Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Utofauti upo jamani tusilazimishe vitu ambavyo viko wazi kwenye vitabu vya dini.
1.Yesu kristo ni mwana wa Mungu wakati Issa si mwana wa Mungu ni mtume km mitume wengine.
2. Yesu kristo alikufa akafufuka, Muhammed alitwaliwa.
3.Yesu kristo atarudi kuwahukumu wanadamu siku ya mwisho, Muhammed hana mamlaka ya kuhukumu bali atarudi kuwaua wapingaji wa dini.

Pia mafundisho aliyofundisho Yesu yana utofauti mkubwa na yale nabii Issa ndio maana Wakristo na Waislamu wanapingana.Km Yesu na Issa wangefundisho sawia basi utofauti wa kiimani baina ya hizi dini 2 usingekuwepo.
Utofaiti umeletwa baada ya yesu kufa,,

Lakini kabla ya hapo hakukuwa na tofauti yeyote.


Yesu na issa ni watu wawili tofauti?

Inna Lilah waina ilaih ragiun


Msiba mzito huo mgalatia wewe.
 
Ohoo..
Sasa hyo Aya ndo inatoa huo utata.
Kuwa mariam DADA YAKE MUSA SIO MAMA YAKE YESU.
Ina maana WAPO WAWILI.
kuna Mariam NA MIRIAM DADA YAKE MUSA.
KWANINI UNATAKA KUIKATAA HYO AYA?.
Ina maana biblia inasema uongo?..
Tena huyo MIRIAM DADA YAKE MUSA alikuwa "NABII MKE".
JE MAMA YAKE YESU ALIKUWA "NABII MKE"
we jamaa bana Hiyo aya ni ya biblia na iliandikwa zamani huko na Mussa...
Hapa tunaongelea Quran inayosema mama yake Yesu alikuwa mtoto wa Imran na Dada wa Harun
Screenshot_20201228-095927.jpg
 
Wayahudi hawakumuita mama yake Yesu dada wa Musa ila hivyo ndivyo ilivyoandikwa katika kitabu chako pendwa.
Umemuona MARIAM DADA AKE MUSA NA HARUNI?.
huyoo hapo sio mama yake YESU.
Ila wayahidi walimuita mama yake YESU dada wa Musa sababu ya kufanana majina.
Ila Ni kweli baba yake Musa ALIKUWA Ni Imran na baba yake mariam mama yake YESU ALIKUWA anaitwa IMRAN.View attachment 1661206
 

