Msimamo wangu ndani ya Chama

Msimamo wangu ndani ya Chama

Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.

Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa
CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.

Mimi nikiwa kama mwanachama wa
CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.

naamini siku moja
CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.

CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.

Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!

Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!

Rosemary Kimaro!

Mbona hueleweki unataka lipi lilekebishe? unaonekana kama umetoka kitandani na jamaa yako
 
CHEDEMA TANGU mwanzoni mwa miaka ya 1990.mpaka leo hata siyo katibu wa msingi,tawi wala kata?
Kadi namba hakuna?
Viongozi wako akinanani huko unakotoka?

Hawa itakuwa wale waliokuwa.wakipokea buku saba.lumumba na kujichanganya humu waonekane cdm mwisho wa siku waje kindumilakuwili kama huyu anayejiita rose huku hatudanganyiki october ni siku ya maziko ya marehemu ccm kamwambie aliyekutuma umekuta wenyeji hawapo kalaghabaho.
 
Wakati huu ni muhimu kwa Intelijensia makini ya Chadema kuwa macho saa 24...
 
Siwezi kuamini mwanachama Wa mwanzo Wa chama kusema chama ni kama chama tawala kinaweza kupotea kama chama tawala na kufanya vibaya zaidi utakuwa unamatatizo yako na chama Sasa kwa nini usirudishe kadi kwa sababu uwezi kutaka mawazo yako yaheshimiwe na watu unakua nap tofauti kiitikadi wewe unaamini chama kinawez kitapotea kama ccm na kufanya vibaya na wengine tunaamini chama kitakomboa nchi yetu nibora urudishe kadi uwe mwanachama Wa chama unachokiamini wewe kitafanya vizur
 
Waite akina Nape, Mwigulu, Bashe na wenzio wengine waje! Hao makamanda wapo bize field wanahamasisha wananchi kujiandikisha!

Kuna mambo ya kuchekesha ktk siasa kama vile ALIFU ULELAULELA AU ALIBABA AND FORTY THIEVES.ukiwa wewe ni chama tawala unaweza mvua mtu uraia wake unavyopenda na ukaurudisha unavyopenda...AIBU....Huyu Bashe alivuliwa uraia kwa masaa na ukarudishwa na mpaka leo UHAMIAJI kupitia kwa ABBAS ILOVYA haujatoa tamko.Sasa inakuwaje waliomvua uraia wanamuona ni kamanda wao???..tumuogope MUNGU maisha ni mafupi saana.
 
CHADEMA kina watu mitandaoni wenye fikra tofauti, maneno yao si msimamo wa chama. MSIMAMO HUWEKWA NA VIONGOZI
 
Kutokçfana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.

Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa
CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.

Mimi nikiwa kama mwanachama wa
CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.

naamini siku moja
CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.

CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.

Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!

Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!

Rosemary Kimaro!

Nina wasi wasi mkubwa na uelewa wako kama upo timamu unasema umejiunga CHADEMA mwaka 1990 halafu unasema haina tofauti na ccm kwahiyo ulikuwa unahimiza watu watoke ccm waje CHADEMA ili nini?

Unasemaa maana watu wamekuwa katika mfumo huu wa ccm kwa hiyo hakuna jipya wewe haujui unachoandika wewe ni gamba tu endelea kutumikia mafisadi huna sifa hata ya kuitwa Kamanda
 
Rosemarie utakufa cku c nyingi. Kujifanya mwanachadema. Yesu aliwaambia mtawajua kwa matunda yao. Chadema mtu mwenye akili mgando km wewe. Afu umejiumbua wewe peke yako. Shimo unalolichimba utadumbukia mwenyewe. Hakuna kitu kibaya km kutumia tumbo kufikiri kuliko kutumia ubungo. Nackitika pia kuwa kwenye kichwa chako hakuna ubongo kuna udongo.
 
Shetani ni baba wa uongo na wewe kwakuwa wasema urongo bila shaka ndiye shetani mwenyewe siwezi subiri mwingine.

Kwanini ung'ang'anie mahala hutakiwi? Soma alama za nyakati km wenzako wewe. Hatuelei mimba sisi. Inavyoonekana unaishi kimatonya wewe bila kupeleka umbea+uongo kwa wazee wa lumumba mkono hauendi kinywani. Pole kwako na familia yako mana we huna faida kwako binafsi sembuse yaifa.
 
.....

CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi..... .........................................................................................................................
Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!

Rosemary Kimaro!

Ati mwanancha....wa Chadema!

Sijasoma post za wengine....lakini kama (RED) unaamini hivyo, nakushauri uachane na siasa. Ama kwa akili ya kawaida kabisa ukajiunge na chama cha CCM ambacho ndicho chama kilicholea mfumo wa watambuzi wako wa mambo. Lakini nakushauri, ukienda na kuwatangazia kuwa unajiunga na CCM kwa (RED) mtizamo huo , basi ukimkuta Msisiemu mwenye akili nzuri atakunyima kadi, lakini ukimkuta msisiemu masilahi atakupa kadi kwa kazi maalumu tu, na baada ya muda si mrefu utakuwa kama Lamwahhii,Shonzzaa na Mtellaa na wengineo.
 
Unazungumzia wale vijana 2000 mliowaajiri pale Lumumba? teh teh teh!

Hivi kumbe wameajiri vijana 2000 Lumumba!! Mbona hawaonekani huku au wanapiga pesa ya mafisadi tu wanaingia msituni maana wengi ni watu wa IQ ndogo sana hawana uwezo wa kujibu hoja za Chadema kwanza, Molemo, Mungi, Mwita maranya na wengine. Hao wanafanana na wale wabunge wao wanaolala bungeni
 
Back
Top Bottom