ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,253
- 14,798
We ni Kihiyo! unataka amchambue Trump kwa wa TZ kwani ndo waliomchagu?Hahahaa kwan divorce hajapewa? Kama haogopi kufukuzwa mbona hamchambui trump kama anavyomchezea magu,chezea wazungu wewe.
We ni Kihiyo! unataka amchambue Trump kwa wa TZ kwani ndo waliomchagu?Hahahaa kwan divorce hajapewa? Kama haogopi kufukuzwa mbona hamchambui trump kama anavyomchezea magu,chezea wazungu wewe.
We ni Kihiyo! unataka amchambue Trump kwa wa TZ kwani ndo waliomchagu?
Genious kwani hili povu umenunua foma ngapi mbona limetapakaa hivi.(punguza kukurupuka)
View attachment 464673 Post namba 81 ina fanana na hii picha? kama siyo basi wewe ni kilaza.
Mwisho wa ubuyu wake uko karibuWakuu salamu,
Watu wengi wamekuwa wakimpuuza Mange kimambi na kudhani ni mtu aliyerukwa na akili pengine au ana msongo wa mawazo au talaka imemchanganya ila ukweli ni kwamba mwanadada huyu msema kweli (wanaomwita msema hovyo ni green demons).
Ana jamaa yake Tanzania mvaa suti nyeusi ambaye ndo huwa anammegea ubuyu wote kuhusu habari za kaya.
Hata ishu ya Bi mkubwa kutaka kubwaga manyanga na Mange kuiweka hadharani ilikuwa ni kweli tupu, Tatizo la Mange mdomo wake hauna break ila anayoongea huwa ni kweli tupu.
Na sasa hivi anajiandaa kulipua bomu la lala salama,tutege masikio.
Huwezi kuniona, ndio maana situmii simu🙁🙁🙁Hahahaahah bonge la povuuuu(kama nakuona unavyotamani kuipasua simu pole)
Huwezi kuniona, ndio maana situmii simu🙁🙁🙁
Kwa hiyo wewe ndo huyo jamaa yake au ndo mpambe?Wakuu salamu,
Watu wengi wamekuwa wakimpuuza Mange kimambi na kudhani ni mtu aliyerukwa na akili pengine au ana msongo wa mawazo au talaka imemchanganya ila ukweli ni kwamba mwanadada huyu msema kweli (wanaomwita msema hovyo ni green demons).
Ana jamaa yake Tanzania mvaa suti nyeusi ambaye ndo huwa anammegea ubuyu wote kuhusu habari za kaya.
Hata ishu ya Bi mkubwa kutaka kubwaga manyanga na Mange kuiweka hadharani ilikuwa ni kweli tupu, Tatizo la Mange mdomo wake hauna break ila anayoongea huwa ni kweli tupu.
Na sasa hivi anajiandaa kulipua bomu la lala salama,tutege masikio.
Hivi mpaka sasa bado hujateuliwa nyadhifa au bado unapiga deki toi hapo lumumba
Ova
Duh.....basi kazi anayoSio kila muosha choo anaweza kupewa cheo. Uyo atabaki kuwa muosha choo.
Atatumia kiswahili ili Trump asimwelewe.Bomu la lala salama ndio nini? Unadhani hajui Trump keshaingia madarakani? Hawezi tukana tena kama zamani anajua...the end is.......ha ha haaaa....
Labda kwenye ndoto,sijaona mtanzania was kuiondoa ccm mie,wapuuzi bado wengi plus NECccmhapa juzi kati nilikuwa naongea na veteran mmoja wa siasa hapa Tanzania (a prominent and very influential CCM cadre) and this is what he confided in me.....
quote
"...kaka, come 2020 CCM will (not may or could or can or must or should but WILL) cease to be the ruling party. one way or the other!"
unquote
sijui ni nini kinaendelea huko but kuna kitu kikubwa sana it seems!
Haaaa haaa...namkumbuka EricMy son drink water