these minds kwakweli zilinipa picha fulani kuwa wanaume huangalia womans looks zaid ktk kudefine wife material, so to them haijalishi mwamamke ana tabia zipi as long as ni wazuri kwa vigezo walivyoviongelea its okey with them, na hii ni sababu kubwa iliyopelekea ndoa nyingi kuwa na migogoro mingi au kuvunjika kabisa, camooon men a 'wife' ni zaidi ya looks, ila pia nawashukuru
Nyani Ngabu Kim nana Tized akohi Ngalikihinja Eli79 na wengine waliotoa michango yao iliyoonyesha ukomavu wa kifikra na kuonyesha wana uelewa wa hali ya juu juu ya haya masuala kwa ujumla, na wale mlotukana pia nashukuru kwani mmeonyesha ukomavu wenu(lol)