TOFAUTI KUMI (10) KATI YA ISA WA KWENYE QURAN NA YESU WA KWENYE BIBLIA.​


ISA WA QURAN KAZALIWA CHINI YA MTENDE WAKATI YESU WA KWENYE BIBLIA KAZALIWA KWENYE ZIZI LA NG'OMBE
TOFAUTI KUMI (10) KATI YA ISA WA KWENYE QURAN NA YESU WA KWENYE BIBLIA.
Taarifa za Malaika kabla ya kuzaliwa kwao, kadiri ya Qurani na Biblia.
Jibrili alivyomtokea Mama wa Isa == Gabrieli alivyomtokea mama wa Yesu:
A. MARYAM ALIKUWA MSIKITINI vs. MARIAM ALIKUWA NYUMBANI KWAKE:
1. WAISLAM-JIBRIL Alienda kwa Mariamu aliyekuwa Msikitini Qurani 19:16-17
2. WAKRISTO-GABRIEL Alienda kwa Mariamu aliyekuwa nyumbani kwake - Lk 1:26-28
B. MARYAM HAJULIKANI ANAISHI WAPI vs MARIAM ANAYE ISHI NAZARETI:
1. WAISLAM-Mariamu Mama wa Isa haijulikani aliishi kijiji kipi wala mji gani wala hata nchi haijulikani. Isitoshe Quran inasema kuwa Jibril ndiye aliyemletea utume Muhammad asiwapelekee Mayahudi (hana kosa) Sura 2:97
2. WAKRISTO-Lakini Mariamu Mama yake Yesu alitokewa na Malaika Gabriel akiwa katika kijiji cha Nazareti mji wa Galilaya nchi ya Israeli (Lk 1:26) Mariamu Mama wa Yesu ni Myahudi.
C. JIBRIL HAKUMSALIMIA MARYAM vs GABRIEL ALIYE MSAMILIA MARIAM:
1. WAISLAM-Jibrili hakutoa salamu kwa Mariamu mama wa Isa ila alijimithilisha kwa umbo la binadamu aliye kamili - Sura 19-17
2. WAKRISTO-Malaika Gabrieli alimsalimia Mariamu Mama wa Yesu – Luka 1:28
D. JIBRIL ALISEMA YEYE NDIE ANATOA MTOTO vs . GABRIEL ALIYE SEMA KUWA MARIAM ATACHUKUA MIMBA:
1. WAISLAM-Jibril alimwambia Mariamu kwamba mimi ni mjumbe wa mola wako ili nikupe mwana mtakatifu - Sura 19-19
2. WAKRISTO-Lakini malaika Gabrieli alimwambia mama wa Yesu kuwa utachukua mimba – Luka1: 31
E. JIBRIL HAKULIJUA JINA LA MTOTO vs. GABRIEL ALIYE SEMA KUWA MTOTO ATAITWA YESU:
1. WAISLAM-Jibrili alisema kwa Mariamu kuwa ili tumfanye mtoto muujiza kwa wanadamu – Sura 19: 21. Isitoshe Jibrili hakutaja jina la mwana kwa Mariamu. Bali alisema ili nikupe mwana mtakatifu.
2. WAKRISTO-Malaika Gabrieli alisema kwa Mariamu mama ya Yesu kuwa mtoto jina lake utamwita Yesu (Luka 1:31; 2:21) Gabrieli hakusema kuwa atampa mwana Mariamu. Bali alisema, Roho mtakatifu atakujilia juu yako, yaani motto atazaliwa kwa uwezo wa Mungu.
TOFAUTI YA KUZALIWA KWA ISA NA YESU
Isa bin Mariam vs. Yesu Kristo
F. ISA KAZALIWA CHINI YA MTENDE vs YESU KAZALIWA KWENYE HORI LA NG'OMBE:
1. WAISLAM-Isa alizaliwa katika shina la Mtende –Quran 19:23
2. WAKRISTO-Yesu kazaliwa katika hori la kulishia ng’ombe. Luka 2:7
G. MIMBA YA ISA HAIJULIKANI ILKUWA YA MUDA GANI vs. YESU ALIYE ZALIWA KWA SIKU ZAKE ZILIPO KAMILIKA:
1. WAISLAM-Kuzaliwa kwa Isa haijulikani mimba ya mama yake ilichukua muda gani maana malaika Jibrili alisema nikupe mwana mtakatifu mara akachukua mimba na kuzaa. (19: 22-23)
2. WAKRISTO-Lakini Mariamu Mama wa Yesu siku zake za kuzaa zilitimia. (Luka 2:6-7)
H. ISA HAKUTABIRIWA KWENYE QURAN vs. YESU ALITABIRIWA KWENYE BIBLIA:
1. WAISLAM-Qurani haionyeshi kama Isa alitabiriwa na manabii kuwa atazaliwa
2. WAKRISTO-Lakini Biblia inatuthibitishia kuwa Manabii walitabiri kuzaliwa kwa Yesu, (Isaya 7: 14; 9:6) utabiri huu ulitolewa na Nabii Isaya miaka 750 kabla ya Yesu kuja kuzaliwa nao ulitimia (Mathayo 1:18-23)
I. ISA HAJULIKANI ALIZALIWA WAPI AU KIJIJI KIPI vs. YESU ALIYE ZALIWA BETHLEHEM:
1. WAISLAM-Isa haijulikani alizaliwa katika kijiji gani wala mji, wala nchi aliyozaliwa Qurani haikueleza.
2. WAKRISTO-Biblia inatujulisha kuwa Yesu alizaliwa Bethelehemu ya Uyahudi katika Mji wa Daudi umbali wa maili 5 toka kusini mwa Yerusalemu nchi ya Israeli (Lk 2:8-16). Kuzaliwa kwake mahali hapo pia ni kutimiza unabii uliotolewa na nabii Mika miaka 750-686 kabla ya kristo kuja wakati wa wafalme hawa wakitawala – Jotham, Ahaz na Hezekia wafalme wa Yuda. Yesu mwenyewe alizaliwa kama mwaka wa 4 wakati wa Mfalme Herode.
J. ISA ALIONGEA AKIWA MTOTO MCHANGA vs. YESU HAKUONGEA AKIWA MTOTO MCHANGA:
1. WAISLAM-Isa aliongea na watu akiwa mototo mchanga, na kusema kuwa yeye ni mja wa Mungu amepewa kitabu na amefanywa Nabii (Sura 19:30-33)
2. WAKRISTO-Yesu hakuongea na mtu akiwa mtoto mchanga. Alianza kuwauliza maswali na kutoa majibu akiwa na wazee Hekaluni akiwa na miaka 12. (Luka 2: 42-49)
Hivyo tunaona kwamba tuna tofauti nyingi tu kati ya Bwana Yesu na Isa. Swali kwako mfuatiliaji je, Isa bin Maryamu ndiye Bwana Yesu Mwokozi? Jibu ni hapana
Mungu awabariki sana na tuendelee kujifunza tofauti za Isa wa Quran na Yesu wa Biblia.
Hebu nipe maelezo ya mimba ya yesu ,,kuzaliwa kwake na kumbukumbu za Xmas December 25.

