Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

sisi bawacha wa unguja tutakuja huko kuwaunga mkono ili kudai haki yetu.

Mbowe katuchagulia wabunge wawili viti maalum tusiowatambua...yaani hawajawahi hata siku moja kupiga kampeni. Eti wamechaguliwa wanakuja kujitambulisha ofisi za chama...

hatukubaliiiiiii la sivyo tunarudisha kadi zetu woteee
 
chadema asilia ni wale wa cameroon waruka ukuta wanaotaka kutuletea mgawanyiko hakika hamtaweza
 
Kwa chadema asilia wote na wengine wapenda mabadiliko ya kweli !
Chadema asilia ina mpango wa kuushinikiza uongozi wa juu wote ujiuzuru na ufanyike uchaguzi mpya. Mbowe na group lake limetuingiza choo cha kike na hii hatuikubali. Shime tuunganishe nguvu tung'oe madhalimu haya, yenye kuendesha ukoloni mkongwe.
Be there
Pumbavu kabisa
 
Huyo ana akili za bata ww kama unahisi cdm imepoteza muherekeo kaa pemben kama Dr. Mihogo tuachie cdm au nenda ccm au act
 
kizalia cha mafisadi wewe na akili zako za kipunguani.

Hivi Ccm mmeiba nchi bado hamjiamini kweli dhuluma mbaya Moderator hivi inahitaji digirii kujua hawa ndi ma hacker wa kule FB na Tweeter?
Tumieni weledi futeni huu upuuzi
La sivyo mnazalilisha JF na kuangamiza biashara zenu kwa maslahi ya wajinga
 
Utakuwa na mtindio wa ubongo kiukweli kama mambo ya msingi kama haya utayadharau halaf unataka kutawala nchi. Utatawaje? ??? Kama siyo hekaya za abunuwasi. Mwanasiasa lazima tuone uhalisia wa anachoongea na jambo analotaka kulisimamia.
Mfano Mchungaji Msigwa alisema "atakayemuunga mkono Lowasa anatakiwa akapimwe akili" leo hii amelamba matapishi yake hivihivi.wanasiasa hawa wanataka kutupeleka wapi? ?? Nauliza

Uchaguzi umekwisha na huko hatuko tena, tunasonga mbele, tunachosubiri Rais Magufuli amteue waziri mkuu, wabunge waape shughuli ianze. Hii habari ya sijui slaa sijui lowassa sijui msigwa haina nafasi kwa wakati huu. Uchaguzi mkuu mwingine utafanyika mwaka 2020, watu wanasonga mbele na wengine wanajipanga upya wewe kalaga baho na padre wako. Kama Msigwa alisema anayemuunga mkono Lowqassa akapimwe akili na sasa amebadili mawazo so what, shallow minded always discuss people not issues, you seem to be among them, badirika wenzako hawako huko tena. Ati Chadema asili wewe umekuwa Mzee Mtei, huyu vipi.
 
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo;

1) Ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.

2) Ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka CCM na kuteuliwa kuwa mgombea urais.

3) Ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao.

4) Ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka CCM kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?

5) Ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka CCM wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka CCM.

6) Makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa CCM ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?

Tafakari chukua hatua haraka !!

Kamati kuu ifanye tathmini ya uchaguzi mkuu. Ilibainika kuwa mbowe aliburuza wajumbe alipobadilisha gia angani awajibishwe na mwenyekiti mwingine a chaguliwe. Chadema ya lowasa imekuwa ya kifisadi kuliko ccm.
 
Chadema imeangushwa na viongozi wetu wenyewe,sioni haya kuwataja,mbowe,lissu,MSIGWA,lema,mdee,myika pamoja na jembe slaa ila baadae wakatugeuka kwa kutueleza tumsamehe lowasa.kizuri slaa alisimamia ukweli.nitakupenda daima Dr slaa
 
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo;

1) Ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.

2) Ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka CCM na kuteuliwa kuwa mgombea urais.

3) Ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao.

4) Ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka CCM kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?

5) Ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka CCM wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka CCM.

6) Makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa CCM ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?

Tafakari chukua hatua haraka !!

ni bora mshauliane mwende kwenye chama cha wanafiki act kuliko kung'ang'ania cdm
 
Nenda act!kama ni mfuas wa dr slaa,achana na siasa maana,dr.slaa ameachana na aiasa
 
Yametimia. CHADEMA kinasambaratika. Chimbiko lake ni kosa la kukosa msimamo. Kumkumbatia Lowasa badala ya Slaa was a fatal mistake.

Nawasikitikia wabunge vijana shupavu kama Mnyika na Mdee. What will they do? Nashauri waanzishe chama kitakachoitwa CHADEMA ASILIA.
 
Back
Top Bottom