msimamo wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA kuhusu maridhiano

    Mtangazaji:"Kuhusu maridhiano, hapa nimesikia mwanzoni umezungumza unasema kwamba hakuna maridhiano mpaka wapatikane watu kutoka nje. Unaamini kwamba Tanzania haiwezi kufanya mambo yake bila kushirikisha watu wengine?" John Heche: "Hivi vitu Farhia si vitu vinavyotokea kwa mara ya kwanza...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche akemea wimbi la utekaji nchini, atoa msimamo wa CHADEMA kwa maridhiano

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekemea vikali wimbi la utekaji na kupotea kwa watu nchini wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa mpakani wa Sirari, wilayani Tarime mkoani Mara. Akihutubia mamia ya wananchi waliofika...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tuache mihemko kuliko uhalisia. Msimamo wa CHADEMA uko wazi. Lissu aachiliwe bila masharti kwanza ndo wataamua wafanye maridhiano au la

    Acheni mihemko na hisia za kijinga Msimamo wa chadema uko wazi Lisu aachiliwe ndo waamue kama watafanya mariandano au la Ndo maana CCM wameng'ang'ania apewe masharti kabla ya kutoka chadema wamekataa Na Kwa msimamo huo wa chadema unafanya lisu aendelee kubaki mahabusu Hadi pale ccm...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA kutoshiriki kinachoitwa "maridhiano" ni aidha unapotoshwa makusudi au ni hawa wajiitao wachambuzi uchwara kutoelewa maudhui yake

    Mfano ni huyu kwenye YouTube audio video clip hii hapa Chini ya video hiyo, kwenye comment section, mdau mmoja aka komenti hivi, nikaipenda comment yake na nikaamua kushea nanyi kwa ajili ya mjadala mpana ============================================= "Taarifa yako ni potofu, unawapotosha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Makala ya Mwananchi "Msimamo wa CHADEMA wawaibua wadau" imeandikwa kitoto sana, haiwezekani huyu akawa professional journalist

    Kuna wakati Mkapa alikuwa akiwaponda sana waandishi wa habari,kwamba hawako professional. Sasa unapochukua gazeti na ukasoma makala kama hizi utaona kwamba Mkapa alikuwa right kuhusu asilimia kubwa ya waandishi wetu wa habari. Naweza nikasomaau kusikiliza taarifa za waandishi wa habari wa...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msimamo wa CHADEMA kuhusu uchaguzi wa Oktoba 29,2025 na kilichojiri baada ya hapo

    TAARIFA KWA UMMA MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU UCHAGUZI BATILI WA 29 OKTOBA 2025 NA KILICHOJILI BAADA YA HAPO 1. Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 ni Batili, na Matokeo Yote Lazima Yafutwe Uchaguzi mzima wa Rais, Ubunge na Udiwani ni batili na hauna uhalali wowote kwa sababu ulifanyika chini ya ukiukwaji...
Back
Top Bottom