Msimamo wangu ndani ya Chama

Msimamo wangu ndani ya Chama

Kama hukuwahi kutambua kuwa CHADEMA kupitia BAVICHA kina watetezi wa kiwango cha chini kabisa katika uelewa wa masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii basi utakuwa mgeni hapa Jamiiforums.

Nguli wa behavioral science aitwaye Steve Maraboli aliwahi kusema, People tend to be generous when sharing their nonsense, stupid and ignorance.

Hawa ndiyo BAVICHA.

Mbona tumeshawajua mmeshampa cha Mwampamba.
 
Siku Molemo akishabikiwa na vibaraka wa Lumumba naomba afukuzwe mara moja chamani.Hakuna kamanda wa kweli anayeweza kushabikiwa na Nguchiro.

Kwa namna ya pekee niwapongeze makamanda wote wa Chadema wanaopigania chama chao dhidi ya vibaka wachache.

Niwatambue kwa uchache

Kamanda Chademakwanza
Kamanda Standalone
Kamanda Crashwise
Kamanda IKWETE
Kamanda Mwita Maranya

Na makamanda wote mlioingia kwenye uzi huu kuumbua vibaraka wa Lumumba.

Always it is Either you are with us or Against us!

Kwa taarifa yako ndani ya chadema kuna watu wanaweza sifiwa na watu wengine siyo wewe ambaye unacho jua ni matusi tuu we na genge lako wakina Mungi na Crashwise..! Hivi umuoni mwenzio Ben saanane anavyo jibu hoja za watu? umesha wai kumuona ana tukana watu humu?
 
Last edited by a moderator:
naungana na wewe tu kwa sababu nimechoka kutawaliwa na mkoloni huyu mweusi. ila haibadili ukweli kuwa wewe unatetea tumbo laki. watetezi wataifa hili tuko wachache sana.
Jiangalie jina lako lako na mnachofanya kwenye ufisadi ndio uwabunuasi huo
 
haya ndiyo malalamiko yangu,kujenga hoja tunashindwa kwa ajili ya kukurupuka,tulia fikiria kabla hajachukua hatua

Mambo vipi Rosemarie; pole sana rafiki yangu! Samahani nimepitia bandiko lako, sijakuelewa kabisa! Tatizo ni nini? Hoja yako ni ipi? Njoo chumbani kama hutaki kufunguka huku sebureni. Sema sema yote hakuna tatizo.
 
Kwa taarifa yako ndani ya chadema kuna watu wanaweza sifiwa na watu wengine siyo wewe ambaye unacho jua ni matusi tuu we na genge lako wakina Mungi na Crashwise..! Hivi umuoni mwenzio Ben saanane anavyo jibu hoja za watu? umesha wai kumuona ana tukana watu humu?
Huwezi tukanwa kama wewe si moja wapo wa tusi

Chadema Kwanza
 
Last edited by a moderator:
Kama hukuwahi kutambua kuwa CHADEMA kupitia BAVICHA kina watetezi wa kiwango cha chini kabisa katika uelewa wa masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii basi utakuwa mgeni hapa Jamiiforums.

Nguli wa behavioral science aitwaye Steve Maraboli aliwahi kusema, People tend to be generous when sharing their nonsense, stupid and ignorance.

Hawa ndiyo BAVICHA.

Unazungumzia wale vijana 2000 mliowaajiri pale Lumumba? teh teh teh!
 
Mambo vipi Rosemarie; pole sana rafiki yangu! Samahani nimepitia bandiko lako, sijakuelewa kabisa! Tatizo ni nini? Hoja yako ni ipi? Njoo chumbani kama hutaki kufunguka huku sebureni. Sema sema yote hakuna tatizo.

Hoja yake kuu ni kua kwanini tumembaini yeye ni Act
 
Sijawahi kuona busara yoyote toka kwa mwanachama wa chadema, zaidi ya Jazba na mihemko, na ninajisikia aibu mno kumwona Mtanzania mwenzangu Bwn. Mbowe akiamrisha kikundi cha walinzi, yaani ile heshima iliyokuwepo kidogo kwa huyu mtu ndio imepotea kabisa, hastahili kuheshimiwa tena huyu mtu amepoteza thamani yake mbele yangu.
 
Last edited by a moderator:
Na mwaka huu mtaibishana mpk mkome, mara ACT mara Chadema, mnaandka paragraph 3 hamuelewek, mnatukanana ndo mnataka nchi nyie? Hata kuendesha Mkoa hamjafkia jamani! Kiongozi bora atatoka ccm, trust me.

CCM haijawahi kutoa kiongozi bora na haitatokea CCM kutoa kiongozi bora,ni amini mimi.
 
Sijawahi kuona busara yoyote toka kwa mwanachama wa chadema, zaidi ya Jazba na mihemko, na ninajisikia aibu mno kumwona Mtanzania mwenzangu Bwn. Mbowe akiamrisha kikundi cha walinzi, yaani ile heshima iliyokuwepo kidogo kwa huyu mtu ndio imepotea kabisa, hastahili kuheshimiwa tena huyu mtu amepoteza thamani yake mbele yangu.
Huwezi kumueshimu wala haitaji heshima toka kwamafisadi na magenge yao
 
Sijawahi kuona busara yoyote toka kwa mwanachama wa chadema, zaidi ya Jazba na mihemko, na ninajisikia aibu mno kumwona Mtanzania mwenzangu Bwn. Mbowe akiamrisha kikundi cha walinzi, yaani ile heshima iliyokuwepo kidogo kwa huyu mtu ndio imepotea kabisa, hastahili kuheshimiwa tena huyu mtu amepoteza thamani yake mbele yangu.

Huwezi kuona maana upo chama kimoja na Le Mutuz!
 
Hongera rosemarie kwa kusema ukweli wako ndivyo tunavyotakiwa kuwa tusiwe wanafiki tunakihujumu chama ni bora mtu akasema ukweli kukisaidia chama.
Mh. Mwenyekiti tunakoelekea siko Hongera ulikipandisha chati chama kwa miaka 5 iliyopita lakini sasa hivi kimeanza kuporomokaa . Itisha wanachama wa kawaida ukae nao mjadiliane wakueleze wapi pa kurekebisha. sio kukaa na viongozi tu watakupotossha
 
Kamwe Chadema hakiwezi shirikiana na Act
 
Hongera rosemarie kwa kusema ukweli wako ndivyo tunavyotakiwa kuwa tusiwe wanafiki tunakihujumu chama ni bora mtu akasema ukweli kukisaidia chama.
Mh. Mwenyekiti tunakoelekea siko Hongera ulikipandisha chati chama kwa miaka 5 iliyopita lakini sasa hivi kimeanza kuporomokaa . Itisha wanachama wa kawaida ukae nao mjadiliane wakueleze wapi pa kurekebisha. sio kukaa na viongozi tu watakupotossha

Ule mgogoro wenu nasikia msajili alimpa Mwigamba na #TeamZitto ushindi! teh teh teh teh!
 
Back
Top Bottom