Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,944
- 177,160
🤠🤠🤠🤠!
Nimeipenda hii!
🤠🤠🤠🤠!
Tunapoteza muda ndani... Hahaha🤠🤠🤠🤠!
Nimeipenda hii!
Hakika. Birds of the same feathers...Tunapoteza muda ndani... Hahaha
Pole wewe mwenye muda wa kupoteza.Pole braza.
Hatuna muda wa kupotezaKwa miaka mingi, bar ndio imekua sehemu yangu ya kupotezea muda pale ambapo hakuna mpira, sijisomei n.k! Kwa miezi kadhaa niliamua kuacha pombe, nikajikuta nikiwa free kuua muda, nikawa naenda kwenye kahawa. Jana ndio niliamua sintokanyaga tena kijiweni, mada zisizo na maana!
Nyakati ambazo unaamka, huna cha kufanya. Msiotumia pombe, je mnapotezea wapi muda?