Msimpuuze Mange Kimambi she has a man behind her

Msimpuuze Mange Kimambi she has a man behind her

Bomu la lala salama ndio nini? Unadhani hajui Trump keshaingia madarakani? Hawezi tukana tena kama zamani anajua...the end is.......ha ha haaaa....
Kaeni mkingoja atarudishwa mwenzenu anavibali
 
Hiii kitu kuna Mtu nlikua napiga story nae... Akawa anasema kua Mange lazima atakua na watu walioko kwenye system wanampush kufanya hvyo... Either mawaziri or mtu yyte very powerful ambae hafurahishwi na utendaji wa Mkuu... All in all time is the best medicine.. ngoja tusubr tuone
 
Aah shost naona umekuja kujitetea
16464171_1388001837888790_7728133448254095360_n.jpg

Na wewe tafuta yako yakudumu
 
Wakuu salamu,

Watu wengi wamekuwa wakimpuuza Mange kimambi na kudhani ni mtu aliyerukwa na akili pengine au ana msongo wa mawazo au talaka imemchanganya ila ukweli ni kwamba mwanadada huyu msema kweli (wanaomwita msema hovyo ni green demons).

Ana jamaa yake Tanzania mvaa suti nyeusi ambaye ndo huwa anammegea ubuyu wote kuhusu habari za kaya.

Hata ishu ya Bi mkubwa kutaka kubwaga manyanga na Mange kuiweka hadharani ilikuwa ni kweli tupu, Tatizo la Mange mdomo wake hauna break ila anayoongea huwa ni kweli tupu.

Na sasa hivi anajiandaa kulipua bomu la lala salama,tutege masikio.
yaani yeye kujiandaa kulipua tu na wewe ukajua, au wewe ndiye huyo mvaa suti?
 
Mange kimambi ndo uchafu gani? Kila ukiingia hunu mange wee mange? Mmekosa cha kujadili mpaka mnajadili upuuzi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom