Msimamo wangu ndani ya Chama

Msimamo wangu ndani ya Chama

rosemarie

Hoja dhaifu unazodai kuwako hapa jukwaani ni zipi na zimetolewa na nani? Kwanza ni nani aliyekulazimisha kumfuata mtu badala ya chama. kama kweli ungekuwa unakisimamia na kukipigania chama ungeweka hapa hizo unazodaiwl ati niwl hoja dhaifu tuzichambue na tuone madhara yake kwa chama lakini ninachokiona hapa ni wewe kujaribu kulalamika bila msingi wowote.

Tambua Mungu kamuumba mwanadam kwa kila nafsi na tabia tofauti wote hatuwezi kuwa sawa hata kama wote ni Wananchadema..!! Kwahiyo kutofautiana na mwanachama mwingine wa Chadema kwa mtu mwenye Akili hawezi kukihusisha chama. Maana Chama ndicho kinachotuunganisha ktk Katiba yake na misimamo,Miongozo na Taratibu mbalimbali.

Ninachokiona hapa ni wewe kujaribu kutofautiana na Kamanda Molemo kwenyew uzi wake wa Mapokezi ya Dr Slaa kwenye msiba wa Komba kitu ambacho mimi binafsi sioniw tatizo na sijui wewe ulitaka aseme nini??

Molemo,Anampenda na kumwamini Dr Slaa kutoa sifa kile alichokiona kwenye mapokezi yale wewe kimekukwaza nini? Kusema kapokelewa kama Rais wa Marekani? Hizo ni Mbwembwe ambazo hata kama ningekuwa mimi ningeweza kuziandika tatizo ni nini? Ulitaka Dr Slaa asifiwe na kupambwa na nani kama si wananachama wake.?

Lb7 wamekuwa wakidai humu ndani kwamba umaarufu wa Slaa umeshuka na kujaribi kumshusha Dr kwa kila neno litokalo kinywani mwao, Wewe inaonekana huwa unavutiwa na madai yao, maana umechukia Molemo kumpamba Dr Slaa Ulitaka Lumumba wajew kumsifu Dr Slaa hapa ndani. (Nani mwenye ujasiri huo)

VUTA-NKUVUTE, amejaribu kuonyesha tu kwamba Kati ya wagombea wa upinzani wanaokubalika na kuogopwa na ccm ni Dr Slaa, umeona alichokipata? Lakini kama usipokisifia chako nani atakisifu?

Kama mwanachadema siwezi kisimama hadharani na kudaiw eti siku moja Chadema itatoweka kama ccm...!!!! Hata kama ninalipenda taifa langu kiasi gani? Ni kwasababu naamini Chini ya Chadema ndipo Taifa hili la Tanzania litapata thamani yake haliasi na si kama ilivyoleo tukidharauliwa na vinnchi kama Rwanda. Sasa kama nirakuqa naamini siku moja Chadema haitakuwapo maan yake hata lile Taifa ninloota/tamani kuwa litakuwapo chini yake HALITAKUWAPO TENA (Kwa madai yako haya umenifanya nifikirie mara mbili juu ya uanachama wako ndani ya Chadema) Wewe si mwanachama mtimilifu kifikra na kimaono, mean upoupo tu kufuata mkumbo kama nawe ni mwanachama wa moja wapo wa vyama vya siasa Tanzania..!!! (Fikiri mara mbili dada)

Ninayo mengi sana ya kuandika juu yaw haya madai yako lakini acha niishie hapa kwanza ili upate kuchanganua hiki nilichokuandikia and then karibu kwa Challenge...!!! Kamanda Freeland nadhani nikikuunganisha na huyuw dada kwa hiki nilichokiandika itakuwa vizuri tu maana naona amejaribu kukupotosha nawe unamuunga mkono.

Come on guys.....!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.

Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa
CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.

Mimi nikiwa kama mwanachama wa
CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.

naamini siku moja
CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.

CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.

Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!

Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!

Rosemary Kimaro!

Naona jana ulichukia sana vijana wa bavicha walipokuchachavya.

nilikuambia watakuchana tu live,nadhani sasa umejionea mwenyewe,wenzako hawaangaliagi cha huyu ni kamanda mwenzangu ama vipi.

serikali inatakiwa kupiga marufuku viroba.
 
Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.

Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa
CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.

Mimi nikiwa kama mwanachama wa
CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.

naamini siku moja
CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.

CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyalehuo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.

Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!

Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!

Rosemary Kimaro!

Sijakuelewa mkuu sijui ulitaka kumaanisha nini hapo kama mwanachama wa chama kinachotaka kushika hatamu.!

Unaonekana ni mwanachama usiekiamini chama chako.
 
rosemarie hata usipate shida.JF sio platform ya CHADEMA.

