yani ww ndorobo kweli umesikia edo anashida ya kuwa chadema au uoni amasa aliyotuachiaWadau na wanye mapenzi mema na chadema asilia. Tunawashukuru wote ambao waliamua bila unafiki kumpigia kura Dr Magufuli na hasa kwa kuzingatia ushauri wa Dr Slaa na Prof Lipumba. Allah awabariki makamanda hawa!
Kama tukivyokubaliana chadema asilia tunawataka viongozi wote waliopo sasa kujipima na kuachia madaraka ili chama kiundwe upya vinginevyo uchaguzi ujao utafika tukajikuta hatujapiga hatua yoyote.
Ujio wa Dr Slaa sasa utakuwa chachu ya mabadiliko ndani ya chadema. Tunategemea mafisadi tuliowapokea chadema wataondoka wakati wowote na kwenda walipotoka au kuanzisha chama chao. Baada ya hapo tutamwomba sasa Dr Slaa arudi kundini kuongoza jahazi jipya. Asalaam aleikhum
Hivi mpaka dakika hii bado hamjajifunza upuuzi uliofanywa na viongozi wa Chadema? Mnafikiri chama bado kinaaminiwa kwa kiwango kile kile ukitoa nyie mashabiki wachache wa mitandaoni? Dr Slaa karibu Tanzania tuijenge upya Chadema ....
unapoona mtu anadhubutu kunyanyua mdomo wake huku akimsifu lowasa kua nikamanda na akimtuhumu dr.slaa kua ametumwa na ccm mtu huyo muangalie kwa jicho la tatu. Watu wanahoji vitu vya msingi wewe unakuja na tuhuma zako ambazo hazina hata kamshiko. Lowasa amewalisha nini nyinyi? Lowasa shida yake yeye awe rais na sio kutatua kero za watanzania kamaanavyo jinasibu kwenye majukwaa. Angekua ana nia ya kutatua asingetuibia kias hicho. Kama lowasa alikua anaona ccm, mfumo wake ni mbaya na hakuna demokrasia kwanini walichukua fomu ya urais? Watanzania ifike mahali tuziache akili zetu zifanye kazi natupunguze mihemko ya vyama vya siasa "politician ain't humanitarian" tunakazi ya kuijenga tanzania yetu. Epuka matapeli
jibu hoja acha mahabakilicho kuhamishia lumumba ni nini sasa???
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo;
1) Ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) Ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka CCM na kuteuliwa kuwa mgombea urais.
3) Ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao.
4) Ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka CCM kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) Ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka CCM wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka CCM.
6) Makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa CCM ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?
Tafakari chukua hatua haraka !!