Msikiti wa posta na ubaguzi??

Kuna watu wana matatizo ya kisaikolojia,ila bahati mbaya hata chizi hajitambui.
 
Misikiti yote ina ubaguzi.

Inabagua wasiotaka kuvua viatu mlangoni.

Sema jingine.

ukaguzi wa vyeti uendelee na pia mitihani kazini iwepo maana wengine huwa wananunua pepa!
kama mtu mzima hajui tofauti ya ubaguzi na utaratibu bado ana exist, kweli tuna shida!

huko kwenye nyumba yako ya ibada mnaingia tu uchi? mwenye bukta ya mpirani anaingia?
hamna muda maalum, eneo maalum na utaratibu maalum?
 
Uanze kukaguliwa wewe unaye assume tu kwamba kila mtu ana nyumba ya ibada.

Sent from my LGLS992 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini Allah hajafanya hewa ya Msikitni iwe inasafisha uchafu wote automatically hata kama mtu akingia na viatu vichafu viwe visafi?

Alishindwa kufanya misikiti iwe hivyo?

Allah hashindwi na chochote, ila ameumba Dunia akaweka taratibu na mifumo ili maisha yawe rahisi na salama, angefanya hewa ya msikiti iwe inasafisha viatu automatically, hiyo ingeleta fujo la watu kujazana msikitini kwenda kuoshewa viatu automatically badala ya wenye imani kwenda kuswali.
 
Kwani huko posta kuna watu weusi pia wanaishi huko?! Anza kushangaa msajili kujaa watu weupe ndio ushangae hao wenyeji kuswali hapo.
 
Allah hashindwi na chochote, ila ameumba Dunia akaweka taratibu na mifumo ili maisha yawe rahisi na salama, angefanya hewa ya msikiti iwe inasafisha viatu automatically, hiyo ingeleta fujo la watu kujazana msikitini kwenda kuoshewa viatu automatically badala ya wenye imani kwenda kuswali.
 
Aiseeee sawa sheikh
 
HUO MSIKITI UPO JILANI NA LILIPODONDOKA LILE GHOROFA...NAZANI NI MTAA WA IDRAGANDI;
ULE MSIKITI KWAKWELI WANAOSALI NI WEUPE TU; NA WALIUJENGA SPECIAL KWA AJILI YAO! RANGI NYEUSI NI MARUFUKU! NAUJUWA
Aisee hao wanamdhalilisha mtumee
 
Hahaaaa!!!! Hii dhana ya ukafiri inapanuka sana,ubaguzi had msikitini!!!
 
Tatizo huo msikiti wa Mashia sasa ukiwa Sunni utawezaje kwenda kusali msikitini wa mashia? Ndio maana mleta mada akasema msikiti wa weupe(shia) na weusi hawaruhusiwi.
Hivi tofauti ya shia na sunni ni ipi??
 
Waarabu hawana Dini yao kwa maana ya Uislaam, ndio maana hauitwi Ukiristo kuwakilisha jina la mtu, au Uyahudi kuwakilisha kabila. Kuna mtu mweusi akiitwa Bilal ambaye alitangaza Uislaam bega kwa bega na Mtume Muhammad Saw. Azarel
Aisee nlkua cjui
 
Aisee wizi hadi msikitin
 
Nida wamesitisha ukaguzi wa uraia?
Naona mtoa nyuzi kama vile ni mkikuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…