Msimpuuze Mange Kimambi she has a man behind her

Shida KUU YA MANGE KAMA SIO KUPATA NAFASI YA UGOMBEA UBUNGE UKAWA BASI VITI MAALUM AU SABABU ZA KUWA MKIMBIZI WA KISIASA(anachotaka ni magu achukue hatua za kumporomosha huko asingizie kwa wazungu akirudishwa nchini mwake watamuua,so njia nyeupe kuishi kamili marekani)
That makes perfect sense. Umeona mbali mkuu
 
Lakini anawasadia vipi chadema na upinzani kisiasa kwa ujumla, zaidi ya umbea? Kwa maana CCM imeshinda Kata 19 kati ya 20!
Lakin ushindi wenye kiburi na malingo ambao ni ushindi wa kishujaa ni pale mnapopigana kwa uhuru kila mmoja akiwa anarusha ngumi ikiwa free, lakin huwezi kuushangilia ushindi wakati unaye pigana naye kafungwa kamba maana yake hapo utakuwa unampiga na sio mnapigana na ukiona mtu anashangilia ushindi wa aina hii basi ni hakika mtu huyo anamatatizo katika ubongo wake.??
 
Mimi sio mpenzi wa ccm mkuu, ni mpinzani halisi, ila Mange ni mnafiki mkubwa sana. Yeye ndo alikua kinara wa kumpigia kampeni Magufuli huku akiwa mstari wa mbele kumtukana lowassa na upinzani kwa ujumla matusi makubwa ya nguoni, na ali-influence wengi sana mitandaoni. Ikumbukwe kua wakati huo alikua katika harakati za ubunge kinondoni.
Baada ya kutoswa ubunge chuki na ccm ikaanza, na leo anajifanya kua yupo upinzani na anaiponda serikali kwa nguvu zote. Ila inajulikana wazi mpango wake ni kujipenyeza penyeza kwenye ubunge 2020 (hata mwenyewe aliwahi kusema hilo).
Huo kama sio unafiki ni nini?
Nimekupata kamanda...nlijua humkubali kwasababu ya kusema maovu ya serikali...
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji110][emoji123]
 
Ahsante, bora umejitambulisha mwenyewe!.

Mvaa suti nyeusi mwenyewe ni wewe, so mkuu ingekuwa vyema hayo maubuyu ukayamwaga humu kuliko kumwagia Mange bhna...
 
Mimi sio mpenzi wa ccm mkuu, ni mpinzani halisi, ila Mange ni mnafiki mkubwa sana. Yeye ndo alikua kinara wa kumpigia kampeni Magufuli huku akiwa mstari wa mbele kumtukana lowassa na upinzani kwa ujumla matusi makubwa ya nguoni, na ali-influence wengi sana mitandaoni. Ikumbukwe kua wakati huo alikua katika harakati za ubunge kinondoni.
Baada ya kutoswa ubunge chuki na ccm ikaanza, na leo anajifanya kua yupo upinzani na anaiponda serikali kwa nguvu zote. Ila inajulikana wazi mpango wake ni kujipenyeza penyeza kwenye ubunge 2020 (hata mwenyewe aliwahi kusema hilo).
Huo kama sio unafiki ni nini?

Sasa huyu nae anataka Ubunge....!!!

Mungu saidia nchi yangu Tanzania.
 
Sasa huyu nae anataka Ubunge....!!!

Mungu saidia nchi yangu Tanzania.
Alichukua mpaka form ya ubunge jimbo la kinondoni kwa tiketi ya ccm mwaka 2015, ingawa hakuirudisha akidai kua alitishiwa maisha
 
Bungeni kunaenda watu wa ajabu sana ndio maana kuna vitu vinapitishwa unabaki kushangaa tu.
 
Lakini anawasadia vipi chadema na upinzani kisiasa kwa ujumla, zaidi ya umbea? Kwa maana CCM imeshinda Kata 19 kati ya 20!
hapa juzi kati nilikuwa naongea na veteran mmoja wa siasa hapa Tanzania (a prominent and very influential CCM cadre) and this is what he confided in me.....

quote
"...kaka, come 2020 CCM will (not may or could or can or must or should but WILL) cease to be the ruling party. one way or the other!"
unquote

sijui ni nini kinaendelea huko but kuna kitu kikubwa sana it seems!
 
....teh hee hee.,kwa kuwa wewe ulimeza unataka utumezeshe na sie,sio?
...labda 20200,sio kwa aina hii ya wapinzani wachumia tumbo waliopo!
.utasubiri sana!
 
anayesema hivo ni kada wa CCM. labda kutakuwepo na CCM academia 2020, labda ndiyo alikuwa anamaanisha hivo.
 
Ila ule ubuyu wa jana wa mume wake na kajala ndio kanishangaza dahh sijui kama hakuweka na pilipili
 
anayesema hivo ni kada wa CCM. labda kutakuwepo na CCM academia 2020, labda ndiyo alikuwa anamaanisha hivo.
.....wote wenye nguvu na ushawishi chamani hakuna mwenye uthubutu wala hata dhamira ya kufanya hilo litokee;
...kama alishindwa Lowassa,ndo basi tena!
..uwanja wao,refa na makamisaa wao,sheria za mchezo wanatunga wao,
...unategemeaje ushindi hapo
 
hata mimi sijui. ngoja tusubiri hiyo 2020 anayoisema huyu kada maarufu wa CCM!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom