Msimamo wangu

Ha ha mleta thread anavyoongea hapa utakuta washa.mfungua..na mwanzo alikuwa na mashart..mwanaume hanipati mpaka anioe

uwiii! hilo wala halijawahi ingia akilini mwangu
 
Wewe huna masharti kwani binti kituko yukoje na anafananaje

sura kama baba yake. ni wale mademu ambao enzi tupo chuo unamuelekeza chumba aje moja kwa moja.

in short sura yake mbaya mpake ni aibu kupita naye mbele ya watu!!
 
watu kama hawa dawa yake ni kukaa nyumbani tuu!! hakuna kufanya kazi au asitegemee nitampa hela yangu apelekee wazazi wake!!
 
hongera sana kama "unaye"!
btw, huo msimamo ulioonesha hapo juu ni standard kwa wanawake wote, siyo kwako tu.
sisi wanaume misimamo yetu huwa siri ya mtu binafsi.

mbona huwa mnaitoa sasa humu!!!
 
sura kama baba yake. ni wale mademu ambao enzi tupo chuo unamuelekeza chumba aje moja kwa moja.

in short sura yake mbaya mpake ni aibu kupita naye mbele ya watu!!

baba wengine mahb wa nguvu so binti akifanana nae anakuwa beautifull, mpaka ukamuelekeza chumbani kwako it means amekuvutia, teh, uzuri upo machoni pa mtu
 
watu kama hawa dawa yake ni kukaa nyumbani tuu!! hakuna kufanya kazi au asitegemee nitampa hela yangu apelekee wazazi wake!!

huo ni mcmamo wako!!
 
masharti meeeengi afu unakuta binti mwenyewe kituko lol!!!!

kwa viwango vinavyojulikana.... mtu mwenyew unakuta hatoki nje bila make ups, mara kunyanyua boobs sana tu afu bado anakuwekea masarti hivi!!!



Vipi chini ni mnato kwanza?


Kwanza kabla ya kuwa na msimamo una quality hizo?

Kuna wengine anaweza kuwa na msimamo mdogo tu bia za TBL hanywi anataka Heineken au Savanna je una hizo quality za deiwaka aspend na wewe bila roho kumuuma?

Ndio narudi kwenye hoja yako sasa, uzoefu unaonesha beautiful woman wengi hawana complication kwa hiyo unapokuwa na mlolongo wa terms and conditions basi viendane na quality yako, siyo watu wanakesha hapa wengine kumbe ni Mbuta Nanga yupo online

Weka hata picha ya kucha basi! si masharti marefu km zindiko la utajiri kumbe binti mwenyewe Asha Ngedere afadhali, kicheko ka cha Bi Chau!?

Misimimamo lazima iwe sambamba na Neema za allah, sio unakuja una miguu imekomaa kama yangu af unaleta misimamo,



these minds kwakweli zilinipa picha fulani kuwa wanaume huangalia womans looks zaid ktk kudefine wife material, so to them haijalishi mwamamke ana tabia zipi as long as ni wazuri kwa vigezo walivyoviongelea its okey with them, na hii ni sababu kubwa iliyopelekea ndoa nyingi kuwa na migogoro mingi au kuvunjika kabisa, camooon men a 'wife' ni zaidi ya looks, ila pia nawashukuru Nyani Ngabu Kim nana Tized akohi Ngalikihinja Eli79 na wengine waliotoa michango yao iliyoonyesha ukomavu wa kifikra na kuonyesha wana uelewa wa hali ya juu juu ya haya masuala kwa ujumla, na wale mlotukana pia nashukuru kwani mmeonyesha ukomavu wenu(lol)
 
Last edited by a moderator:

kwa kifupi hapo umeongelea wazee wa zamani na kizazi cha sasa.... mambo yamebadilika, tabia na maadili mostly ni kwenu, sa hizi kitu cha kwanza ni general look, watu hawataki kutembea na vituko... tutawatambulishaje kwenye bussiness meeting zetu, pale hawataulizia tabia, the way you look wao wataconclude....

changes are inevitable....
 
Last edited by a moderator:

ooooops!!!
 
ndoa nyingi sana zinamatatizo siku hizi,kwasababu ya wanaume tunaangalia sana sura.hatuangalii tabia.
 
ndoa nyingi sana zinamatatizo siku hizi,kwasababu ya wanaume tunaangalia sana sura.hatuangalii tabia.

yeah thats true, kama huyo mwenzio anyeyesema watu hawataulizia tabia, kwani umeolea watu kwa ajili ya maonyesho au kupata furaha ya moyo na ya maisha kwa ujumla?!!!
 

 

Samahani mkuu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…