TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Hivi unajua maana ya AFFIRMATIVE ACTION? Ndugu yangu hiyo term inatumika kumaanisha kutoa upendeleo maalum wa huduma za kijamii na kiuchumi kwa jamii ambazo zilibaguliwa au kuachwa nyuma kimaendeleo hususani ktk mataifa yaliyokumbana na tatizo la ubaguzi wa rangi hasa South Africa na The United States of America. Inaweza kuitwa ni reverse racism as well.Kama CHADEMA wanapigania hili kwa jambo kwa hapa Tanzania ni jambo la kupong3zwa kwa kweli otherwise haya ni matokeo ya kuyatumia maneno ya kiingereza bila kujua maana yake sahihi.Umeongea kitu cha maana sana, chadema wanachofanya ni philosophy ya kimarekani inayoitwa "affirmative action" na philosophy ya kijerumani inayoitwa "Black Propaganda" pia wanatumia philosophy ya kirusi iliyotumiwa na Stalin iliyoitwa "Lumpen proletarian" kwa wakati ule theory hizi zilifanikiwa ila kwa siasa za Tanzania tayari zimeshachelewa, ukitumia mbinu hizi kwa muda mrefu watu wanaanza kugutuka polepole.
zito anaeleza vizuri kuliko mkuya na prof ndulu.
heko zitto kama mchumi.
Uko kamili upstairs? Kila thread ikianzishwa unatupia huu utumbo
Hakuna mtu wa kumsikiliza msaliti na mpenda madaraka kama zzk
Ila muda wa kukomenti hapa umepata.Ukiona jina Zitto unakuja kasi kama speed ya mwanga.(Zari calls the crazy people like you-Confused Admirers).Ukiwa una chuki na mtu then huyo mtu akawa anatusua tu _UNAKONDA BURE !Sina huo muda
Zitto na ACT wanatoa hoja za kujenga Taifa! CDM na misukule yao wanaporomosha matusi tu.
jibu maswali kwa hoja ni maswali ya msingi . jamaa ana kumbukumbu sana huyu
Ila muda wa kukomenti hapa umepata.Ukiona jina Zitto unakuja kasi kama speed ya mwanga.(Zari calls the crazy people like you-Confused Admirers).Ukiwa una chuki na mtu then huyo mtu akawa anatusua tu _UNAKONDA BURE !
Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe wangekuwa na akili wangemtakia kilalaheri Zittommeamka wote hata kusali hamwendi kisa zzk atawatoa kamasi
bado hajui kwamba tsh imeshuka dhidi ya currencies nyingine...
Tayari usha msikiliza
You are excessively blinded by DJ ZERO MBOWE just because of getting sth to eat from him.Stand firm and independently.Think Again...Amepoteza hata ile heshima ndogo na credibility aliyokuwa nayo kwangu.I am very principled man,I don't worship people sheepishly but I respect people especially those ones who are honest.Zitto had been and will always be a dishonest politician.
hii habari mbaya sana kwa bavicha na ufipani,wataondoka tena wote pale ufipani asalaleh
Hivi cha Rafiki cha ACT hapa nchini ni Chama gani? maana mnasema mna vyama rAfiki ndani na nje?
Ziara ya mikoa 17 ina maana ataanza upya alikopita?
akiongea startv asubuhi amesema wataanza kusambaza uzalendo wiki ijayo kwa kufanya ziara kupita mikoa 14.
Zitto Z Kabwe
Ndg Mwanachama na rafiki wa ACT Wazalendo,
tunaanza awamu ya pili ya ziara ya
kutambulisha chama chetu na kuhamasisha
wananchi kujiandikisha kwenye daftari la
kudumu la kupiga kura. Ili kufanikisha ziara hii
tunahitaji fedha kununua mafuta, kukodisha
magari na kujikimu. Tunaomba mchango wako
wa tshs 10,000 tu. Tuma mchango wako
kwenye namba 0763463740 (ACT POLITICAL)
au 0715784670 (ACT TANZANIA) au NMB A/C
NO. 22610004083 ACT-TANZANIA.