Huyo unayemsikia magayane ni mhaya misifa na ni ccm damu, anakashfa kibao zikiwemo za sexual harrasment kwa wafanyakazi wa halmashauri lakini anatetewa na wakubwa tena amekuwa akijigamba kwamba yuko beneti na raisi. Kwa hiyo amini usiamini magayane amefanya kweli aliyotumwa na mzee wa g unit
Mkuu Analysti nilikuwa nasikiliza hayo matokeo kupitia Radio One na kwa kweli hata mimi kitendo chake kushangilia kilinistaajabisha sana. Hizi ndizo aina za watu wenye dhamana juu ya mustakabali wa maendeleo ya taifa hili.Hi every body, nilikuwa nikisikiliza kutangazwa kwa mshindi wa uchaguzi mdogo huko igunga, nikapigwa na butwaa pale msimamizi mkuu wa uchaguzi alipomtangaza kafumu kuwa kashinda na kisha akapiga kelele IGUNGA HOYEEEEEEEEEEE!!!! Mashabiki wa CCM wakaitikia Hoyeeee!!. Ndugu wana JF Mimi concern yangu hapa ni picha anayotuonyesha huyu bwana, Ni kwamba anajidhihirisha kabisa kuwa amefurahia haya matokeo, ikiwa na maana kuwa kabla ya uchaguzi angelipenda yawe hivi, hivyo basi ni dhahiri kuwa yeye kama msimamizi mkuu wa uchaguzi amehakikisha matokeo haya yamekuwa kama yalivyo, kitu kinacho tuondolea imani na uhalisia wa matokeo haya. Nahitimisha kwa kusema kuwa, msimamizi mkuu wa uchaguzi wa Igunga ameudhihirishia umma kuwa yeye ni shabiki wa CCM kinyume na Kanuni zinavyomtaka msimamizi mkuu wa uchaguzi awe!!!!
Huyo unayemsikia magayane ni mhaya misifa na ni ccm damu, anakashfa kibao zikiwemo za sexual harrasment kwa wafanyakazi wa halmashauri lakini anatetewa na wakubwa tena amekuwa akijigamba kwamba yuko beneti na raisi. Kwa hiyo amini usiamini magayane amefanya kweli aliyotumwa na mzee wa g unit
Huyo unayemsikia magayane ni mhaya misifa na ni ccm damu, anakashfa kibao zikiwemo za sexual harrasment kwa wafanyakazi wa halmashauri lakini anatetewa na wakubwa tena amekuwa akijigamba kwamba yuko beneti na raisi. Kwa hiyo amini usiamini magayane amefanya kweli aliyotumwa na mzee wa g unit
hi every body, nilikuwa nikisikiliza kutangazwa kwa mshindi wa uchaguzi mdogo huko igunga, nikapigwa na butwaa pale msimamizi mkuu wa uchaguzi alipomtangaza kafumu kuwa kashinda na kisha akapiga kelele igunga hoyeeeeeeeeeee!!!! Mashabiki wa ccm wakaitikia hoyeeee!!. Ndugu wana jf mimi concern yangu hapa ni picha anayotuonyesha huyu bwana, ni kwamba anajidhihirisha kabisa kuwa amefurahia haya matokeo, ikiwa na maana kuwa kabla ya uchaguzi angelipenda yawe hivi, hivyo basi ni dhahiri kuwa yeye kama msimamizi mkuu wa uchaguzi amehakikisha matokeo haya yamekuwa kama yalivyo, kitu kinacho tuondolea imani na uhalisia wa matokeo haya. Nahitimisha kwa kusema kuwa, msimamizi mkuu wa uchaguzi wa igunga ameudhihirishia umma kuwa yeye ni shabiki wa ccm kinyume na kanuni zinavyomtaka msimamizi mkuu wa uchaguzi awe!!!!
Hi every body, nilikuwa nikisikiliza kutangazwa kwa mshindi wa uchaguzi mdogo huko igunga, nikapigwa na butwaa pale msimamizi mkuu wa uchaguzi alipomtangaza kafumu kuwa kashinda na kisha akapiga kelele IGUNGA HOYEEEEEEEEEEE!!!! Mashabiki wa CCM wakaitikia Hoyeeee!!. Ndugu wana JF Mimi concern yangu hapa ni picha anayotuonyesha huyu bwana, Ni kwamba anajidhihirisha kabisa kuwa amefurahia haya matokeo, ikiwa na maana kuwa kabla ya uchaguzi angelipenda yawe hivi, hivyo basi ni dhahiri kuwa yeye kama msimamizi mkuu wa uchaguzi amehakikisha matokeo haya yamekuwa kama yalivyo, kitu kinacho tuondolea imani na uhalisia wa matokeo haya. Nahitimisha kwa kusema kuwa, msimamizi mkuu wa uchaguzi wa Igunga ameudhihirishia umma kuwa yeye ni shabiki wa CCM kinyume na Kanuni zinavyomtaka msimamizi mkuu wa uchaguzi awe!!!!
nimemshangaa sana jinsi alivolipuka kwa furaha.uko wapi uchaguzi huru na haki?
Mkuu mimi nilikua mbele ya luninga ni kweli kabisa haya unayosema! Lakini kwajinsi nijuavyo mimi huyu jamaa ni muajiriwa wa serikali ya Magamba sasa tutegemee nini kwenye kupanga matokeo na kuyatamka kwa mbwembwe vile? Kamwe asingeweza kuweka kitumbua chake mchanga yoote haya Mungu anajua! Shame on you Magayane and CCM!