msinione kimya jamani....

hilo bepari la kihaya halina lolote., tangu litoke mwanza participation yake hapa jf ni "O" nafahamu mengi yalomsibu huku. ngoja nimlie time kwanza. asiponi-airtel money namchana makavu live. shaurilo Bishanga. . .
 
Last edited by a moderator:
charminglady nimekumisije wewe
uko salama aise
Mbona hujanipigia kura kuwa mheshimiwa supika mzee wa mwongozo
Naruhusiwa kukupa busu aise
(mwahhaaa ,wahhaaa kwenye mabano mtu asione)
 
Last edited by a moderator:
ajajajajajaja. Kaka unanishawishi niamini kuwa umeamua kuwa mshrika wa Erickb52?

No no kaka
Mi si nasema kweli mkuu au hapo naongopa
Mi na Erickb52 hatuna ushirika kabisa wala hatuna utani
Utani wetu ni wa ngumi tuu akileta za kuleta anapata za uso
 
Last edited by a moderator:
No no kaka
Mi si nasema kweli mkuu au hapo naongopa
Mi na Erickb52 hatuna ushirika kabisa wala hatuna utani
Utani wetu ni wa ngumi tuu akileta za kuleta anapata za uso

haingii akilini. Unaungana na chapombe?
 
Last edited by a moderator:
charminglady nimekumisije wewe
uko salama aise
Mbona hujanipigia kura kuwa mheshimiwa supika mzee wa mwongozo
Naruhusiwa kukupa busu aise
(mwahhaaa ,wahhaaa kwenye mabano mtu asione)

Hvi ulfanikiwa kumkamata yule dada poa wa pale Sekei alyekuotea juzi?
 
Last edited by a moderator:
Hvi ulfanikiwa kumkamata yule dada poa wa pale Sekei alyekuotea juzi?

Mhhh na wewe Nicas Mtei umeanza biashara ya najungu sasa
Ndo nini kutoa siri za kikao cha chama hadharani hivi
Hiyo ilikuwa double na Erickb52 maana tulikuwa tunamwania kwa pamoja ila Erickb52 aliliwa pesa zake ila mimi nilifanikiwa
 
Last edited by a moderator:
Mhhh na wewe Nicas Mtei umeanza biashara ya najungu sasa
Ndo nini kutoa siri za kikao cha chama hadharani hivi
Hiyo ilikuwa double na Erickb52 maana tulikuwa tunamwania kwa pamoja ila Erickb52 aliliwa pesa zake ila mimi nilifanikiwa

hahahahaha.. We c ulsema kuwa alikuotea wallet pa1 na cmu zote
 
Last edited by a moderator:
Mhhh na wewe Nicas Mtei umeanza biashara ya najungu sasa
Ndo nini kutoa siri za kikao cha chama hadharani hivi
Hiyo ilikuwa double na Erickb52 maana tulikuwa tunamwania kwa pamoja ila Erickb52 aliliwa pesa zake ila mimi nilifanikiwa
Hivi Mr Rocky wanao wa Meatu hawajambo?
Heheheee nasikia mmoja anataka kuanza shule mwakani lol kazi unayo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…