Msimamo wangu

Msimamo wangu

Msimamo wako unaonyesha dalili zote kuwa una matatizo ya kisaikolojia
 
hv wakurya wakoje mpaka wanaogopwa hv??? mbona mimi mkurya wangu hana shida na mcmamo unatekelezeka!!

Sio kwamba wanaogopwa,they are the real,wakurya mfumo dume kwao ni daima dumu,huyo uliyenaye utamjua rangi zake halisi ukiingia naye kwenye ndoa!mbwembwe zako zote zitaisha,ndio maana hata Mungu kakupeleka kwake ili siku moja uje kuyameza majigambo yako!
 
Utakuta jitu Kama hili linapigwa free P....bila huruma na boksa linafua,then anakuja Hapa JF na misimamo ya kipumbavu
Ndo maana hata maandiko ya nasema muishi nao Kwa akili

ooops!!!
 
Sio kwamba wanaogopwa,they are the real,wakurya mfumo dume kwao ni daima dumu,huyo uliyenaye utamjua rangi zake halisi ukiingia naye kwenye ndoa!mbwembwe zako zote zitaisha,ndio maana hata Mungu kakupeleka kwake ili siku moja uje kuyameza majigambo yako!

kwani kwenye ndoa watu huingia mara ngapi??
 
mtoa mada hizo huduma zote unazotaka unatoa 0712.../0713.../0654!!!???
 
cha kuniliza!! this isnt a war ni mcmamo tu
Baba watoto wako! jamanii u must know Money is not everything !! Yaani watu kuf-a-ana ! pippo by pippo kuna leo na kesho ! kuna uhai na mauti !! kuna uzima na ugonjwa !
 
Baba watoto wako! jamanii u must know Money is not everything !! Yaani watu kuf-a-ana ! pippo by pippo kuna leo na kesho ! kuna uhai na mauti !! kuna uzima na ugonjwa !

sasa hapo kutokujali kuko wapi??? ni wajibu wake to provide for me n our kids
 
Your life your rules. Hao wanaosema misimamo ya kipumbavu kwani ni misimamo ipi iliyo maandiko hata kila mtu aifuate???
Aghaaaa!!!
 
Back
Top Bottom