Msimamizi wa "masters" ya Tundu Lissu ajuta!

Angekuwa na hoja iwapo tu Tundu Lissu angekuwa alichukua masomo yake "Kivukoni". Huyo professor anadhani lengo la kusoma chuo kikuu ni kuelimika, hajui kwamba lengo ni kuwa enlightened. Kuwa "educated" doesn't neccesarily mean kwamba you are "enlightened". Profesa inaonekana he's more educated kuliko kuwa enlightened.

Hivi Profesa anajua kwamba hata PLATO alikuwa ni mwanafunzi wa SOCRATES? Na tofauti zao kihoja ndio zilipelekea age of enlightment? Dunia ingekuwa wapi leo hii iwapo PLATO angeitikia kila kitu cha SOCRATES?

Tuna haja ya kufahamu tofauti iliyopo baina ya kuwa educated na kuwa enlightened. Kuwa "well educated" maana yake umefanikiwa kujipatia credible
formal training kwenye discipline of your choice. Kuwa enlightened maana yake umejipatia "knowledge" ambayo sasa inakuruhusu kujua "how, where and when" to make the best use of your education.

Future ya taifa letu haipo mikononi mwa the well educated bali wale ambao wamekuwa both - educated and enlightended, ambao idadi yao ni asilimia ndogo sana. Kwa vile katika normal distribution curve, wao ni outliers, ndio maana wanaonekana tatizo.
Profesa anasema alimwandaa Tundu Lissu kuwa 'intelligent' hakumwandaa kuwa 'intellectual'
Elimu maana yake si cheti au thesis ni matumizi ya maarifa katika mitazamo ya mambo tofauti.

Nyerere alikuwa mkuu wa chuo, akina Warioba, Mwabulambo n.k. wakagomea sera yake.
Nyerere akawaita na kuwafukuza chuo. Kisha akawarudisha na Warioba akawa mwanasheria wake mkuu.
Nyerere alikubaliana na changamoto za watu aliowapa elimu, hakutgemea wamwitikie ndiyo mzee.

Kama Prof anahoji thesis na kujuta kumsimamia Tundu Lissu, then
Prof aliyemsimamia Andrew Chenge naye ajitokeze ajute
Prof aliyemsimamia JK aliyewahi kusema hajui umasikini wa Tz chanzo chake nini, naye ajitokeze
Tunamhitaji Prof aliyemsimamia Pinda aliyetoa hukumu ya wahalifu kuuawa akiwa bungeni
Mwalimu aliyemsimamia Lukuvi shule ya msingi naye ajute kumfundisha japo kuandika jina.
Prof aliyemsimamia Membe ambaye hajui pesa zimetokaje hazina kwenda kununua radar naye ajitokeze
Jamani yu wapi prof aliyemsimamia PM EL aliyesimama na kusema hakuna ufisadi kumbe.....
Tunamtaka prof aliyemsimamia Mwigulu hadi kuwa mkufunzi wa tasnia ya matusi, naye aje hapa.

Orodha ni ndefu, tutawaita maprofesa wengine wakiwa mbele ya haki.

Ukimfundisha mwanafunzi akiwa kimya kuna mambo mengi
1. Ima haelewi kiachozungumziwa
2. Anaelewa sana kinachozungumzia
3. Hashughulishi akili kwa kinachozungumziwa.
4. Aliyeelewa ni yule anayehoji hata kama hayupo sahihi.

Elimu ni zaidi ya degree, ni maarifa.

Tunamtaka prof aliyemsimamia Mwigulu hadi kuwa mkufunzi wa tasnia ya matusi, naye aje hapa.
Tumeona huyu wanamwita "field marshall", sasa hatujui kama ndiye atakayepindua nchi serikali tatu zikipitishwa kura ya maoni?
Pengine ya John Okello yanakaribia.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

.l
RWEZAURA ANGALIA USIJE UKAOMBA KUPAMBANISHWA NA LISU KATIKA ULINGO WA SHERIA ZA TZ. HAKUTAKUWA NA TOFAUTI YA KUMPANGIA TYSON PAMBANO NA KOCHA WAKE.
.
 
Angekuwa na hoja iwapo tu Tundu Lissu angekuwa alichukua masomo yake "Kivukoni". Huyo professor anadhani lengo la kusoma chuo kikuu ni kuelimika, hajui kwamba lengo ni kuwa enlightened. Kuwa "educated" doesn't neccesarily mean kwamba you are "enlightened". Profesa inaonekana he's more educated kuliko kuwa enlightened.

Hivi Profesa anajua kwamba hata PLATO alikuwa ni mwanafunzi wa SOCRATES? Na tofauti zao kihoja ndio zilipelekea age of enlightment? Dunia ingekuwa wapi leo hii iwapo PLATO angeitikia kila kitu cha SOCRATES?

Tuna haja ya kufahamu tofauti iliyopo baina ya kuwa educated na kuwa enlightened. Kuwa "well educated" maana yake umefanikiwa kujipatia credible
formal training kwenye discipline of your choice. Kuwa enlightened maana yake umejipatia "knowledge" ambayo sasa inakuruhusu kujua "how, where and when" to make the best use of your education.

Future ya taifa letu haipo mikononi mwa the well educated bali wale ambao wamekuwa both - educated and enlightended, ambao idadi yao ni asilimia ndogo sana. Kwa vile katika normal distribution curve, wao ni outliers, ndio maana wanaonekana tatizo.

Cc Mag3, Ben Saanane, FJM, Nguruvi3

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
At the frontiers of knowledge it is the difference in the thinking that points the way. While knowledge consists of adding to one's stock day by day, elightment, on the other hand, consists of subtracting from one's stock day after day.
 
Du. Poor Tundu Lissu.

WHO IS POOR......... YOU OR RWEZAURA?????????????????? TUNDU LISSU HAS PROVED TO BE A GOOD LEADER IN DEFENDING A SUBJECT. Can my learned friend Rwezaura defend his comment on Tundu Lissu.........ha!ha!ha! asante kwa kutuletea kicheko cha kutuongezea usiku
 
Angekuwa na hoja iwapo tu Tundu Lissu angekuwa alichukua masomo yake "Kivukoni". Huyo professor anadhani lengo la kusoma chuo kikuu ni kuelimika, hajui kwamba lengo ni kuwa enlightened. Kuwa "educated" doesn't neccesarily mean kwamba you are "enlightened". Profesa inaonekana he's more educated kuliko kuwa enlightened.

Hivi Profesa anajua kwamba hata PLATO alikuwa ni mwanafunzi wa SOCRATES? Na tofauti zao kihoja ndio zilipelekea age of enlightment? Dunia ingekuwa wapi leo hii iwapo PLATO angeitikia kila kitu cha SOCRATES?

Tuna haja ya kufahamu tofauti iliyopo baina ya kuwa educated na kuwa enlightened. Kuwa "well educated" maana yake umefanikiwa kujipatia credible
formal training kwenye discipline of your choice. Kuwa enlightened maana yake umejipatia "knowledge" ambayo sasa inakuruhusu kujua "how, where and when" to make the best use of your education.

Future ya taifa letu haipo mikononi mwa the well educated bali wale ambao wamekuwa both - educated and enlightended, ambao idadi yao ni asilimia ndogo sana. Kwa vile katika normal distribution curve, wao ni outliers, ndio maana wanaonekana tatizo.

Cc Mag3, Ben Saanane, FJM, Nguruvi3

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

cc Waberoya
 
Last edited by a moderator:
At the frontiers of knowledge it is the difference in the thinking that points the way. While knowledge consists of adding to one's stock day by day, elightment, on the other hand, consists of subtracting from one's stock day after day.
Your Tundu Lissu can be charcterised by a quote from Abraham Lincolin:

"We can complain because rose bushes have thorns, or rejoice because thorn bushes have roses." Lissu belongs to the complinants.

Your Lissu is neither inspirational nor motivational, he is a master of negatve thinking with no rational ways forward for society.
In short he falls short to be in the fore front, he is a reactionary, reacts to situations, never thinking of tomorrow!
 
Aliyekua msimamizi wa Mwakyembe amesema anatamani kummamata makofi Mwakyembe!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Your Tundu Lissu can be charcterised by a quote from Abraham Lincolin:

"We can complain because rose bushes have thorns, or rejoice because thorn bushes have roses." Lissu belongs to the complinants.

Your Lissu is neither inspirational nor motivational, he is a master of negatve thinking with no rational ways forward for society.
In short he falls short to be in the fore front, he is a reactionary, reacts to situations, never thinking of tomorrow!
How about you masopakyindi, don't you react to situations? I do and that's how I can convince myself that I'm alive otherwise I'd be as good as dead. You know what? The dead stay dumb.

Reactionary? Let me educate you a little; a reactionary is one who is opposed to progress: opposed to progressive social or political change! One who defends the status quo! A sycophant like you masopakyindi!
 
Your Tundu Lissu can be charcterised by a quote from Abraham Lincolin:

“We can complain because rose bushes have thorns, or rejoice because thorn bushes have roses.” Lissu belongs to the complinants.

