Msimamo wangu ndani ya Chama

Msimamo wangu ndani ya Chama

Usitubabaishe bwana, chadema ilikuwepo, ipo na itakuwepo hata bila wewe, wewe ni sisimizi tu, kwanza unashindwa kutambua kuwa wengi humu tunatumia ID ambazo si halisi, kwa mfano, Jenerali Ambamba, sasa kama mimi ni mwana CCM lakini nia yangu ni kutaka kuwa-provoke wanachama wa chadema wagombane lazima niandike kwa mwelekeo wa kuwa mimi ni mwenzenu yaan mwanachadema!

Pia, unashindwa kutambua kuwa, kila mtu ana upeo wake wa kufikiri hivyo namna unavyowaza wewe siyo lazima na mimi niwaze hivyo!!!!!

Tatu: Natilia shaka uanachama wako ndani ya chama, mwanachadema haropokei sebuleni bali chumbani.
 
rosemarie hata usipate shida.JF sio platform ya CHADEMA.

Najua CHADEMA ina platform yake ya kutangaza na kujulisha jamii mambo yaihusuyo

Na platform hiyo sio JF

Na hapa JF kuna msemaji wa chama Kurugenzi ya Habari na Tumaini Makene

Sasa kuna watu wapuuzi kama Molemo hao wasikupe taabu....Ni wapuuzi wachache ambao tunao CHADEMA.

CHADEMA ni chama kikubwa inabidi pia tuvumilie kuwa na wapuuzi kama hawa

Nakubaliana na wewe na naukubali msimamo wako...Katika CHADEMA tufuate kanuni,sheria na Katiba ya chama...hivyo ndivyo vituunganishe.

Asante.

Forward Ever,Backward Never
Freeland wa JF!

Mkuu nadhani kwenye hilo kundi la hao unaowaita wapuuzi waweza kuwemo na ww, huyo mwanadada hajaeleza tatizo lake ww umeshatoa hukumu kwa kusikia upande mmoja nadhan umeshindwa kuzongatia hiki Audi alteram partem (hear the other side)
 
Last edited by a moderator:

Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!

Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!

Rosemary Kimaro!

[/FONT]

Yaani wewe rosemarie kwa akili yako ndogo ya kiroboto unataka kulazimisha na wenye akili kubwa wafanane na wewe? kati ya Wanachama wa Chadema ambao ni hasara kwa chama (kama kweli ni mwanachama) basi ni wewe. Kwanza hujitambui na pili hutamnbui wajibu wako kwa chama chako.

Chama makini kama kilivyo Chadema hakiwezi kutegemea mtu mchovu kama wewe akisemee hapa JF hata siku moja. Hata familia yako yenyewe nina uhakika haiwezi kukuruhusu uwe msemaji wake.
 
Last edited by a moderator:
Huyu rosemarie aliingia Chadema miaka ile akidhani Chadema itaendekeza watu punguani km yeye. Alipoona hapati kile alichokitaka akaamua kuwa kibara wa ccm akijivika ngozi ya kondoo. Chadema wanajulikana na majizi yanajulikana akiwemo huyu punguani anaejishaua eti Chadema tangu miaka ya 90. Huna lolote wewe utasubiri sana nafasi za kiupendeleo km walizopewa wenzako akina makonda na akina mboni. Km unajua kupiga watu wazima au unagawa uroda ukuu wa wilaya unakuhusu. Ndugu iyo biashara haipo Chadema na kamwe haitakuwepo, ulikuwa mwanaChadema miaka ile ila sio kwa sasa. Tunatambulika kwa matendo yetu. Acha kufikiri kwa kutumia tumbo fikiri kwa kutumia ubongo ila nahisi kwenye kichwa chako hakuna ubongo kuna udongo ndo mana una fikra mgando.
 
Mkuu nadhani kwenye hilo kundi la hao unaowaita wapuuzi waweza kuwemo na ww, huyo mwanadada hajaeleza tatizo lake ww umeshatoa hukumu kwa kusikia upande mmoja nadhan umeshindwa kuzongatia hiki Audi alteram partem (hear the other side)

Mkuu tunatakiwa tuwe na uwezo hata wa kuwaelewa wale wenye uwezo mdogo wa kujieleza....Dada hapa ameonesha shida yake kubwa ni maoni ya wapuuzi wachache hapa JF wanaojifanya wao ndio ni CHADEMA kuliko wote
 
Yaani wewe rosemarie kwa akili yako ndogo ya kiroboto unataka kulazimisha na wenye akili kubwa wafanane na wewe? kati ya Wanachama wa Chadema ambao ni hasara kwa chama (kama kweli ni mwanachama) basi ni wewe. Kwanza hujitambui na pili hutamnbui wajibu wako kwa chama chako.

