My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,293
Wakuu salamu,
Watu wengi wamekuwa wakimpuuza Mange kimambi na kudhani ni mtu aliyerukwa na akili pengine au ana msongo wa mawazo au talaka imemchanganya ila ukweli ni kwamba mwanadada huyu msema kweli (wanaomwita msema hovyo ni green demons).
Ana jamaa yake Tanzania mvaa suti nyeusi ambaye ndo huwa anammegea ubuyu wote kuhusu habari za kaya.
Hata ishu ya Bi mkubwa kutaka kubwaga manyanga na Mange kuiweka hadharani ilikuwa ni kweli tupu, Tatizo la Mange mdomo wake hauna break ila anayoongea huwa ni kweli tupu.
Na sasa hivi anajiandaa kulipua bomu la lala salama,tutege masikio.