Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

Kwa miaka mingi, bar ndio imekua sehemu yangu ya kupotezea muda pale ambapo hakuna mpira, sijisomei n.k! Kwa miezi kadhaa niliamua kuacha pombe, nikajikuta nikiwa free kuua muda, nikawa naenda kwenye kahawa. Jana ndio niliamua sintokanyaga tena kijiweni, mada zisizo na maana!

Nyakati ambazo unaamka, huna cha kufanya. Msiotumia pombe, je mnapotezea wapi muda?
WENYE AKILI WANAFIKIRIA KUUKOMBOA WAKATI. WASIO WANAFIKIRIA KUUPOTEZA.
 
Naomba nikuhakikishie hadi katita umri wangu huu wa miaka 30+ tayari nina:
makazi yangu, nina elimu rasmi ya shahada, nina kipato cha uhakika kisichopungua mil 10 kwa mwaka, nimeshatembea karibu 90% ya nchi hii,
nimeshatembelea nchi 4 za EAC, nilishakua na hali ngumu za kimaisha nikarudi tena barabarani lakini silaha yangu imekua moja tu, im always humble so Wehu wa akili kama wewe nilishakutana nao wengi sana.

ingawa ninakili, kupata mke imekua changamoto. Kama una dada yako asiye mswahiliswahili, anayejua majukumu ya mke karibu PM.
 
Kama una miaka 30plus unachojivunua ni nyumba na kusafiri vi nchi 4 5 east africa umenishangaza sana. Hizo sifa wanazo mademu wao wamefika mpaka dubai na china. Na wana nyumba hata 3 plus. Umri huo umeshindwa kupata mwanamke ambaye angeweza kukuona wewe mume. Unataka wanaume tukutafutie... Sasa wewe kweli utakuwa mwanaume dogo? Miaka ya nyuma ilikuwa mtu aina yako anadhaurika sana. Siku hizi vijana mnaona kawaida tu... Inasikitisha sana. Ndo maana unawaza kupoteza muda badala ya kuukomboa.
 
Huwa nakaa gheto nanunua Pepsi barid na Eet sum Mor naangalia movie, budget ya Pepsi 1 na Eet sum Mor 1 ni budget yako ya kunywa viroba na zile pombe za kupima kwa mwezi mzima.
Hiyo sukari unayo fakamia kwenye hivyo ulivyotaja hamchekani na mnywa pombe kwa madhara yake mwilini ya hivyo vitu mnavyotumia.
Unafuu kwako Pepsi na hizo biscuits hazina uraibu wa kukuharibia maisha kirahisi Kama pombe.
 
Ila Africa raha sana, yani mtu mzima kabisa Ana mpaka muda wa ziada wa kupoteza?
 
Ni kweli hakuna muda wa kupoteza hasa miaka hii ya technology na uhaba wa ajira..
Lakini inategemea na mambo kadhaa, Kazi/Ajira yako, umri , mazingira unayoishi n.k

mfano: mwekezaji wa Real Estate sio muda wote atakuwa busy
Mkuu kiuhalisia kila binadamu ana muda wa kupoteza haijalishi anafanya nini, hii kauli ya hakuna muda wa kupoteza ni uongo!!!
 
Kwa miaka mingi, bar ndio imekua sehemu yangu ya kupotezea muda pale ambapo hakuna mpira, sijisomei n.k! Kwa miezi kadhaa niliamua kuacha pombe, nikajikuta nikiwa free kuua muda, nikawa naenda kwenye kahawa. Jana ndio niliamua sintokanyaga tena kijiweni, mada zisizo na maana!

Nyakati ambazo unaamka, huna cha kufanya. Msiotumia pombe, je mnapotezea wapi muda?
Muda wa kupiteza unautoa wapi??
 
Hiyo sukari unayo fakamia kwenye hivyo ulivyotaja hamchekani na mnywa pombe kwa madhara yake mwilini ya hivyo vitu mnavyotumia.
Unafuu kwako Pepsi na hizo biscuits hazina uraibu wa kukuharibia maisha kirahisi Kama pombe.
Unataka nile mitishamba
 
Kwa miaka mingi, bar ndio imekua sehemu yangu ya kupotezea muda pale ambapo hakuna mpira, sijisomei n.k! Kwa miezi kadhaa niliamua kuacha pombe, nikajikuta nikiwa free kuua muda, nikawa naenda kwenye kahawa. Jana ndio niliamua sintokanyaga tena kijiweni, mada zisizo na maana!

Nyakati ambazo unaamka, huna cha kufanya. Msiotumia pombe, je mnapotezea wapi muda?
Mazoezi na kuongeza ujuzi kwa kujifunza vitu vinavyonipa shida kwenye kazi yangu au kuongea juzi niwe bora zaidi.
Kwa mara ya kwanza utaona kama inaleta shida, ila ukizoea kwa muda mfupi sana utakua na thamani kubwa sana. Jaribu kwa mwezi mmoja tu utaona mabadiliko[ wazungu wanaita personal development 😁😁😁]
 
Kwa miaka mingi, bar ndio imekua sehemu yangu ya kupotezea muda pale ambapo hakuna mpira, sijisomei n.k! Kwa miezi kadhaa niliamua kuacha pombe, nikajikuta nikiwa free kuua muda, nikawa naenda kwenye kahawa. Jana ndio niliamua sintokanyaga tena kijiweni, mada zisizo na maana!

Nyakati ambazo unaamka, huna cha kufanya. Msiotumia pombe, je mnapotezea wapi muda?
Home tu, hapa nacheza gospel za Rose Mhando tu.....
 
Back
Top Bottom