Marry Hunbig aka Mzungu Mndali, how are u my dear, miss u so much!! Na mwaka huu kama ni ban hunipati tena. Ha ha ha ha!!!
Marry Hunbig aka Mzungu Mndali, how are u my dear, miss u so much!! Na mwaka huu kama ni ban hunipati tena. Ha ha ha ha!!!
Hebu tueleze kisa na mkasa mkuu Excellent,maana angalizo lako linatisha mkuu!!
Honestly utakuwa na matatizo ya kisaikolojia. kama kitu huelewi si unapotezea?Mtu anapoku tag maana yake ka value uwepo wako kama rafiki au mchango wako ni wa maana..lkn kila mtu nadhani ana ajenda zake hapa jf hivo kwa wale wanaokutag message sent and delivered
Watch your stepsnoahism....!!
Ha ha haNiwacheni mie nifurahie na Marry Hunbig nawe kafurahie na mtu wako sijui nani vile!
Ha ha ha
Mmesikia na nadhani mmemuelewa
Mwambie kama anataka kuchezea ban, amnyang'anye Maxence Melo ugali wake.Invisible .... Ban ni haki ya kila mwanaJF. Mpeni haki yake tafadhali!
mambo dia! Mbona hivyo jamani!
niwacheni mie nifurahie na marry hunbig nawe kafurahie na mtu wako sijui nani vile!
Ha ha ha ha
Hahaha, unafulia weww. Sasa si usifungue tagged notifications? Hebu tupishe sie!