Mkuu umeeleza vizuri sana..

Hebu nambie basi kama Gabriel alimtokea Mirium mwezi wa 6..

Iweje yesu azaliwe baada ya miezi 18..
Dec 25.


Story yako imefanyiwa editing na umekaririshwa vizuri sn.
 
Kama kichwa chako hakijavurugwa utaweza kutofautisha Miriamu na Mariamu(Mary).
Ohoo..
Sasa hyo Aya ndo inatoa huo utata.
Kuwa mariam DADA YAKE MUSA SIO MAMA YAKE YESU.
Ina maana WAPO WAWILI.
kuna Mariam NA MIRIAM DADA YAKE MUSA.
KWANINI UNATAKA KUIKATAA HYO AYA?.
Ina maana biblia inasema uongo?..
Tena huyo MIRIAM DADA YAKE MUSA alikuwa "NABII MKE".
JE MAMA YAKE YESU ALIKUWA "NABII MKE"View attachment 1661246
 
Ewaaah.
1.Mama yake issa alikuwa bikra.
Na mama yake yesu alikuwa NI bikra.

2.mimba ya yesu iliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu
Na mimba ya issa iliingia wa uwezo wa roho mtakatifu.

3.issa HAKUWA na baba wa kibaiolojia.
Na yesu HAKUWA na baba wa kibaiolojia.

4.yesu mama yake aliitwa Mariam.
Na issa mama Yake aliitwa Mariam.

5.issa alifanya miujiza ya kufufua watu,kuponesha maradhi n.k
Na yesu pia alifanya hivyo.
JE UTOFAUTI WA ISSA NA YESU UPO WAPI?

Waislamu mnaamini kwamba kuna Roho Mtakatifu? Ametajwa kwenye quran?
 
Ohoo..
Sasa hyo Aya ndo inatoa huo utata.
Kuwa mariam DADA YAKE MUSA SIO MAMA YAKE YESU.
Ina maana WAPO WAWILI.
kuna Mariam NA MIRIAM DADA YAKE MUSA.
KWANINI UNATAKA KUIKATAA HYO AYA?.
Ina maana biblia inasema uongo?..
Tena huyo MIRIAM DADA YAKE MUSA alikuwa "NABII MKE".
JE MAMA YAKE YESU ALIKUWA "NABII MKE"View attachment 1661246
Duh walimu wana kazi sana.
biblia iko wazi kuna Miriam na Mariam.
Miriam ni dada yake Mussa na baba yake aliitwa Amram(Imran):
Mariam ni mama yake Yesu( baba ake aliitwa Joachim)

Sasa Muhamad kupitia kulwani aliwachanganya hawa watu wawili akasema Maryam mama wa Yesu alikuwa dada wa Harun na Baba ake aliitwa Imran.
 
Halafu pia?
Yesu ni jina la kiyahudi.
Wakati issa ni jina la kiarabu,,ila ni mtu mmoja.

God,, yehova,, Allah maana yake ni MUNGU kiarabu.

Sawa na Abraham kiyahudi.
Ibrahim kiarabu.

Yona kiyahudi ndy yunus kiarabu.

Joseph ndy Yusuph kiarabu

Jacob ndy yacobo kiarabu.

Mirium ndy mariam..kiarabu

Hawa wataliano sio watu wazuri kwa kweli.

YESU kwa kiarabu ni YASU na sio Isa

GOD kwa kiarabu ni "ilah" na sio "allah" ie "laila ilah(God) ila allah"
 
Kuhusu KIFO haiwez kuwa sababu ya kusema yesu na issa Ni watu wawili tofauti.
Maanà yesu kabla HAJAFA alimuomba MUNGU amuepushe na KIKOMBE CHA UMAUTI.
Ina maana MUNGU HAKUJIBU MAOMBI YA YESU?

Kwani mauti yalimkuta Yesu mkuu? Biblia inaniambia Yesu aliushinda umauti maana alaifufuka siku ya tatu.
 
Back
Top Bottom