Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Act wameanza kuchanganyikiwa sasa
Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.
Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.
Mimi nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.
naamini siku moja CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.
CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.
Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!
Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!
Rosemary Kimaro!
Ongezea na musalan....Sijui leo hajawekewa Bundle..
...mbona watu kama wewe hawapo chadema,nawaona ccm
Wanaume wamekua adimu sana siku hizi, hii aliyoleta ni aina ingine ya utafutaji wanaume,hakika cdm ina kazi ngumu mno ! kama hata wewe ni mwanacdm hii ni hatari sana ! huna hoja , umeleta povu tu sasa sijui tukusaidieje ?
rosemarie
Fuatilia huu uzi wako kuanzia page ya kwanza mpaka ya mwusho.Soma hisia za wanachadema wa kweli! Siyo vibaraka wa Lumumba.
Ukishasoma fahamu hizi nisalaam za wanachadema kwa Team Lumumba.
Ukipenda muanzishie tena Molemo thread nyingine ya kupimana naye ubavu kuhusu ni nani mwanachadema wa kweli.
Pole lakini..
CHEDEMA TANGU mwanzoni mwa miaka ya 1990.mpaka leo hata siyo katibu wa msingi,tawi wala kata?
Kadi namba hakuna?
Viongozi wako akinanani huko unakotoka?
nakuambia hivi; navumilia tu kuungana na jishoga katika hii vita kwa sababu nimechoka na utawala wa hawa wakoloni weusi lakini najua fika wewe utakuwa shoga. nakazi za mashoga zinafahamika popote pale dunia, uandishi wako wa kimbea unaongea zaidi. kwa heri jishoga. mtoto sio riziki wewe. ungekuwa wangu ningekubadilisha na pakiti moja ya sigara.Naona umefika kwenye kukushikisha ukuta sasa
Kutokana na kutokuelewana na hoja dhaifu zinazoendelea hapa jukwaani naona ni vema niweke msimamo wangu wazi ili niweze kueleweka.
Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA,nimejiunga na chama tangu miaka ya 90 mwanzoni,sisi ndiyo wanachama wa mwanzoni kabisa wa CHADEMA kanda ya kaskazini na nilishiriki kuhamasisha Watanzania wenzangu kujiunga na chama miaka hiyo.
Mimi nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nina haki ya kuhoji,kukubali,kukataa,kurekebisha,kubisha,kuunga mkono na kadhalika,hakuna kiongozi au mwanachama yeyote wa CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha msimamo wangu,ninafata katiba ya chama na kamwe simfati mtu.
naamini siku moja CHADEMA haitakuwepo tena na CCM haitakuwepo lakini taifa langu litakuwepo msimamo wangu nasimama na Taifa kama mimi na kulitendea haki.
CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale huo ndiyo msimamo wangu na lazima uheshimiwe na kama hutaki kuheshimu msimamo wangu njoo na hoja na siyo kukurupuka,ukiwa mtu wa level ya chini na huna utayari wa kubadilika utabaki level ile ile miaka nenda rudi.
Yanayoendelea hapa jukwaani ni aibu kwa chama changu,naijua JF ni special for Great thinkers where we dare to talk openly! Naongea mawazo yangu ndivyo ninavyojulikana kama chama kimefika level ya kutegemea wawakilishi wenye hoja dhaifu kama waliopo hapa JF then i have to think twice!
Msimamo wangu uheshimiwe na watu wote kwa sababu ni haki yangu kikatiba kuwa na msimamo kama huu!
Rosemary Kimaro!
Naomba nikwambie watu wote double standard hatuta wavumilia.. naomba ninuku kauli ya mwenyekiti wangu HATUTA VUMILIA WASALITI NATUKIWAKAMATA mwisho wakunuku... jitafakari kama kweli upo chadema
Chadema Kwanza