Msimamo wangu

Msimamo wangu

haya aliyoongea karibia wanawake wote wanapenda hivyo, sema inategemea na mwanaume mwenyewe ana msimamo gani, ukilegea kweli atakufanyia hivyo!

so inamaana hamtaki kulegea nyie?
 
Quality anaziona mwanaume na anizavalue na kuzipa TBS.

Ndio maana wengine mnapigwa P kwenye Guest za buku 20 wengine hotel za buku 50 sinza wengine 5 star hotel Presidential suite.

kama ndio hivyo basi kila mtu ana quality
 
Misimamo ya kizamani hiyo,siku hizi ishapitwa na wakati (outdated)..
 
ni ubahili na sio ubahiri...

btw ubahili wangu hapo sasa uko wapi?

sipendi mwanamama mwenye masharti au msimamo kama wako...

yeah!! sasa watu8 unadhani utawahudumiaje wakiwa na msimamo km huo, punguza angalau wawe wawili
 
kama ndio hivyo basi kila mtu ana quality

Ndio narudi kwenye hoja yako sasa, uzoefu unaonesha beautiful woman wengi hawana complication kwa hiyo unapokuwa na mlolongo wa terms and conditions basi viendane na quality yako, siyo watu wanakesha hapa wengine kumbe ni Mbuta Nanga yupo online
 
what mataz ni kuwa ana quality, thats it
 
Ndio narudi kwenye hoja yako sasa, uzoefu unaonesha beautiful woman wengi hawana complication kwa hiyo unapokuwa na mlolongo wa terms and conditions basi viendane na quality yako, siyo watu wanakesha hapa wengine kumbe ni Mbuta Nanga yupo online

mbuta nanga huyu huyu wa london? teh teh umenikumbusha leo kavaa chupi imeandikwa "I LOVE YOU EZDEN" yule mdada amechizika wallah.
 
Back
Top Bottom