TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
You're clueless indeed, In fact I am a man of my own who knows what he wants from the politics.I am not a worshipper or ass kisser like you.For your information, I am also a big critic of Mbowe. Many CHADEMA supporters know me very well and my stance on Mbowe,they are also suspicious about me.I am an independent thinker and because I view things independently,I foresee things you guys can't objectively see because of your blind loyalty to the guys you blindly follow.You are excessively blinded by DJ ZERO MBOWE just because of getting sth to eat from him.Stand firm and independently.Think Again...
safari anaenda mpaka vijijini ndani,wananchi wamwone live mtetezi wao aliekua akiwatetea bungeni mpaka koo linamkauka,zzk
Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na nchi hii atachangia tu, kwa sasa tunaanza kuweka kapu baada ya kupigwa neno la ukombozi wa kizalendo unatupia noti kwenye kapu, mihadhara sasa ni mwanzo mwisho hadi nchi irudi kwenye misingi yake.
Bavicha ni hasara kwa taifa.Pole sana Nyakageni, nadhani umekutilizwa na fungu la M 700 nadhani limeshatoka!!
Anyways!I think your bread went away with the Escrow scandal !Live fairly and you will harmoniously enjoy life or move away with your fellow Nation's culpritsYou're clueless indeed, In fact I am a man of my own who knows what he wants from the politics.I am not a worshipper or ass kisser like you.For your information, I am also a big critic of Mbowe. Many CHADEMA supporters know me very well and my stance on Mbowe,they are also suspicious about me.I am an independent thinker and because I view things independently,I foresee things you guys can't objectively see because of your blind loyalty to the guys you blindly follow.
Naomba ukimuona Saed Kubenea mwambiye tumechoka na fitna zake juu ya Zittokabwe. Watanzania tuna matatizo mengi yeye gazeti zima anajaribu kumfitinisha Zittokabwe na watanzania Kama anaugomvi nae katika mgao amtumie email. Gazeti lake Mawio kwa sasa limekuwa full mipasho tumechokaWatanzania wamekuwa werevu mno miaka hii. Tapeli anajulikana mapema kabla jua halijachomoza.
Zitto na utapeli wake hataweza kutapeli watanzania
GANDWA ndiyo nini mkuu?VUA GAMBA, VUA GANDWA VAA UZALENDO. Kauli mbiu ya ACT hyo.
Dah!!Kaka kweli Tumechoka,nchi ina matatizo mengi kama jamaa ana ugomvi binafsi na Zitto ampigie simu amma ampeleke mahakamani kama wamedhurumiana!Naomba ukimuona Saed Kubenea mwambiye tumechoka na fitna zake juu ya Zittokabwe. Watanzania tuna matatizo mengi yeye gazeti zima anajaribu kumfitinisha Zittokabwe na watanzania Kama anaugomvi nae katika mgao amtumie email. Gazeti lake Mawio kwa sasa limekuwa full mipasho tumechoka
Ndullu nadhani ni msomi wa vyeti . Sina hakika kwa kweli na elimu yake
wabongo bana,wanataka kusikia nyimbo tamu tu.za huzuni hawataki.ungekuwa unajua mission ya Zito ungemkubali Kubenea.Dah!!Kaka kweli Tumechoka,nchi ina matatizo mengi kama jamaa ana ugomvi binafsi na Zitto ampigie simu amma ampeleke mahakamani kama wamedhurumiana!
You're clueless indeed, In fact I am a man of my own who knows what he wants from the politics.I am not a worshipper or ass kisser like you.For your information, I am also a big critic of Mbowe. Many CHADEMA supporters know me very well and my stance on Mbowe,they are also suspicious about me.I am an independent thinker and because I view things independently,I foresee things you guys can't objectively see because of your blind loyalty to the guys you blindly follow.
Arudishe milioni 700 kwani wananchi wanzifahamu na bila kuzirudisha wataendelea kumkataa hata uongozi wa nyumba kumi hatopata.
Hapana Prof Ndullu kasema ukweli kuwa kuna fedha ndefu imevutwa BOT, huo ni ukweli usiokuwa na shaka, nikukumbushe tu, vifaa vya kijeshi haviuzwi kwa mkopo lakini juzi tumepokea manowari mbili, mie nilishangaa sana hivi kwanini tununue manowari kipindi hiki kigumu cha nchi? kama kipaumbele chetu ni manowari basi tungeachana na mchakato wa katiba mpya, tume ya warioba na BVR tukanunua manowari fedha yetu ingebaki salama.
Lakini sishangai haya kutokea dakika za nyongeza, hata muhula uliopita tulinunulishwa ndege ya bwana mkubwa na king'amuzi.
You keep proving how shallow you're buddy, How did I benefit from the ESCROW scandal? I can see you're trying to diverge from the core argument we have had because I've managed to take the wind off your sail buddy. I think you're punch-drunk, aren't you?Anyways!I think your bread went away with the Escrow scandal !Live fairly and you will harmoniously enjoy life or move away with your fellow Nation's culprits
Hii JamiiForum ina mkono wa Zitto??
Mmiliki ni mchaga, namwomba sana.. Awaondoe Moderetors.
Ili kulinda kuheshimiana kwetu kama tulivyoaswa na wazee wetu.
Mangi Mushi (mmiliki wa JamiiForums) chonde chonde Moderators wameanza kuibagua chama chenye baraka za wazee wa kichaga Chadema.