Msimamo wangu

Msimamo wangu

Hujapata anaejua MAPENZI, utashangaa unabomoa ''kibubu'' chako na kilichomo unamkabidhi. Nakukumbusha wimbo wa Bi Kidude.
''Mhogo wa Jang'ombee, utaulamba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo.''


yaani nibomoe kibubu kwa wewe kutimiza majukumu yako!!! never
 
kwa viwango vinavyojulikana.... mtu mwenyew unakuta hatoki nje bila make ups, mara kunyanyua boobs sana tu afu bado anakuwekea masarti hivi!!!


the beuty is in the eye of beholder
 
Back
Top Bottom