Msimamizi wa "masters" ya Tundu Lissu ajuta!

WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

Huyu Mwandishi amekosea kutumia neno UJINGA. Kujua kusoma tu na kuandika alikwishafuta ujinga. Hivyo, hata kama una ushabiki wa kisiasa, ulipaswa kuchagua maneno ya kutumia ili mada iwe na mshiko.
 
Mkuu HAMY-D amemheshimu tu, neno sahihi lingekewa m.pum.mbavu!
 
Last edited by a moderator:
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

we juta kwanini umekuwa na mtindio wa ubongo ukaishia darasa la nne.mwe
 
hayo mahojiano umefanya naye wewe au? dada bana, mbona shahada yake ya uzamili hajaipata hapa udsm?

Yaani mkuu buku saba za Lumumba hawana kazi. Na walikurupuka tu ndiyo uchafu kama huu. Lisu kiboko yao.
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

Umenena Mrs Nepi Nnaue na Mrs Mwigula Chemba. Naona unatumika sana na mabwana zako. Watakutumia na watakutupa chooni kama toileti pepa.
 
Ogopa sana Uzi wenye zaidi ya miaka mitatu halafu hauna like hata moja!
 
..kulikuwa na jitihada za muda mrefu za kumchafua TL.

..awamu hii ikaingia na mkakati wa kumfanya TL aonekane kuwa ni adui, msaliti, na mhaini kwa nchi yake.

..na mwisho ni jaribio la kumtoa uhai.

No kweli kabisa sababu wanufaika Wa Nadini ni Mkapa,JK na watawala wengineo.Ili kuuziba ukweli plan yao ni kumuondolea uhai
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.
Kumsimamia Mheshiwa Tundu Lissu ni baraka sana, ni bahati kupita kiasi, hawezi kujuta, sana sana hayo ni majigambo tu.
 
Pray 4 TL. Kiongozi mpole na mwenye busara zilizotukuka. Mtetezi wa haki za binadamu, demokrasia, utawala wa sheria na mzalendo wa kutoka moyoni. Long live TL
 
Back
Top Bottom