Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Unahorojeka kama yule bibi yenu wa lumumba
 
Wewe babeli unajisumbua tu kwanza hakuna chadema asilia walijaribu kina masaburi wanashindwa
 
Wadau na wanye mapenzi mema na chadema asilia. Tunawashukuru wote ambao waliamua bila unafiki kumpigia kura Dr Magufuli na hasa kwa kuzingatia ushauri wa Dr Slaa na Prof Lipumba. Allah awabariki makamanda hawa!
Kama tukivyokubaliana chadema asilia tunawataka viongozi wote waliopo sasa kujipima na kuachia madaraka ili chama kiundwe upya vinginevyo uchaguzi ujao utafika tukajikuta hatujapiga hatua yoyote.
Ujio wa Dr Slaa sasa utakuwa chachu ya mabadiliko ndani ya chadema. Tunategemea mafisadi tuliowapokea chadema wataondoka wakati wowote na kwenda walipotoka au kuanzisha chama chao. Baada ya hapo tutamwomba sasa Dr Slaa arudi kundini kuongoza jahazi jipya. Asalaam aleikhum

Siwezi kuwapigia debe tena CHADEMA ni wazandiki wakubwa.
 
Mwambie aanzishe chama chake kama inalipa manake miafrka ndivyo tulivyo.
 
Yaan huyu babel ni malaya wa kisiasa na uende na mbeleko airport umbebe huyu mihogo mwende naye hadi kwako mkamalizane n uasilia wenu....Yaan umpigie kura magufuli afu uje ulilie ukawa C uanze kazi na magufuli????...KWANI MAGUFULI NA CCM WANA USAFI GANI??? Anzisheni chama chenu jaman UNAKERA SANA YAAN UNA HULKA ZA KIKE KA FEBRUARY CJUI KWA NN UPO HVYO!!! Hatuwez kumpkea mtu aliyetuita mavi hata cku moja....yaan tuhangaike kupiga kampen wenyw afu micassava apewe uenyekiti kirahs namna hyo???? Kwa kazi ipi aliyoifanya kweny uchaguz huu???? ANGEWANAD HATA WABUNGE KIDOGO NINGEMUONA WA MAANA!!! Ila yy alitoka kifua mbele matako nyuma anainad ccm na act!!!! Kama lowassa hamtak na wabunge kina Mnyika walimkosea nn mpk awanad wa act???? MWENDE NAYE HUKOHUKO CCM NA MMWAMBIE KILE KINYESI KIMEKAUKA ILA KILE CHOO CHA CCM KINAENDELEA KUJAA TU..... Mwende ccm mkaendelee kujaza choo au mkajenge choo kipya act!
 
Aliahidiwa Ubunge wa kuteuliwa na uwaziri, Kwa hakika atarudi tu hana namna.
 
Sio uchochezi aiai654! Ni ukweli na utabakia kuwa ukweli. Tusioneane aibu na tuache unafiki, hatutaweza piga hatua kama tutaoneana aibu. Ni lazima tujifunze baada ya changamoto zilizopita na tujirekebishe kwa dhati kabisa bila kupepesa macho na faida yake tutaiona 2020
 
Wadau na wanye mapenzi mema na chadema asilia. Tunawashukuru wote ambao waliamua bila unafiki kumpigia kura Dr Magufuli na hasa kwa kuzingatia ushauri wa Dr Slaa na Prof Lipumba. Allah awabariki makamanda hawa!
Kama tukivyokubaliana chadema asilia tunawataka viongozi wote waliopo sasa kujipima na kuachia madaraka ili chama kiundwe upya vinginevyo uchaguzi ujao utafika tukajikuta hatujapiga hatua yoyote.
Ujio wa Dr Slaa sasa utakuwa chachu ya mabadiliko ndani ya chadema. Tunategemea mafisadi tuliowapokea chadema wataondoka wakati wowote na kwenda walipotoka au kuanzisha chama chao. Baada ya hapo tutamwomba sasa Dr Slaa arudi kundini kuongoza jahazi jipya. Asalaam aleikhum

Acha kumnasibisha Slaa na Chadema,Slaa si mwanachadema.Nakushauri wahi kwa msajili milango ipo wazi,kasajili hicho unachokiita Chadema asilia tuachie CHADEMA yetu,pumbavu.
 
