Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
inawezekana alijiunga kabla chama hakijaanzishwa..
Hahahaha
inawezekana alijiunga kabla chama hakijaanzishwa..
Kwa post kama hii ukiitwa mpumbavu utasema ni tusi, unashindwa kutofautisha tusi na sifa uliyonayo. Hata hivyo naungana na Molemo kuwa siku ukisikia mapumbavu ccm yanamsifu kamanda anayepigania haki na demokrasia, ambayo maccm yameikandamiza basi atakuwa ameungana nao, anatakiwa afukuzwe!!
We lazima utakuwa kuruta wa red brigade....uwezowako mdogo sana
Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.
Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.
Mimi nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.
naamini siku moja CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.
CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.
Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!
Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!
Rosemary Kimaro!
Dada Rosemary naheshimu sana msimamo wako ila sijaelewa unasimamia wapi mean cjaelewa hoja unayoisimamia nakusubiria hapa tuupate huo msimamo wakoKutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.
Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.
Mimi nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.
naamini siku moja CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.
CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.
Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!
Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!
Rosemary Kimaro!
Nikweli kabisa ndio maana mpo kama machizi ndani ya Chama. Wewe na Afande Sele hamna tofautiNikweli mimi na Molemo tunaendana sana sana kwakua tunapinga watu ambao ni double standard kama nyie