Msimamo wangu ndani ya Chama

Msimamo wangu ndani ya Chama

hoja dhaifu zipi hizo...hujatoa mfano hata mmoja wa hoja dhaifu kutoka wa wanachadema wa jf.. kwa kifupi hueleweki..ila sikushangai vijan wengine Tanzania mna Aisha na mamb ya kufikirika ndo maaa unawez kuandika paragrafu tatu bil fano wa hoja nayozungumza...ple sana....who are u y the way..?

Mkuu huyo Bibi ni kama amechanganyikiwa...Fuatilia mada zake ni kama punguani vile...
 
rosemarie

Na wewe ni mpumbavu, una gubu sana. Sijui ndio ulokole wako wa kuunga unga? Molemo amekulipua kama mngemalizana kule kule sio kuja kujaza server kwa mikamasi yako kama hii. Mpuuzi sana wewe

Mlokole mnafiki huyu...

Kumbe kalipuliwa anakuja kulialia huku....Huyu ni wakufukuza chamani kabisa....

Harufu ya Kina Juliana shonza kumbe bado ipo..
 
na wewe unawakilisha chama hapa jukwaani?hapani siyo chama changu unakurupuka sana

Chama kinatakiwa kukushuhulikia mapema sana...Unapaswa kufukuzwa mara moja...Tabia hii Chafu ya kuja kuleta malalmiko JF badala ya kwenye uongozi wa Chama ndo iliwaponza kina Zitto..
 
kama sikosei jana nilikuambia wewe kama jisemaji la chama lazima uchuje cha kusema ukanikejeli. leo hii gwanda mwenzako amekuanzishia. halafu kama vile haitoshi mko makundi mawili tayari. kitu ambacho sioni kama ni afya hasa kuelekea uchaguzi ujao ambao tunahitaji nguvu ya pamoja kumuondoa mkoloni mweusi madarakani.
nadhani sasa utaelewa nilichokuwa nikikeleza jana kwenye ile utter non sense topic yako ya promotion ya slaa msibani.
njoo tena nikejeli kuwa nimetumwa na lumumba.

Siku Molemo akishabikiwa na vibaraka wa Lumumba naomba afukuzwe mara moja chamani.Hakuna kamanda wa kweli anayeweza kushabikiwa na Nguchiro.

Kwa namna ya pekee niwapongeze makamanda wote wa Chadema wanaopigania chama chao dhidi ya vibaka wachache.

Niwatambue kwa uchache

Kamanda Chademakwanza
Kamanda Standalone
Kamanda Crashwise
Kamanda IKWETE
Kamanda Mwita Maranya

Na makamanda wote mlioingia kwenye uzi huu kuumbua vibaraka wa Lumumba.

Always it is Either you are with us or Against us!
 
CHADEMA hatutaki mashabiki wenye tabia za simba na yanga. Kama unamatayizo ya familia kayamalize nyumbani siyo kwa Mc4. badili frika kijana jitambue
 
Tuwekee hoja ambayo imeletwa hapa ikakosa majibu.otherwise naona umevurugwa
 
Ndio tunawafutilia mbali

Hongereni kwa kazi iliyotukuka ya kuwafichua mamluki..

Hiki ni kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu CCm tayari wameshamwaga pesa...Mambo kama haya ya wahuni kama kina rosemarie lazima yatokee na lazima tujiandae na zaidi ya haya....
 
Last edited by a moderator:
Hongereni kwa kazi iliyotukuka ya kuwafichua mamluki..

Hiki ni kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu CCm tayari wameshamwaga pesa...Mambo kama haya ya wahuni kama kina rosemarie lazima yatokee na lazima tujiandae na zaidi ya haya....
Asante sana Kamanda sita acha jukumu langu
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.

Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa
CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.

Mimi nikiwa kama mwanachama wa
CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.

naamini siku moja
CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.

CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.

Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!

Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!

Rosemary Kimaro!

Nimejitahidi kusoma lakini nimetoka kapa.
 
Ni shidaa maana hueleweki kabisa. Labda uandike lugha unayoifahamu zaidi (sijui Kichaga....)utajaza mwenyewe.
 
Waulize ccm wenzako kiboko yao hapa jukwa la siasa ni nani nenda urudi tena
naungana na wewe tu kwa sababu nimechoka kutawaliwa na mkoloni huyu mweusi. ila haibadili ukweli kuwa wewe unatetea tumbo laki. watetezi wataifa hili tuko wachache sana.
 
Back
Top Bottom