Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Hayo ya viti maalum ndio usiseme. Uozo mtupu. Kila kona malalamiko.naona siasa imeshakuwa biashara. Wachache wanataka kuneemeka kwa kura za wananchi jawa wanyonge kwa sababu kura zao ndio zinawawezesha wai kugawana mavyeo tu wanavyotaka. Dunia gani hii
 
Dr Slaa yeye mwenyewe alikiri kuwa hakuwa na wazo la kugombea Utais. Sasa hizi porojo zunatoka wapi? Chadema imeongeza majimbo kuliko ilivyokuwa 2010.

Linganisha ongezeko la wabunge wakati ilipokuwa Dr Slaa na kipindi hiki alivyokuwa huyu! Kwa ku refer kutoka mwaka 2010 kabla ya uchaguzi hali ilivyokuwa. Ni ongezeko au anguko. Piga hesabu. Hii inamaanisha kama angekuwepo Dr Slaa.ongezeko la wabunge lingekuwa mara mbili ya hawa wa sasa. Tume feli feli tu. Inaonekana ni mwanzo wa kuporomoka. Kumbukeni TLP, NCCR, na CUF walikuwa hivihivi. Leo wako wapi. Unawabidi wajiegemeze kwa wengine walau wa survive.leo hii nccr ina mbunge mmoja. Khaaaaa !!!!!!!
 
hayo sio maandamano ya UKAWA wala chadema ni ya ccm ndio maana mpaka sasa ujasikia kupigwa marufuku yangekuwa ya chadema lazima polisi wangeshatoa kauli ya kupiga marufuku maana maandamano ya chadema au UKAWA nyomi yake lazima polisi wajipange
 
Hao chadema asilia wanatokea Burundi kwa nkurunzinza...??
 
hayo sio maandamano ya UKAWA wala chadema ni ya ccm ndio maana mpaka sasa ujasikia kupigwa marufuku yangekuwa ya chadema lazima polisi wangeshatoa kauli ya kupiga marufuku maana maandamano ya chadema au UKAWA nyomi yake lazima polisi wajipange

ni wao kwa wao hakuna madhara
 
Kwani mmelazimishwa kubaki chadema?Mnatuchosha na miporojo yenu njooni ACT kama mnataka mabadiliko ya kweli.
 
Safi sana kamanda kwa kujitambua, hata mimi ni chadema siwezi kuuza utu wangu kisa feza anazotoa mzee lowasa. Nipo pamoja na Dr SLAA

Kweli ushindi wa wizi unasumbua bado hamjajikubali kila mkilala lazima muiote chadema
 
kama kweli wewe unampenda Slaa na kumuamini muunge mkono katika kuachana na siasa,hizi porojo hazitawasaidia,poor CCM

Waambie wachukue kibabu chao waanzishe chama kwani tatizo nini au wao ndio watakuwa wa kwanza kuihama cdm? kila siku asilia asilia kama hilo nalo ni lichama lenye usajili si lijiweke tu hadharani lipate wanachama. Mijitu mingine sura za binadamu akili za panzi; sasa huko barabarani mkipigana mapanga au kukanyagwa na vifaru mnapata nini?
 
Mie najiuliza hivi Mbowe ujasiri wa kuamua kumchukua Lowassa na kumfanya mgombea urais wa chadema aliupata vp?? maana si jambo la kawaida ukizingatia Lowassa ni mtu ambaye tokea enzi za Nyerere amekuwa akitiliwa mashaka,lakini kama haitoshi chadema haohao ndiyo walikuwa wakimueleza Lowassa kuwa ni fisadi.

Lakini Mbowe bila kuhofia chochote akamleta Lowassa aje kuwa mgombea urais chadema,maana hata ikiwa hizo tuhuma kwa Lowassa ni uongo lakini bado inabaki watanzani wengi wanamuelewa Lowassa kama ni fisadi kwa muda mrefu.

Kwa hali hii basi pengine uchaguzi ujao yawezekana tukashangazwa zaidi,maana kama kweli ilionekana Lowassa ndiyo angeweza kuwa na ubavu wa kuitoa ccm ila ikashindikana basi uchaguzi ujao pengine atakuja mtu zaidi ya Lowassa.
 
Dr Slaa ni shujaa mwenye msimamo. Ni bahati mbaya sana kwa vijana credible kama Halima Mdee na Myika kupokonywa NARATIVE yao na uvamizi uliofanywa na Team Richmonduli. Hawa vijana walikuwa na Slaa wakisimamia narative ya ufisadi credibly. Now they have lost the moral high ground.Maana huwezi kupiga vita ufisadi na huku unaongozwa na mafisadi waliokubuhu.

Kwa sasa, wabunge wa Chadema hawana narative.

Kama Slaa akiamua kuanzisha CHADEMA ASILIA mimi nitamuunga mkono. Na nadhani baadhi ya hawa wabunge wazuri waliopotoshwa kidogo waturudi kwenye msimamo thabiti.
 
huu si muda wa kuanza kufuata mawazo ya shujaa gani sijui....shujaa wa maisha yako ni wewe mwenyewe piga kazi acha majungu ya huyu kununuliwa yule kauzwa.
 
Hawa vijana walikuwa na Slaa wakisimamia narative ya ufisadi credibly. Now they have lost the moral high ground.Maana huwezi kupiga vita ufisadi na huku unaongozwa na mafisadi waliokubuhu.

Kwa sasa, wabunge wa Chadema hawana narative.

spot on kaka.

Kilichofanya CDM kuwa tofauti na CCM ni swala la uongozi uliotukuka na ndio maana vijana wengi walihamasishwa 'blindly' kujiunga na CDM na wakawa wanashangaa vijana wenzao kwanini hawajiungi na CDM.

Ila matukio ya mwaka huu, kuanzia kumleta EL na viti maalum unaonyesha kwasasa hakuna option na kwa spidi ya JPM basi hakutakuwa na umuhimu wa kufuata CDM
 
Eti akina mbowe wanavyowadanganya wafuasi wao walikuwa wanamsema lowasa ili aende kwao sio kwamba wamenunuliwa
 
Kwa chadema asilia wote na wengine wapenda mabadiliko ya kweli !
Chadema asilia ina mpango wa kuushinikiza uongozi wa juu wote ujiuzuru na ufanyike uchaguzi mpya. Mbowe na group lake limetuingiza choo cha kike na hii hatuikubali. Shime tuunganishe nguvu tung'oe madhalimu haya, yenye kuendesha ukoloni mkongwe.
Be there
 
Kwa chadema asilia wote na wengine wapenda mabadiliko ya kweli !
Chadema asilia ina mpango wa kuushinikiza uongozi wa juu wote ujiuzuru na ufanyike uchaguzi mpya. Mbowe na group lake limetuingiza choo cha kike na hii hatuikubali. Shime tuunganishe nguvu tung'oe madhalimu haya, yenye kuendesha ukoloni mkongwe.
Be there

where have u been at all
 
Chadema asilia ni wale watanzania mamilioni waliotaka mabadiliko na kamwe hawawezi kua na akili kama zako..Akili hizo ni za Maccm yanayojivika ngozi ya uchadema.
 
Back
Top Bottom