so wewe umeolewa?na umeolewa na mkurya?na unampandia kichwani kama unavyojielezea hapa?huyo ni mkurya feki sio originalkwani kwenye ndoa watu huingia mara ngapi??
Atoto ni kweli mwanaume akijipendekeza fanya yako akikupa pesa na kaukimwi safi yaani we mwendo mdundo
so wewe umeolewa?na umeolewa na mkurya?na unampandia kichwani kama unavyojielezea hapa?huyo ni mkurya feki sio original
Hawa ndo wanalegeaga mpaka huluma ha ha ha
kwani wakurya wana nn jamani mbona huwa wanaogopwa hivyo!!
Hawa wanajitutumua tu huwa wanakaa ivi na vimsimamo vyao vizuri then akifikia40 years ndio anaanza kuhaha kusaka ndoa, mwishowe wanaolewa na Serengeti boys wanaishia kuwaonga simu, GARI, na urithi wote!! Wana stress hao, utawaonea huruma!!
Iyo ni baada ya miaka kwenda akajiona mpweke...hats mume wake anawahi kwa akina zawadi, anakuta wali Nazi, juice ya baridiiii, mtoto ananukia UDI na marashi ya pwani, then uyu anakuja kulala oooh mume wangu ana mchepuko, sababu no izi izi!!
yeah mariooo na watoto wa mama wachungulie kwa mbaaaalii