Elisabela jambo moja huelewi kwa nini chadema asilia iliamua kumpigia kura Magufuli. Hivi huelewi kweli au ushabiki tuu. Unadhani kama chadema ikiendelea na watu hawahawa mafisadi waliotoka ccm mwaka 2020 hata harufu ya wabunge unaweza ikosa. Usidhani wananchi ni wajinga.
Kwa hiyo tulipigia Magufuli ili tupate fursa kwanza ya kunyooshana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ilikuwa haiwezekani tuachie mafisadi waende ikulu kirahisi hivi na kukataa maamuzi dhalimu ya kifisadi ya bwana Mbowe na group lake.
Babeli, chokochoko hazitakupeleka popote katika maisha. Kama vipi anzisha chama majina ni mengi tu chadema achana nayo. Kwanza ulimchagua magufuli sasa kinachokukimbiza ni nini baki ccm

Wadau na wanye mapenzi mema na chadema asilia. Tunawashukuru wote ambao waliamua bila unafiki kumpigia kura Dr Magufuli na hasa kwa kuzingatia ushauri wa Dr Slaa na Prof Lipumba. Allah awabariki makamanda hawa!
Kama tukivyokubaliana chadema asilia tunawataka viongozi wote waliopo sasa kujipima na kuachia madaraka ili chama kiundwe upya vinginevyo uchaguzi ujao utafika tukajikuta hatujapiga hatua yoyote.
Ujio wa Dr Slaa sasa utakuwa chachu ya mabadiliko ndani ya chadema. Tunategemea mafisadi tuliowapokea chadema wataondoka wakati wowote na kwenda walipotoka au kuanzisha chama chao. Baada ya hapo tutamwomba sasa Dr Slaa arudi kundini kuongoza jahazi jipya. Asalaam aleikhum
Siwezi kuwapigia debe tena CHADEMA ni wazandiki wakubwa.
Babeli mi nakuona katika angle 2. Aidha hujakomaa kisiasa au una tabia za kichochezi. Kama hukukubaliana na chadema toka kampeni kwanini unataka kurudi sasa wakati vyama ni vingi na pia kwa msajili hakuna kikomo? Kwanini unang'ang'ana na chadema kama ulishawaona hawafai? Kiukweli unaudhi, tulia fanya yako achana na ya chadema