Msimamo wa CHADEMA kuhusu maridhiano

Msimamo wa CHADEMA kuhusu maridhiano

Umejiunga mwaka jana halafu unapata ubavu wa kunitukana. Shida yenu ni kuwa mmeenda shule lakini hamjaelimika.
Heche alitumia mifano ya Kenya na Afrika Kusini katika kujenga hoja ya umuhimu wa kuwa na msuluhishi kutoka nje. Mimi nimesema hapakuwa na msuluhishi kutoka nje Afrika ya Kusini. Ungekuwa umeelimika ungenitajia msuluhishi kutoka nje aliye ongoza Truth and Reconciliation Commission ya Afrika Kusini. Mimi sikuzungumzia hitaji la kuwa na msuluhishi wa nje bali pungufu la kutumia Afrika Kusini katika kujenga hoja yake.

Stupid is as stupid does.

Amandla...
Kumbe kujiunga JF mapema kunafanya mtu kuwa na ufahamu mkubwa?
 
Kumbe kujiunga JF mapema kunafanya mtu kuwa na ufahamu mkubwa?
Sio ufahamu mkubwa. Mtu yeyote aliyejiunga na JF wakati inaitwa Jambo Forums anajua kuwa ingawa mijadala ilikuwa mikali lakini watu walikuwa wanaheshimiana. Ilikuwa adimu sana kumsikia mtu anatanguliza tusi au kebehi anapomjibu mtu. Labda kwa sababu hatukuwa na Insta, X au TikTok wakati ule. Vijana wa siku hizi ( ingawa hata mtu mzima anaweza kujiunga hivi karibuni) wanadhani mjadala ni matusi na kejeli. Hali hiyo inatufanya wengine tuwe nostalgic kuhusu Jambo Forum.

Amandla...
 
Kumbe hata Dr. Bagonza alipaswa kuwa Mwenyekiti wa hiyo tume na si lazima kutuletea upumbavu kutoka Uganda siyo?
Kabisa. Humu ndani kuna watu wenye integrity ambao wangeweza kuongoza Tume hiyo. Kwa kukazania mtu kutoka nje kuna toa mwanya wa kuonekana kuwa hawana nia njema na zoezi zima. Wangesema apatikane mtu anayekubalika na pande zote bila kujali anatoka wapi. Watu kama Dr. Bagonza, Jenerali Ulimwengu n.k. wana uwezo kabisa wa kutendea haki Tume kuliko kuletwa mtu kutoka serikali iliyopita ya Hungary.

Uko sahihi kabisa, changamoto ni upande wa serikali na ccm kuwa na nia ya dhati ya ukweli na haki katika hili jambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom