Msimamo wangu ndani ya Chama

Msimamo wangu ndani ya Chama

Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.

Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa
CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.

Mimi nikiwa kama mwanachama wa
CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.

naamini siku moja
CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.

CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.

Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!

Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!

Rosemary Kimaro!

Kama kweli wewe ni muwazi card yako ya uanachama no ngapi.
 
Acha kua na akili kama za Nape hebu kajipange uje tena.
 
Yaani Haujui Ulijiunga Mwaka Gani, Unachojua Ni Myaka Ya 90 Mwanzonzo, Yani Mwezi Wa Kwanza 1990? Au Nimeelewa Vibaya, Msaada Tafadhari Kimaro,
 
rosemarie alipitiwa akijua kwamba Rais bado hajateuwa wakuu wa wilaya.
Kwakweli ameshtuka sana baada ya kupewa hizi taarifa
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Rose.

Kama hivi mtu na akili zako zote unajiita ni mwanachama wa CHADEMA wakati mashabiki wako wote kama huyu Rutta ni magamba hata kushituka hushituki.

Watu wakisema kuwa magamba wamekumezesha joka lenye ndimi mbili watakuwa wanakosea?.
 
Huyu sawa na nyoka aliye aliyemwagiwa mafuta ya taa shimoni. Nini kimekufanya uchukie kiasi hicho kama kweli wewe ni mwana chadema? Nini kitufanye kuamini kuwa wewe ni mwanachama wa chadema kwa kutumia id fake? Heri ungekaa kimya.. busara au upuuzi wako ungefichika huko!
 
Yaani Haujui Ulijiunga Mwaka Gani, Unachojua Ni Myaka Ya 90 Mwanzonzo, Yani Mwezi Wa Kwanza 1990? Au Nimeelewa Vibaya, Msaada Tafadhari Kimaro,

inawezekana alijiunga kabla chama hakijaanzishwa..
 
Kama hukuwahi kutambua kuwa CHADEMA kupitia BAVICHA kina watetezi wa kiwango cha chini kabisa katika uelewa wa masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii basi utakuwa mgeni hapa Jamiiforums.

Nguli wa behavioral science aitwaye Steve Maraboli aliwahi kusema, People tend to be generous when sharing their nonsense, stupid and ignorance.

Hawa ndiyo BAVICHA.

Mwigulu leo hajafanya chochote cha wewe kutupia hapa, maana huwa unachangia hoja mfu tu
 
watatokea manabii wa uongo wengi hasa kipindi hiki kama huyu Rosemarie anayejifanya malaika.
 
Rosemary, are you really serious of what you are saying here? How far are you sure that all insults and offpoints uttered here at JF are from Chadema members only? Why don't you think those fellows are disguised Chadema members whilist are CCM members?

You need to know this, almost all JF members use fake IFs, and this can be the same to you. You can pretend to be Chadema member whilist you are not.

Pole sana. Mfuasi wa kweli haangalii watu wanasema nini kuhusu chama chake, anaangalia itikadi, sheria, kanuni, na taratibu za chama chake zinasema nini.
 
Mimi nakuona mwehu wewe.. Ulichokifanya ni sawa na kujitosa kuoga mtoni, ghafla unaona kichaa anakimbia na nguo zako nawe ukaingia huko huko.. Kila mtu lazima akuone mwehu mara mbili zaidi.
na wewe unawakilisha chama hapa jukwaani?hapani siyo chama changu unakurupuka sana
 
Huyu sawa na nyoka aliye aliyemwagiwa mafuta ya taa shimoni. Nini kimekufanya uchukie kiasi hicho kama kweli wewe ni mwana chadema? Nini kitufanye kuamini kuwa wewe ni mwanachama wa chadema kwa kutumia id fake? Heri ungekaa kimya.. busara au upuuzi wako ungefichika huko!

HUENDA AKAWA ZZK KATUMIA ID FEki
 
Yaani Haujui Ulijiunga Mwaka Gani, Unachojua Ni Myaka Ya 90 Mwanzonzo, Yani Mwezi Wa Kwanza 1990? Au Nimeelewa Vibaya, Msaada Tafadhari Kimaro,

inawezekana alijiunga kabla chama hakijaanzishwa..
 
mleta mada naomba unitajie wawakilishi dhaifu wa chama walioko JF.natambua mwenezi wa habari wa chadema ni mtu mmoja tu kama ilivyo ccm na vyama vingine.wengine wote huwa wanapresent mawazo/maoni yao binafsi na kamwe hawarepresent msimamo wa chama.be blessed!
 
Tatizo la Watanzania tunapenda sana kukosoa hatupendi kabisa kukosolewakuna uzi fulani kuna mtu alimwambia yeye ni gamba ndo maana kawaka.
 
Back
Top Bottom