Chama makini kama kilivyo Chadema hakiwezi kutegemea mtu mchovu kama wewe akisemee hapa JF hata siku moja. Hata familia yako yenyewe nina uhakika haiwezi kukuruhusu uwe msemaji wake.

Mkuu hapa Umekosea

Kwa hio chama chetu cha CHADEMA kina wenye akili kubwa tu?

Mkuu,wewe ni mwanachama wa siku nyingi mwenye heshima zake...Jihadhari na kauli kama hizi

CHADEMA ni chama cha siasa kinachojumuisha watu wenye tabia ,haiba,akili,uwezo wa kifedha ,umri tofauti tofauti

Lakini wote kwa pamoja mchango wao ni muhimu haupaswi kubezwa...Hata Molemo pamoja na kwamba ana upuuzi mkubwa lakini pia ana mchango wake

Asante
Forward Ever,Backward Never
Freeland wa JF!
 
Hatujaona msimamo wako ndani ya chama cha CHADEMA. Nadhani ingekuwa bora ukapata mfano mmoja wa msimamo wako ukaueleza. Mfano: Pesa za Rugemalila zilizotolewa kwa Zito mbona hakuleta Chadema....halafu unadadavua ni kwa kiasi gani hizo pesa zilipaswa kupelekwa CDM na siyo kupewa CCM......na kadhalika. Badala yake umedai una msimamo bila kuuweka sawa, sisi tutaona majungu tena kwa mwanachama kama wewe kwanini usipeleke msimamo katika vikao vya chama usikilizwe?
 
"CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale"
HAPA NDIPO KIINI CHA MIMI KUKUONA KAMA UMECHEMSHA SANA.
KWAMBA KWA HAYA WANAYO YAFANYA WATAWALA WA CCM CDM IKACHUKUWA MADARAKA ITAKUWA ZAIDI.?! BASI HAKIKA HILI TAIFA HATA KICHAA ANAWEZA KULIONGOZA.
NINA UHAKIKA HUJAJUA BADO MAANA HALISI YA M4C
 
Hapa Mimi Naona Umeamua Kuendelea Kujiumbua....

Molemo amekuvuruga kweli, kwenye ule uzi wa Jana umeamua kuanzisha uzi mwingine tena..
 
Ninachoshindwa kuelewa ni kuwa hivi mtu akionyesha upenzi kwa CDM, CCM au CUF hapa jukwaani basi yeye anawakilisha maoni ya Chama kiasi kuwa akiandika pumba basi chama akipendacho kinabeba lawama? Sidhani kama ni sahihi kulinganisha mambo hayo, hapa JF kama mtu sio verfied na hana madaraka yeyote hawezi kuwa msemaji wa chama chochote na mawazo yake hayawakilishi chama bali yeye mwenyewe.
Tusipoangalia tutapotezwa maboya hapa tushangae. Hebu imagine Nape aje kwa ID tofauti na kujifanya mkereketwa wa Chadema mkubwa na akishachota akili tayari ni damage kiasi gani atafanya?
 
Siku Molemo akishabikiwa na vibaraka wa Lumumba naomba afukuzwe mara moja chamani.Hakuna kamanda wa kweli anayeweza kushabikiwa na Nguchiro.

Kwa namna ya pekee niwapongeze makamanda wote wa Chadema wanaopigania chama chao dhidi ya vibaka wachache.

Niwatambue kwa uchache

Kamanda Chademakwanza
Kamanda Standalone
Kamanda Crashwise
Kamanda IKWETE
Kamanda Mwita Maranya

Na makamanda wote mlioingia kwenye uzi huu kuumbua vibaraka wa Lumumba.

Always it is Either you are with us or Against us!
 
Last edited by a moderator:
rosemarie,

Ikiwa kweli unaipenda CHADEMA achana na hawa mamluki wa JF wanaojifanya kwamba wao ndo wana uchungu sana na chama kumbe wengi wao ni stress za maisha ndizo zinawasumbua! Hawa ni wale wanaotaka kila mtu aamini wao ndio wenye uchungu sana na nchi hii na ni wao peke yao ndio wenye uchungu na wanaofahamu nini maana ya mabadiliko! Hawa ni wale ambao hawataki hata siku moja wakisikia inaongelewa negative side ya chama utafikiri chama kinaongozwa na malaika!! Hao ni wale wa "ndio mzee" ili mradi jambo lenyewe limeongewa ama kufanywa na yule wanayeamuona ni wa maana! Hawa ni wale, usishangae, mtu na shahada yake lakini haoni taabu wala aibu kubeba mikoba ya wanasiasa! Hawa watashangilia kila kitu kinachotoka upande wao hata kama kitu chenyewe ni cha kipumbavu!

Bora wanafiki muendelee kufarijiana.
 
Umeeleweka ila ww hufanya hayo upande wa pili~msalimie mchawi wa mwandiga
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuu!!sasa ndo umeandika nini?watu wengine mna maudhiiii!!
 
Back
Top Bottom