Yaan huyu babel ni malaya wa kisiasa na uende na mbeleko airport umbebe huyu mihogo mwende naye hadi kwako mkamalizane n uasilia wenu....Yaan umpigie kura magufuli afu uje ulilie ukawa C uanze kazi na magufuli????...KWANI MAGUFULI NA CCM WANA USAFI GANI??? Anzisheni chama chenu jaman UNAKERA SANA YAAN UNA HULKA ZA KIKE KA FEBRUARY CJUI KWA NN UPO HVYO!!! Hatuwez kumpkea mtu aliyetuita mavi hata cku moja....yaan tuhangaike kupiga kampen wenyw afu micassava apewe uenyekiti kirahs namna hyo???? Kwa kazi ipi aliyoifanya kweny uchaguz huu???? ANGEWANAD HATA WABUNGE KIDOGO NINGEMUONA WA MAANA!!! Ila yy alitoka kifua mbele matako nyuma anainad ccm na act!!!! Kama lowassa hamtak na wabunge kina Mnyika walimkosea nn mpk awanad wa act???? MWENDE NAYE HUKOHUKO CCM NA MMWAMBIE KILE KINYESI KIMEKAUKA ILA KILE CHOO CHA CCM KINAENDELEA KUJAA TU..... Mwende ccm mkaendelee kujaza choo au mkajenge choo kipya act!
Elisabela jambo moja huelewi kwa nini chadema asilia iliamua kumpigia kura Magufuli. Hivi huelewi kweli au ushabiki tuu. Unadhani kama chadema ikiendelea na watu hawahawa mafisadi waliotoka ccm mwaka 2020 hata harufu ya wabunge unaweza ikosa. Usidhani wananchi ni wajinga.
Kwa hiyo tulipigia Magufuli ili tupate fursa kwanza ya kunyooshana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ilikuwa haiwezekani tuachie mafisadi waende ikulu kirahisi hivi na kukataa maamuzi dhalimu ya kifisadi ya bwana Mbowe na group lake.
 
Wadau na wanye mapenzi mema na chadema asilia. Tunawashukuru wote ambao waliamua bila unafiki kumpigia kura Dr Magufuli na hasa kwa kuzingatia ushauri wa Dr Slaa na Prof Lipumba. Allah awabariki makamanda hawa!
Kama tukivyokubaliana chadema asilia tunawataka viongozi wote waliopo sasa kujipima na kuachia madaraka ili chama kiundwe upya vinginevyo uchaguzi ujao utafika tukajikuta hatujapiga hatua yoyote.
Ujio wa Dr Slaa sasa utakuwa chachu ya mabadiliko ndani ya chadema. Tunategemea mafisadi tuliowapokea chadema wataondoka wakati wowote na kwenda walipotoka au kuanzisha chama chao. Baada ya hapo tutamwomba sasa Dr Slaa arudi kundini kuongoza jahazi jipya. Asalaam aleikhum

Hatumtaki huyo Dr Chadema, aende akajiunge na act au achague chama atakacho japo akifanya yote haya nitamuona boya kwn aliahidi kukaa kimya
 
Elisabela jambo moja huelewi kwa nini chadema asilia iliamua kumpigia kura Magufuli. Hivi huelewi kweli au ushabiki tuu. Unadhani kama chadema ikiendelea na watu hawahawa mafisadi waliotoka ccm mwaka 2020 hata harufu ya wabunge unaweza ikosa. Usidhani wananchi ni wajinga.
Kwa hiyo tulipigia Magufuli ili tupate fursa kwanza ya kunyooshana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ilikuwa haiwezekani tuachie mafisadi waende ikulu kirahisi hivi na kukataa maamuzi dhalimu ya kifisadi ya bwana Mbowe na group lake.
Babeli mi nakuona katika angle 2. Aidha hujakomaa kisiasa au una tabia za kichochezi. Kama hukukubaliana na chadema toka kampeni kwanini unataka kurudi sasa wakati vyama ni vingi na pia kwa msajili hakuna kikomo? Kwanini unang'ang'ana na chadema kama ulishawaona hawafai? Kiukweli unaudhi, tulia fanya yako achana na ya chadema
 
Yaan huyu babel ni malaya wa kisiasa na uende na mbeleko airport umbebe huyu mihogo mwende naye hadi kwako mkamalizane n uasilia wenu....Yaan umpigie kura magufuli afu uje ulilie ukawa C uanze kazi na magufuli????...KWANI MAGUFULI NA CCM WANA USAFI GANI??? Anzisheni chama chenu jaman UNAKERA SANA YAAN UNA HULKA ZA KIKE KA FEBRUARY CJUI KWA NN UPO HVYO!!! Hatuwez kumpkea mtu aliyetuita mavi hata cku moja....yaan tuhangaike kupiga kampen wenyw afu micassava apewe uenyekiti kirahs namna hyo???? Kwa kazi ipi aliyoifanya kweny uchaguz huu???? ANGEWANAD HATA WABUNGE KIDOGO NINGEMUONA WA MAANA!!! Ila yy alitoka kifua mbele matako nyuma anainad ccm na act!!!! Kama lowassa hamtak na wabunge kina Mnyika walimkosea nn mpk awanad wa act???? MWENDE NAYE HUKOHUKO CCM NA MMWAMBIE KILE KINYESI KIMEKAUKA ILA KILE CHOO CHA CCM KINAENDELEA KUJAA TU..... Mwende ccm mkaendelee kujaza choo au mkajenge choo kipya act!

Mbona lowasa wakati bado yupo ccm alishawahi sema chadema ni chama cha matapeli, kaa nacho mbali, na leo hii tumempokea? ?? Si bora kuitwa mavi !
 
Back
Top Bottom