Msimpuuze Mange Kimambi she has a man behind her

Sijawahi kuona mtu mnafiki kama Mange
Mimi nishawahi kumuona mtu mnafiki zaidi ya mange...
Niww..
Mtu mpenzi wa ccm mitandaoni ujue huyo ni mnafiki hayupo nchini tz...
Ukitoa wazee wapenzi wa ccm..nao wanafikki tu
 
Mimi sio mpenzi wa ccm mkuu, ni mpinzani halisi, ila Mange ni mnafiki mkubwa sana. Yeye ndo alikua kinara wa kumpigia kampeni Magufuli huku akiwa mstari wa mbele kumtukana lowassa na upinzani kwa ujumla matusi makubwa ya nguoni, na ali-influence wengi sana mitandaoni. Ikumbukwe kua wakati huo alikua katika harakati za ubunge kinondoni.
Baada ya kutoswa ubunge chuki na ccm ikaanza, na leo anajifanya kua yupo upinzani na anaiponda serikali kwa nguvu zote. Ila inajulikana wazi mpango wake ni kujipenyeza penyeza kwenye ubunge 2020 (hata mwenyewe aliwahi kusema hilo).
Huo kama sio unafiki ni nini?
 
Hahahaa pooovuuu.usipokua tayari kuliwa huli(umequote post yangu so vumilia jibu langu lolote iwe nimekulisha maneno au pumba mezea maji)
Sijasema kuna binaadamu mbaya usinilishe maneno nime appreciate. Mtu akisema London nzuri haimanishi Paris mbaya. Don't quote wrong
 
Hahahaa pooovuuu.usipokua tayari kuliwa huli(umequote post yangu so vumilia jibu langu lolote iwe nimekulisha maneno au pumba mezea maji)

Nafua sahivi maana limenitoka kweli. Mpaka nkamu quote mshua
 
Shida KUU YA MANGE KAMA SIO KUPATA NAFASI YA UGOMBEA UBUNGE UKAWA BASI VITI MAALUM AU SABABU ZA KUWA MKIMBIZI WA KISIASA(anachotaka ni magu achukue hatua za kumporomosha huko asingizie kwa wazungu akirudishwa nchini mwake watamuua,so njia nyeupe kuishi kamili marekani)
Mimi sio mpenzi wa ccm mkuu, ni mpinzani halisi, ila Mange ni mnafiki mkubwa sana. Yeye ndo alikua kinara wa kumpigia kampeni Magufuli huku akiwa mstari wa mbele kumtukana lowassa na upinzani kwa ujumla matusi makubwa ya nguoni, na ali-influence wengi sana mitandaoni. Ikumbukwe kua wakati huo alikua katika harakati za ubunge kinondoni.
Baada ya kutoswa ubunge chuki na ccm ikaanza, na leo anajifanya kua yupo upinzani na anaiponda serikali kwa nguvu zote. Ila inajulikana wazi mpango wake ni kujipenyeza penyeza kwenye ubunge 2020 (hata mwenyewe aliwahi kusema hilo).
Huo kama sio unafiki ni nini?
 
Wakuu salamu,

Watu wengi wamekuwa wakimpuuza Mange kimambi na kudhani ni mtu aliyerukwa na akili pengine au ana msongo wa mawazo au talaka imemchanganya ila ukweli ni kwamba mwanadada huyu msema kweli (wanaomwita msema hovyo ni green demons).

Ana jamaa yake Tanzania mvaa suti nyeusi ambaye ndo huwa anammegea ubuyu wote kuhusu habari za kaya.

Hata ishu ya Bi mkubwa kutaka kubwaga manyanga na Mange kuiweka hadharani ilikuwa ni kweli tupu, Tatizo la Mange mdomo wake hauna break ila anayoongea huwa ni kweli tupu.

Na sasa hivi anajiandaa kulipua bomu la lala salama,tutege masikio.
Mvaa suti nyeusi ndo nani?acha kukurupuka wewe govinda,nyie ndo mnasababishwa maxmello asumbuliwe.ukibanwa umtaje huyo mvaa suti utamtaja?
 
Aya ndonaanza jeans. Kwnini sasa usikamege ka Mange maana kana ngenye. Afu nawewe upo single
 
Lakini anawasadia vipi chadema na upinzani kisiasa kwa ujumla, zaidi ya umbea? Kwa maana CCM imeshinda Kata 19 kati ya 20!
Imeshinda au imeshindishwa? Wenye akili CCM wala hawazungumzii hilo!
 
Shida KUU YA MANGE KAMA SIO KUPATA NAFASI YA UGOMBEA UBUNGE UKAWA BASI VITI MAALUM AU SABABU ZA KUWA MKIMBIZI WA KISIASA(anachotaka ni magu achukue hatua za kumporomosha huko asingizie kwa wazungu akirudishwa nchini mwake watamuua,so njia nyeupe kuishi kamili marekani)
Shule za kata bwana zinashida sana, haya waaminishe lumumba wenzako mawazo yako
 
Mimi sio mpenzi wa ccm mkuu, ni mpinzani halisi, ila Mange ni mnafiki mkubwa sana. Yeye ndo alikua kinara wa kumpigia kampeni Magufuli huku akiwa mstari wa mbele kumtukana lowassa na upinzani kwa ujumla matusi makubwa ya nguoni, na ali-influence wengi sana mitandaoni. Ikumbukwe kua wakati huo alikua katika harakati za ubunge kinondoni.
Baada ya kutoswa ubunge chuki na ccm ikaanza, na leo anajifanya kua yupo upinzani na anaiponda serikali kwa nguvu zote. Ila inajulikana wazi mpango wake ni kujipenyeza penyeza kwenye ubunge 2020 (hata mwenyewe aliwahi kusema hilo).
Huo kama sio unafiki ni nini?
n kweli alikuw n kinara wa kumpigia kampen Magu kutokana na unyenyekevu wa Magu pamoja na busara zake za wakat ule wa kampen, ila kw sasa huyu Magu unaemjua ww n yule wa kipindi kile cha kampen... wala Mange hana unafki wowote ila n msema kweli maana hoja anazozitoa asilimia 90 uwa n ukweli mtupu...
 
Hhhahaha sahivi bongo kla mtu ni infoma.
Ngoja tusikilizie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom