Msimpuuze Mange Kimambi she has a man behind her

Wakuu salamu,

Watu wengi wamekuwa wakimpuuza Mange kimambi na kudhani ni mtu aliyerukwa na akili pengine au ana msongo wa mawazo au talaka imemchanganya ila ukweli ni kwamba mwanadada huyu msema kweli (wanaomwita msema hovyo ni green demons).

Ana jamaa yake Tanzania mvaa suti nyeusi ambaye ndo huwa anammegea ubuyu wote kuhusu habari za kaya.

Hata ishu ya Bi mkubwa kutaka kubwaga manyanga na Mange kuiweka hadharani ilikuwa ni kweli tupu, Tatizo la Mange mdomo wake hauna break ila anayoongea huwa ni kweli tupu.

Na sasa hivi anajiandaa kulipua bomu la lala salama,tutege masikio.
Pia nayeye atalala salama
 
Embu kamuulize vizuri maana inasemekana yeye ndio yumo ndani ya ile team. Nakile anakifanya nikwasababu maalum ndio maana haguswi japo akivuka mstar wanamuadhibu. Pole sana
 
Acha ushamba Mange amezaa Wamarekani tena bado watoto nani wa kumfukuza?
Elimu*3
Isitoshe Trump amesema 'America First' Habari za Africa hazimhusu! Kama yupo America kihalali ataendelea kuishi Marekani. Tuache story za vijiweni. Trump anaangalia maslahi ya waamerica Africa mkpigana mchambane haimhusu. UN mambo yanabadilika so tudeal na ya kwetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom