chiguluka line
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 226
- 43
Mmmmmhhh inavutia
View attachment 153493
Mkuu uko sahihi kabisa wanajitekenya kisha wanakata mauno. Mleta mada yuko sawa na huyo dada ( kama atakuwa siye)./QUOTE]
Muwe mnawaambia na wapenzi wenu vijijini Beyonce ni nani mnaporuka na helikopta, kwa jinsi wanavyowapenda huku hawawapi kura,watajua tu mnakula sahani moja!
Freedom of speech or freedom of lying? Unajibuje hoja ambayo msingi wake ni uongo?Hoja hujibiwa kwa hija, si kiroja.
Kuna standards za "academic integrity", tuelezwe ipi imevunjwa, vipi na wapi.
Tusitake kuendekeza "self censorship".
There is no democracy without freedom of speech.
Freedom of speech reigns supreme.
Freedom of speech or freedom of lying? Unajibuje hoja ambayo msingi wake ni uongo?
Hiyo kali mkuu, hebu nitafutie ofisi nifungue yawi la CCM!Wengine Wapenzi wetu wanatoka Mataifa tofauti. Kwa mfano wangu mie, Baba ni Myunani na Mama ni M-Cayman.
Kwa sasa tunaishi hapa Kamchatka, kama vipi karibu sana upate samaki wa uhakika.
Kwa maana hiyo, tumezoea sisi kuona Sub-marine za Kirusi na siyo hizo Helcopiter zenu.
WanaJF,
Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.
Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.
Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.
Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.
Huyo Professor Rwezaura ni Mchwara mno!
Tusimlaumu sana lissu kosa lake ni kufanya siasa wakati yeye cyo mwanasiasa na anayoyafanya ni mambo ya kisheria zaidi ambayo katika siasa hayana nafasi, kwa ufupi siasa haiwezi namshauri arudi katika taaruma yake ya sheria huku kwenye siasa atatupoteza , mambo ya sheria hufuata sheria na cyo ushauri..