Your Lissu is neither inspirational nor motivational, he is a master of negatve thinking with no rational ways forward for society.
In short he falls short to be in the fore front, he is a reactionary, reacts to situations, never thinking of tomorrow!

Ebu tusaidie na hili la Mwalimu kukisema CCM mwaka 1987, miaka mitano kabla ya mfumo wa vyama vingi kuingia nchini, miaka nane kabla Chama cha kina Lissu (chadema) hakijazaliwa:

[“It is not that peace has come by itself. The source of peace in Tanzania is not that the Arusha Declaration has done away with poverty even a little bit. Isn’t there this poverty we are still living with? This poverty is right here with us. It is not the same economy we are grappling with? The fact is not that the Arusha Declaration has banished poverty even by an iota – nor did it promise to do so. The Arusha Declaration offered hope. A promise of Justice, hopes to the many, indeed the majority of Tanzanians continue to live this hope. So long as there is this hope, you will continue to have peace. Here in Tanzania we have poverty but no ‘social cancer’. It is possible it has just begun. But otherwise we don’t have a social cancer. There isn’t a Volcano in the making, that one day it is bound to erupt. We have not yet reached that stage because the people still have hopes based on the stand taken by the Arusha Declaration. It did not do away with poverty but it has given you all in this hall, capitalists and socialists alike, an opportunity to build a country which holds out a future of hopes to the many.

To be sure, you few Waswahili, do you really expect to rule Tanzanians through coercion, When there is no hope, and then expect that they will sit quiet in peace? Peace is born of hope, when hope is gone, there will be social upheavals. I’d be surprised if these Tanzanians refuse to Rebel, why?

When the majority don’t have any hope you are building a volcano. It is bound to erupt one day. Unless these people are fools. Many in these countries are fools, to accept being ruled just like that. To be oppressed just like that when they have the force in numbers, they are fools. So Tanzanians would be fools, ******, if they continued to accept to be oppressed by minority in their own country. Why?

Therefore we cannot say that we have now reached a stage when we can forget the Arusha Declaration. Don’t fool yourselves. This would be like that fool who uses a ladder to climb and when he is up there kicks it away. Alright, you are up there, you have kicked away the ladder, right, so stay there because we will cut the branch. You are up there, we are down here and you have kicked away the ladder. This branch is high up, we will cut it. Your fall will be no ordinary fall either.

Let me say no more. It is sufficient to say we should accept our principles, we should continue with our principles of building peace and peace itself. Tanzanians should continue to have faith in the party, in the government and in you in positions. Tanzanians should see you as part of them not their enemies.

Source:
Issa.G. Shivji, in “Critical Elements of a New Democratic Consensus in Africa (pp.25-38). It was featured in a book by the late Professor Haroub Othman (ed.), and the book was titled: “Reflections on Leadership in Africa: 40 years of independence (2000).

Kwa mtazamo wako, Professors wa Mwalimu Makerere na Edinburgh Universities hakika watakuwa wanajuta ndani ya makaburi yao.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
How about you masopakyindi, don't you react to situations? I do and that's how I can convince myself that I'm alive otherwise I'd be as good as dead. You know what? The dead stay dumb.

Reactionary? Let me educate you a little; a reactionary is one who is opposed to progress: opposed to progressive social or political change! One who defends the status quo! A sycophant like you masopakyindi!
You are dead wrong on the highlighted!
In the broad political sense a reactionary is a lazy politician who waits for things to happen , THEN you hear from him/her.
He is never in the fore front to present future projections, he has no ideas of his own, he sits back, listens THEN there is an out pour.
That is your Lissu!
Call me a sycophant or whatever, this does not diminish this fact, that Lissu and you probably, both belongs to the past!
 
Ebu tusaidie na hili la Mwalimu kukisema CCM mwaka 1987, miaka mitano kabla ya mfumo wa vyama vingi kuingia nchini, miaka nane kabla Chama cha kina Lissu (chadema) hakijazaliwa:

Source:
Issa.G. Shivji, in "Critical Elements of a New Democratic Consensus in Africa (pp.25-38). It was featured in a book by the late Professor Haroub Othman (ed.), and the book was titled: "Reflections on Leadership in Africa: 40 years of independence (2000).

Kwa mtazamo wako, Professors wa Mwalimu Makerere na Edinburgh Universities hakika watakuwa wanajuta ndani ya makaburi yao.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mwalimu had a refreshning hind sight of things to come, well before they even happened!
Mwalimu almost always stood on principles he believed in.

If you want to challenge Mwalimu, challenge the particular principle that he portrayed, then we can get you on that perspective.
 
Back
Top Bottom