Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

vizuri.niwekeee uzao wa yesu katika biblia.mimi nimekuwekea uzao wa issa katika Quran.
Soma Aya ya 45View attachment 1661138
Inaonesha huyo Issa alizaliwa kipindi cha Mussa na Harun kipindi Israel wako utumwani misri (miaka 4000 iliyopita)Haijalishi alizaliwaje lakini sio huyu wa miaka 2000 iliyopita.
Soma aya 28.

Quran 19
22Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.

23. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!

24. Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!

25. Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.

26. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu.

27. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!

28. Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
 
Sasa wao wameaminishwa kwamba yesu sio issa na Mirium sio mariam..
Yan ulichokifanya hapo ni sawa na
Kuna tofauti gani kati ya

Book na kitabu
School na Shule
House na Nyumba
Food na Chakula
Uislam na ugaidi
Muhammad na mudy?
 
Umemuona MARIAM DADA AKE MUSA NA HARUNI?.
huyoo hapo sio mama yake YESU.
Ila wayahidi walimuita mama yake YESU dada wa Musa sababu ya kufanana majina.
Ila Ni kweli baba yake Musa ALIKUWA Ni Imran na baba yake mariam mama yake YESU ALIKUWA anaitwa IMRAN.
Screenshot_20201228-095927.jpg
 
Dada yake MUSA NA HARUNI Ni huyo.
japo majina ya ya baba zao yanafanana.
Ndo Wana waisrael wakamuita mama yake YESU ni dada yake MUSA lakini sio yeye walifanana MAJINA TU.
Inaonesha huyo Issa alizaliwa kipindi cha Mussa na Harun kipindi Israel wako utumwani misri (miaka 4000 iliyopita)Haijalishi alizaliwaje lakini sio huyu wa miaka 2000 iliyopita.
Soma aya 28.

Quran 19
22Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.

23. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!

24. Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!

25. Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.

26. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu.

27. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!

28. Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
Screenshot_20201228-095927.jpg
 
Umemuona MARIAM DADA AKE MUSA NA HARUNI?.
huyoo hapo sio mama yake YESU.
Ila wayahidi walimuita mama yake YESU dada wa Musa sababu ya kufanana majina.
Ila Ni kweli baba yake Musa ALIKUWA Ni Imran na baba yake mariam mama yake YESU ALIKUWA anaitwa IMRAN.View attachment 1661206

Wewe acha kuuonea Ubongo.utumie kidogo.
Kihistoria baba yake mariam aliitwa Joachim

Kwenye Quran baba yake Mariam(mama wa Issa) aliitwa Imran,
Kaka yake Aliitwa Harun
Halafu bado unataka kutuaminisha sio dada yake Musa?

Haya umesema wayahudi walimwita Mariam mama wa yesu dada yake Mussa...Una ushahidi gani wa kipindi hicho ukionesha wayahudi walifanya hivyo?

Au hicho ni kisababu tu umetunga kumtetea Allah?
 
Hyo Aya inasema Miriam "NABII MKE".
mama yake YESU ALIKUWA NABII?.
Soma Aya kwa kutulia alafu NJOO
Wewe acha kuuonea Ubongo.utumie kidogo.
Kihistoria baba yake mariam aliitwa Joachim

Kwenye Quran baba yake Mariam(mama wa Issa) aliitwa Imran,
Kaka yake Aliitwa Harun
Halafu bado unataka kutuaminisha sio dada yake Musa?

Haya umesema wayahudi walimwita Mariam mama wa yesu dada yake Mussa...Una ushahidi gani wa kipindi hicho ukionesha wayahudi walifanya hivyo?

Au hicho ni kisababu tu umetunga kumtetea Allah?
Screenshot_20201228-095927.jpg
 
Ni pale dini unapoifanya ni ushabiki kama wa simba na yanga..

