Msimamo wangu

Msimamo wangu

wanaume mabahili leo hapa watakuwaje wakali!!!! ngoja niagize novida mie nijionee mpambano wa mineno ya shombo

!
!
Novida,mh! tia na kiroba kimoja au viwili halafu kuja pande hii. Ila kiukweli naenjoy kuhonga,mno kuliko hata mitoko.
 
MSIMAMO WANGU: -
1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea!
2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi!
3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa!
4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau! Imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide!
6. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine ctaki!
7. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi!
8. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa!
9. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo!
10. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu! Narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali!
*NIMEMALIZA*

Vipi chini ni mnato kwanza?

Wakati mnaendelea kuchangia topic hii hasa kina dada nawaomba mchangie kwa utashi na uelewa wako usifuate mkumbo kisa Lara 1 kacomment hivi wakati akiwa na mimi anajuwa who is the king and how to treat a Man.

Mitandao ina nafasi kubwa kujenga au kubomoa jamii na jamii yetu leo inalia kuhusu dunia kubadilika kumbe dunia haijawahi kubadilika na haijawahi kuwa flat bali ni tufe.

Kuna watu hii mitandao wanaichukulia serious sana kupata uelewa na ushauri mbalimbali, sikatai kila mtu ana msimamo wake lakini wengine si misimamo yao bali lengo kuu ni kupotosha na kuwajaza ujinga wanawake wasiojuwa thamani yao.

Siku hizi ukisimama kwenye ukweli hapa jamvini kuna watu hawapendi ukweli bali porojo tupu.

Sisi wengine kuna vijana wameoa kwetu na wamewezeshwa mitaji wakaanze maisha yao na assets zingine ambazo hakuna tija ya kuzitaja, hebu tubadilike watoto zetu wakija kusoma JF miaka ijayo hizi thread ziwe zimeshiba kama misahafu, mtoto wa kike ajuwe mume bora yukoje na wa kiume ajuwe mke bora yukoje.

Alamsiki.
 
hao watoto pia wapaswa kufunzwa kuwa na misimamo na wasiyumbishwe, thats it
 
pamoja mkuu....mitazamo yetu itofaitiane ni sawa but utu wetu ndo jambo la msingi

Nahisi neno PUMBAVU limekuboa sana. Upumbavu ni ukosefu wa maarifa kuhusu jambo fulani. So i think huyu binti kuna kitu anakosa ndo maana ana act hivyo but hayupo real.
 
Nahisi neno PUMBAVU limekuboa sana. Upumbavu ni ukosefu wa maarifa kuhusu jambo fulani. So i think huyu binti kuna kitu anakosa ndo maana ana act hivyo but hayupo real.

unahisi nakosa nini?
 
Hii misimamo mingine huwa haina uhalisia kabisa na ni migumu sana kuitekeleza.

Lakini kwa ajili ya changamsha jamvi tu huwa inavuta nadhari za wengi.

Kwanza kabla ya kuwa na msimamo una quality hizo?

Kuna wengine anaweza kuwa na msimamo mdogo tu bia za TBL hanywi anataka Heineken au Savanna je una hizo quality za deiwaka aspend na wewe bila roho kumuuma?
 
Back
Top Bottom