Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

Kwa miaka mingi, bar ndio imekua sehemu yangu ya kupotezea muda pale ambapo hakuna mpira, sijisomei n.k! Kwa miezi kadhaa niliamua kuacha pombe, nikajikuta nikiwa free kuua muda, nikawa naenda kwenye kahawa. Jana ndio niliamua sintokanyaga tena kijiweni, mada zisizo na maana!

Nyakati ambazo unaamka, huna cha kufanya. Msiotumia pombe, je mnapotezea wapi muda?
1. Mazoezi
2. Kusoma na kujifunza maarifa mapya
3. Kucheza na watoto au kuwafundisha
4. Kupika na kujifunza mapishi ya aina mbali mbali.
5. Kuwa na bustani ya mbogamboga au maua
6. Kuangalia movies, documentaries ukiwa na watoto
7. Kufanya usafi wa nyumba na maeneo yanayozunguka.
 
Huo muda unaoutumia kuua figo na ini , kula nyama mbichi zilizobanikwa jikoni na kununua ukimwi bei raisi kwa MAGUMEGUME yanayopatikana bar yanayotumia madawa ya kunenepesha mwili, sisi tunatumia kufanya ibada, kuwa karibu na familia na kufanya mazoezi
 
Kama Kijiwe cha JF hakikutoshi basi jitafakari utakuwa na shida sehemu.

70% ya Watanzania ni wachawi tu, ni Bora hata marafiki wa online kuliko hivyo vijiwe vyenu ni wachawi kamili waliokosa vitendea kazi Tu.
 
Huo muda unaoutumia kuua figo na ini , kula nyama mbichi zilizobanikwa jikoni na kununua ukimwi bei raisi kwa MAGUMEGUME yanayopatikana bar yanayotumia madawa ya kunenepesha mwili, sisi tunatumia kufanya ibada, kuwa karibu na familia na kufanya mazoezi
Hizi Ibada ndio zitakunya ufe na figo nzima na maini mazima?

Una uhakika kwenye Ibada zenu hakuna wenye Ukimwi?
 
1. Mazoezi
2. Kusoma na kujifunza maarifa mapya
3. Kucheza na watoto au kuwafundisha
4. Kupika na kujifunza mapishi ya aina mbali mbali.
5. Kuwa na bustani ya mbogamboga au maua
6. Kuangalia movies, documentaries ukiwa na watoto
7. Kufanya usafi wa nyumba na maeneo yanayozunguka.
Mkuu haya mambo unayoyafanya sio kupoteza muda
 
Kumbe watu mna muda wa kupoteza na hatuambiani
Tunaingiza pesa kwenye mitkasi zetu ili vizazi vyetu vije kutawala vizazi vya wavivu baadaye...
Hii kitu huwa sielewi, inakuwaje mtu anakuwa na muda wa kuchezea hadi anauliza cha kuufanyia?

Huwa ninaforce tu kukomenti JF, muda huwa hauniruhusu kabisa.
 
Back
Top Bottom