapo hakuna mpira, sijisomei n.k! Kwa miezi kadhaa niliamua kuacha pombe, nikajikuta nikiwa free kuua muda, nikawa naenda kwenye kahawa. Jana ndio niliamua sintokanyaga tena kijiweni, mada zisizo na maana!
Nyakati ambazo unaamka, huna cha kufanya. Msiotumia pombe, je mnapotezea wapi muda?
Draft unajifunza, anza kuuzulia mitanange ya wanaojua na anza kucheza mara kwa mara hizo copy utazijua tu kadri unavyochezaHivi draft ni kipaji au mtu anajifunza??
Kusukuma kete najua ila zile sijui kopi ndo sijui hata moja
Kuwa mtu wa ibada basi.Pole braza.