Inna lilahi waina ilaih ragiun
Utofauti upo jamani tusilazimishe vitu ambavyo viko wazi kwenye vitabu vya dini.
1.Yesu kristo ni mwana wa Mungu wakati Issa si mwana wa Mungu ni mtume km mitume wengine.
2. Yesu kristo alikufa akafufuka, Muhammed alitwaliwa.
3.Yesu kristo atarudi kuwahukumu wanadamu siku ya mwisho, Muhammed hana mamlaka ya kuhukumu bali atarudi kuwaua wapingaji wa dini.

Pia mafundisho aliyofundisho Yesu yana utofauti mkubwa na yale nabii Issa ndio maana Wakristo na Waislamu wanapingana.Km Yesu na Issa wangefundisho sawia basi utofauti wa kiimani baina ya hizi dini 2 usingekuwepo.
 
TOFAUTI KUMI (10) KATI YA ISA WA KWENYE QURAN NA YESU WA KWENYE BIBLIA.​

ISA WA QURAN KAZALIWA CHINI YA MTENDE WAKATI YESU WA KWENYE BIBLIA KAZALIWA KWENYE ZIZI LA NG'OMBE
TOFAUTI KUMI (10) KATI YA ISA WA KWENYE QURAN NA YESU WA KWENYE BIBLIA.
Taarifa za Malaika kabla ya kuzaliwa kwao, kadiri ya Qurani na Biblia.
Jibrili alivyomtokea Mama wa Isa == Gabrieli alivyomtokea mama wa Yesu:
A. MARYAM ALIKUWA MSIKITINI vs. MARIAM ALIKUWA NYUMBANI KWAKE:
1. WAISLAM-JIBRIL Alienda kwa Mariamu aliyekuwa Msikitini Qurani 19:16-17
2. WAKRISTO-GABRIEL Alienda kwa Mariamu aliyekuwa nyumbani kwake - Lk 1:26-28
B. MARYAM HAJULIKANI ANAISHI WAPI vs MARIAM ANAYE ISHI NAZARETI:
1. WAISLAM-Mariamu Mama wa Isa haijulikani aliishi kijiji kipi wala mji gani wala hata nchi haijulikani. Isitoshe Quran inasema kuwa Jibril ndiye aliyemletea utume Muhammad asiwapelekee Mayahudi (hana kosa) Sura 2:97
2. WAKRISTO-Lakini Mariamu Mama yake Yesu alitokewa na Malaika Gabriel akiwa katika kijiji cha Nazareti mji wa Galilaya nchi ya Israeli (Lk 1:26) Mariamu Mama wa Yesu ni Myahudi.
C. JIBRIL HAKUMSALIMIA MARYAM vs GABRIEL ALIYE MSAMILIA MARIAM:
1. WAISLAM-Jibrili hakutoa salamu kwa Mariamu mama wa Isa ila alijimithilisha kwa umbo la binadamu aliye kamili - Sura 19-17
2. WAKRISTO-Malaika Gabrieli alimsalimia Mariamu Mama wa Yesu – Luka 1:28
D. JIBRIL ALISEMA YEYE NDIE ANATOA MTOTO vs . GABRIEL ALIYE SEMA KUWA MARIAM ATACHUKUA MIMBA:
1. WAISLAM-Jibril alimwambia Mariamu kwamba mimi ni mjumbe wa mola wako ili nikupe mwana mtakatifu - Sura 19-19
2. WAKRISTO-Lakini malaika Gabrieli alimwambia mama wa Yesu kuwa utachukua mimba – Luka1: 31
E. JIBRIL HAKULIJUA JINA LA MTOTO vs. GABRIEL ALIYE SEMA KUWA MTOTO ATAITWA YESU:
1. WAISLAM-Jibrili alisema kwa Mariamu kuwa ili tumfanye mtoto muujiza kwa wanadamu – Sura 19: 21. Isitoshe Jibrili hakutaja jina la mwana kwa Mariamu. Bali alisema ili nikupe mwana mtakatifu.