Najua CHADEMA ina platform yake ya kutangaza na kujulisha jamii mambo yaihusuyo

Na platform hiyo sio JF

Na hapa JF kuna msemaji wa chama Kurugenzi ya Habari na Tumaini Makene

Sasa kuna watu wapuuzi kama Molemo hao wasikupe taabu....Ni wapuuzi wachache ambao tunao CHADEMA.

CHADEMA ni chama kikubwa inabidi pia tuvumilie kuwa na wapuuzi kama hawa

Nakubaliana na wewe na naukubali msimamo wako...Katika CHADEMA tufuate kanuni,sheria na Katiba ya chama...hivyo ndivyo vituunganishe.

Asante.

Forward Ever,Backward Never
Freeland wa JF!
Haya mambo ya ndoa ndoano yanaingiaje tena JF ambapo hatushabikii itikadi za vyama?.Nawashaurini nyie wenye vyama vyenu msituharibie jukwaa.Hayo ya vyama vyenu iwe CCC,CCM,CDM n.k. nendeni mkasutane kwenye platforms za vyama vyenu.
 
sawa tumekusikia
 
Kama hukuwahi kutambua kuwa CHADEMA kupitia BAVICHA kina watetezi wa kiwango cha chini kabisa katika uelewa wa masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii basi utakuwa mgeni hapa Jamiiforums.

Nguli wa behavioral science aitwaye Steve Maraboli aliwahi kusema, People tend to be generous when sharing their nonsense, stupid and ignorance.

Hawa ndiyo BAVICHA.

Hiyo quote yako mbona haina uhusiano wa kimantiki na hii post ambayo ni empty...?? maana mtoa post hajasema kinachomkwaza huko CHADEMA zaidi ya kutaja umri wake ndani ya chama na wewe kwa utupu wako kichwani unasupport kwa kitu ambacho mlalamikaji hajakieleza....!!??
 
A wise man can learn more from a fool question and a fool can learn more from a wise man answer.
 
Kama hukuwahi kutambua kuwa CHADEMA kupitia BAVICHA kina watetezi wa kiwango cha chini kabisa katika uelewa wa masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii basi utakuwa mgeni hapa Jamiiforums.

Nguli wa behavioral science aitwaye Steve Maraboli aliwahi kusema, People tend to be generous when sharing their nonsense, stupid and ignorance.

Hawa ndiyo BAVICHA.

....Kama ni hawa chini sawa kabisa !!!

KAOZAB-+CCM.jpg
 
Umeshindwa kujenga hoja zaidi ya kuleta story tu za jumla jumla.

Unajua unaweza ukawa na hoja ila kama umeshindwa kujenga hoja hiyo,basi wewe pia ni aibu kwa chama.
 
napata shida sana kama kweli wwe ni mwanachama hai???
kwasababu ungekuwa umeshashauri haya yote kwenye platform za chama na sio majukwaa ya mitandao.

Hapa ndo napopata shida na Watanzania kama wwe
Kamanda huyo ni Act akishirikiana na mchepuko wake ccm
 
Kwanza kusema wewe ni chadema umetuzalilisha cdm hatuna mtu mwenye hoja dhaifu na isito eleweka kama wewe sasa ukiulizwa na mtu umesema nini utasemaje
 
Kwanza kusema wewe ni chadema umetuzalilisha cdm hatuna mtu mwenye hoja dhaifu na isito eleweka kama wewe sasa ukiulizwa na mtu umesema nini utasemaje

Hizo hoja zinatolewa na wana Act nimejaribu kupitia jina lake kwenye card za wanachama wa chadema hakuna kwahiyo huyo ni act chama cha wafu
 
unamaanisha na molemo ni gamba ila kaja kwa lengo la kuyaprovoke magwanda? ngumu hii kumeza.

Usitubabaishe bwana, chadema ilikuwepo, ipo na itakuwepo hata bila wewe, wewe ni sisimizi tu, kwanza unashindwa kutambua kuwa wengi humu tunatumia ID ambazo si halisi, kwa mfano, Jenerali Ambamba, sasa kama mimi ni mwana CCM lakini nia yangu ni kutaka kuwa-provoke wanachama wa chadema wagombane lazima niandike kwa mwelekeo wa kuwa mimi ni mwenzenu yaan mwanachadema!

Pia, unashindwa kutambua kuwa, kila mtu ana upeo wake wa kufikiri hivyo namna unavyowaza wewe siyo lazima na mimi niwaze hivyo!!!!!

Tatu: Natilia shaka uanachama wako ndani ya chama, mwanachadema haropokei sebuleni bali chumbani.
 
Back
Top Bottom