2. WAKRISTO-Malaika Gabrieli alisema kwa Mariamu mama ya Yesu kuwa mtoto jina lake utamwita Yesu (Luka 1:31; 2:21) Gabrieli hakusema kuwa atampa mwana Mariamu. Bali alisema, Roho mtakatifu atakujilia juu yako, yaani motto atazaliwa kwa uwezo wa Mungu.
TOFAUTI YA KUZALIWA KWA ISA NA YESU
Isa bin Mariam vs. Yesu Kristo
F. ISA KAZALIWA CHINI YA MTENDE vs YESU KAZALIWA KWENYE HORI LA NG'OMBE:
1. WAISLAM-Isa alizaliwa katika shina la Mtende –Quran 19:23
2. WAKRISTO-Yesu kazaliwa katika hori la kulishia ng’ombe. Luka 2:7
G. MIMBA YA ISA HAIJULIKANI ILKUWA YA MUDA GANI vs. YESU ALIYE ZALIWA KWA SIKU ZAKE ZILIPO KAMILIKA:
1. WAISLAM-Kuzaliwa kwa Isa haijulikani mimba ya mama yake ilichukua muda gani maana malaika Jibrili alisema nikupe mwana mtakatifu mara akachukua mimba na kuzaa. (19: 22-23)
2. WAKRISTO-Lakini Mariamu Mama wa Yesu siku zake za kuzaa zilitimia. (Luka 2:6-7)
H. ISA HAKUTABIRIWA KWENYE QURAN vs. YESU ALITABIRIWA KWENYE BIBLIA:
1. WAISLAM-Qurani haionyeshi kama Isa alitabiriwa na manabii kuwa atazaliwa
2. WAKRISTO-Lakini Biblia inatuthibitishia kuwa Manabii walitabiri kuzaliwa kwa Yesu, (Isaya 7: 14; 9:6) utabiri huu ulitolewa na Nabii Isaya miaka 750 kabla ya Yesu kuja kuzaliwa nao ulitimia (Mathayo 1:18-23)
I. ISA HAJULIKANI ALIZALIWA WAPI AU KIJIJI KIPI vs. YESU ALIYE ZALIWA BETHLEHEM:
1. WAISLAM-Isa haijulikani alizaliwa katika kijiji gani wala mji, wala nchi aliyozaliwa Qurani haikueleza.
2. WAKRISTO-Biblia inatujulisha kuwa Yesu alizaliwa Bethelehemu ya Uyahudi katika Mji wa Daudi umbali wa maili 5 toka kusini mwa Yerusalemu nchi ya Israeli (Lk 2:8-16). Kuzaliwa kwake mahali hapo pia ni kutimiza unabii uliotolewa na nabii Mika miaka 750-686 kabla ya kristo kuja wakati wa wafalme hawa wakitawala – Jotham, Ahaz na Hezekia wafalme wa Yuda. Yesu mwenyewe alizaliwa kama mwaka wa 4 wakati wa Mfalme Herode.
J. ISA ALIONGEA AKIWA MTOTO MCHANGA vs. YESU HAKUONGEA AKIWA MTOTO MCHANGA:
1. WAISLAM-Isa aliongea na watu akiwa mototo mchanga, na kusema kuwa yeye ni mja wa Mungu amepewa kitabu na amefanywa Nabii (Sura 19:30-33)
2. WAKRISTO-Yesu hakuongea na mtu akiwa mtoto mchanga. Alianza kuwauliza maswali na kutoa majibu akiwa na wazee Hekaluni akiwa na miaka 12. (Luka 2: 42-49)
Hivyo tunaona kwamba tuna tofauti nyingi tu kati ya Bwana Yesu na Isa. Swali kwako mfuatiliaji je, Isa bin Maryamu ndiye Bwana Yesu Mwokozi? Jibu ni hapana
Mungu awabariki sana na tuendelee kujifunza tofauti za Isa wa Quran na Yesu wa Biblia.
 
Back
Top Bottom